Health And Wellness Is Your Priority & Personal Development Mentorship Programs.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

KUMBUKA *Ukishindwa kupambana ili kutimiza ndoto zako. Kuna mtu atakuajiri ili umtimizie ndoto zake.* Waza upya na uanze upya.

Leo ningependa kukumbusha jambo ambalo inawezekana kuwa umelisahau.
Ningependa ujue kuwa wewe ni mtu muhimu sana,Ningependa ujue kuwa haujaja duniani kwa bahati mbaya,hata kama wazazi wako hawakukutarajia,Mungu alikutarajia.

Ningependa ujue kuwa wewe si mtu mdogo kama unavyojidhania.Ningependa ujue kuwa kuna nguvu ndani yako ambayo kama ukianza kuitumia utajishangaa kwa matokeo utakayopata.
Napenda kukukumbusha kuwa bila kujali Jana yako ikoje na leo yako ikoje Bado una nafasi ya kutengeneza kesho iliyo njema na kubwa zaidi.

Usiruhusu mtu mmoja aliyekudharau akufanye ujione haufai,usiruhusu mtu mmoja aliyesema hauwezi akufanye usijithamini tena,usiruhusu tukio moja la kufeli kwenye maisha likufanye ujione hautafika mbali.

Wewe ni mtu muhimu,dunia inasubiri udhihirishe uwezo wako wa kipekee.Ulizaliwa uwe mtu mkubwa,usikate tamaa.Bila kujali Kama leo umeamka ukiwa umevunjika Moyo,jivike tumaini kuna habari njema iko njiani inakuja.

Muda wako unautumiaje??
Kila mtu tangia kuzaliwa kwake unapata masaa yako 24 kwa siku na hayajawahi kupungua au kuzidi.....sasa suala hapa ni kwamba unayatumiaje??

Ndio maana katika masaa hayo hayo tunayopewa sawa kila siku kuna matajiri na maskini.....matajiri sio kwamba Mungu aliwapendelea wao wawe hivyo au walijikuta tu wapo matajiri tayari.....kuna "process" mchakato imefanyika ya kuutumia muda vizuri ili uwazalishie.

Sasa jiulize wewe muda wako unautumiaje??
Unatakiwa ufanye kazi masaa 8 hasa kwa aliyeajiriwa au aliyejiajiri,ulale masaa 8 na masaa 8 yaliyobakia upumzike sasa wewe mwenzangu na mimi unaufuata huu mpangilio??
Haya masaa 8 ya kupumzika wewe unayatumiaje??

Wengi wetu tunakuwa kwenye mambo ya umbea,kuwasema na kuwafitini wengine.......
Wengi wetu tunakuwa kwenye TV kuangalia sijui "movie" gani mpya imetoka au "series".....
Wengine vijiweni kwetu kubishania mambo ambayo hayatusaidii chochote kwenye maisha yetu ya kila siku hasa ya baadae.....

Tunafanya vitu chungu nzima ambavyo kiuhalisia havituzalishii chochote......
Ila kuna watu wengine wanayatumia vizuri huo muda na unawazalishia mengi mno.
Huwezi kumkuta tajiri kakaa eti anamjadili sijui Nani kafanyaje...
Huwezi kumkuta tajiri anabishania Manchester kufungwa Jana na Arsenal....
Huwezi kumkuta tajiri anajadili sijui simba pointi 3 zimefanyaje nk.

Huo ni muda ambao anautumia katika kufanya biashara zake zinazomuingizia kipato ambacho ni ni endelevu....sasa juilize wewe mwenzangu na mimi huwa unafanyaje??
Muda ni kitu cha muhimu sana na penda usipende ukishapita umepita haurudi nyuma bora Pesa zinaweza kuja zikapotea na ukazipata tena lakini sio muda na kama ulikuwa hujui kadiri muda unavyozidi kwenda ndivyo muda wako Wa kuishi duniani unavyopungua sasa jiulize itakapofika siku yako ya mwisho hapa duniani utakuwa umefanya kitu gani cha kukumbukwa??
Au utakumbukwa kwa Shida na matatizo uliyowaachia watu??

