Kutoa SUMU/TAKA MWILI ni muhimu sana kwa ajili ya kulinda afya zetu na kujilinda na magonjwa.
JE, ULISHAWAHI KUSAFISHA MWILI WAKO KWA KUTOA SUMU/ TAKA MWILI KWA NDANI (DETOXIFICATION)..?
Je, unafahamu Maradhi mengi 90% Husababishwa na Utumbo wako kuwa mchafu ( TOXIC COLON)
WASILIANA NASI KWA USHAURI NA TIBA PIA Kwa namba hii +255768603979.
Kawaida Mwili wa binadamu huzalisha sumu au taka mwili (free Radicals) kila mara kunapofanyika mmeng'enyo wa chakula mwilini mwako.
Taka hizi hutolewa ndani ya mwili kupitia njia mbalimbali ikiwemo haja kubwa, mkojo pamoja na jasho.
Mwili wa binadamu unaweza kupatwa na Sumu au takataka zisizohitajija kwa namna mbili, kupitia mazingira tunayoishi kama vile viwanda, migodi na maeneo mengine hatarishi.
Ama kupitia vyakula tunavyokula, na vinywaji ambavyo tunavitumia kila siku.
Vilevile sumu au takamwili, zinaweza kuingia mwilini kupitia dawa mbalimbali hasa tunazotumia kutibu magonjwa mbalimbali yanayotupata.
Mwili unapoingiwa na Sumu au takataka zisizohitajika na zikazidi mwilini unaweza ukapata madhara mbalimbali ya kiafya kama vile;
Uchovu Sugu,Maumivu Ya Viungo,Kuumwa Kichwa kila mara,tumbo kujaa gesi.
Kuwa kwenye Hatari ya kupata kansa ya utumbo,
Tatizo sugu la kupata choo (Constipation) au kupata choo kigumu,Kuishiwa nguvu,Msongo wa mawazo (Stress), Hormonal imbalance, pamoja na matatizo mbalimbali ya ngozi ikiwemo chunusi,nk nk.
Ili miili yetu iweze kufanya kazi vizuri na tuendelee kuwa na afya njema inabidi tuilinde kwa kutoa sumu kila mara,kama tunavyofanyia service magari yetu, au machine nk,
Njia sahihi na bora za kutoa sumu mwilini ni kutumia vyakula vya asili vyenye virutubisho muhimu kwa afya.
️Njia nyingine ni kunywa maji mengi kila siku.
️Kufanya mazoezi
Kufanya masaji.
️Kula zaidi Vyakula vyenye nyuzinyuzi(protein kwa wingi)
LINDA AFYA KWA KUSAFISHA UTUMBO WAKO MPANA (COLON CLEANSE).
C9 ni Bidhaa Bora ya Asili ya Kusafisha SUMU au Taka mwili, kupunguza Uzito, kusafisha njia ya mmeng'enyo wa chakula, kuondoa mafuta Mabaya ( Bad Cholesterol), Itakufanya ujenge SELI mpya na kukufanya Ngozi yako Ing'ae na kuwa na muonekano mzuri.
Pia kuboresha afya yako kwa virutubisho vilivyomo ndani Yake.
BAADA_YA_CHANGAMOTO_KUIKUMBA_JAMII_JOPO LA WATAALAMU/MADAKTARI_WALIOBOBEA_KATIKA AFYA_YA_MWANADAMU_WALIFANYA_TAFITI_YA_NAMNA_YA_KUONDOA_CHANGAMOTO_HIZO_BILA_KUTUMIA_DAWA_AU_VIAMBATA_VYENYE_SUMU_BALI_KUTUMIA_VIRUTUBISHO.
Virutubisho hivyo vimekuwa vikitumiwa na watu wengi kwa zaidi ya mataifa 170 duniani na tunashuhuda nyingi za watu waliopata kuboreshwa kwa afya zao baada ya kutumia virutubisho hivyo.
Kwa Ushauri au Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote Ulipo(Tanzania Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).
Free delivery ndani ya Dar, kama upo mkoani utatumiwa pia ndani na nje ya tanzania .
Kwa maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa zinazo ondoa tatizo hilo wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.
Ni virutubisho asili ambavyo vimeshawasaidia watu wengi saana hapa nchini na Duniani kwa Ujumla. Karibu Upate huduma zetu kwa ushauri pia wasiliana nasi PIGA /TUMA NENO :"Health and wellness is Your Priority".kisha #SULUISHO LA KUSAFISHA MWILI WAKO KWA KUTOA SUMU/ TAKA MWILI KWA NDANI (DETOXIFICATION).
kwa mawasiliano: +255768603979“ maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”
. ///https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…
https://paulbiswalo.blogspot.com/
https://www.pinterest.com/biswalopaul/
SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.
KWA KUENDELEA KUPATA UP-DATE JUU YA AFYA LIKE PAGE HII NA KUSHARE ELIMU HII YA BURE KWA WENGINE.