Kumbuka muda ni kama maji ya mto yanayotiririka yakishapita yamepita hayarudi nyuma hivyo tunapaswa kuwekeza vizuri katika muda wetu ili tuweze kufanya mambo mazuri ya maana ambayo yatafanya maisha yetu ya baadae yawe mazuri tusije kuwasumbua wengine.....
Wekeza muda kwa wengine waweze kufanikiwa nawe ukiwa unafanikiwa pia..
Angalia miaka 10 mbele maisha yako unataka yaweje???

Kama ukitaka yawe yamebadilika kutoka hapo ulipo basi huna budi kubadilika kwa kuwekeza na kuutumia muda vizuri....
Uwe na siku njema....
*jitambue#
*jitathimini#
*badilika#
*shtuka#
KUMBUKA
*Ukishindwa kupambana ili kutimiza ndoto zako. Kuna mtu atakuajiri ili umtimizie ndoto zake.*
Waza upya na uanze upya.

Nikutakie mafanikio mema na Asubuhi njema kwako.
nitafute inbox/piga kwa namba hii +255768603979 nikupe mchakato utafikaje na kuja kuufurahia uzee wako.

Wako katika kuijenga imani yako juu ya kufanikiwa katika maisha na kuwa na afya njema.
-Paul Biswalo.
Mhamasishaji,Muelimishaji,Mkufunzi,Mwalimu,Mshauri wa lishe bora na Afya,Mfanyabiashara wa Kimataifa.
(Mwenye Vipaji Vingi/Asiyekuwa na Kikomo).



Share:

Hakuna ndoto KUBWA inayokamilika kwa usiku mmoja.Kila lengo kubwa ulilonalo maishani lazima lipitie hatua muhimu kabla halijakamilika.

Hakuna ndoto KUBWA inayokamilika kwa usiku mmoja.Kila lengo kubwa
ulilonalo maishani lazima lipitie hatua muhimu kabla halijakamilika.

Katika utafiti wangu kwa watu waliofanikiwa na kujifunza kutokana na
mambo niliyopitia binafsi katika kufuatilia ndoto zangu,nimegundua kuwa
kila ndoto lazima ipitie hatua tano kabla hazijafanikiwa.
Leo Ningependa nikushirikishe hatua moja ambayo inaitwa "Isolation/desperation"(Hatua ya kubaki peke yako bila Msaada).

Unapoanza kufuatilia ndoto zako kuna wakati utapata sapoti kubwa sana
ila kuna wakati utafika itakuwa kama vile kila mtu amekuacha peke yako
na hakuna aliyeko karibu kukupa Msaada unaotakiwa kuupata. Huu ndio ule wakati ambapo kila mtu ambaye ulihisi atakuwa Msaada wako haonekani na wala hapokei simu zako.

Inawezekana uliweka tumaini kwa ndugu aliyesema
atakupa mtaji,atakusomesha ama atakuunganishia Kazi lakini sasa muda
Mrefu umepita na hajakupa Msaada wowote ule. Huu ndio wakati
ambao unaona kama rafiki na ndugu ambao uliwahi kuwasaidia huko nyuma wanatakiwa nao wakusaidie pia lakini cha kushangaza hakuna yeyote ambaye anajitokeza kukupa Msaada.

Usisahau kuwa sio wewe tu peke yako
unapitia hali hiyo,kila aliyefanikiwa aliwahi kupitia hali hiyo pia.Kama
unataka kuungana na wale ambao wamefika kilele cha mafanikio,basi amua kuwa bila kujali kama kuna mtu atajitokeza kukusaidia ama la,bado utasonga mbele tu.
Leo,kama uko kwenye "desperation stage" Amua Kusonga Mbele bila kukatishwa tamaa na ambao hawajakupa Msaada.

Huwezi kurudisha wakati nyuma & kurekebisha makosa yako lakini unaweza kujifunza kutokana na makosa na kujisamehe mwenyewe kwa kutokujua vizuri zaidi.
Ulipo kuwa mtoto ulifanya kama mtoto na ulipelekwa sehemu usiyoipenda...
ila sasa hivi wewe ni kijana au mtu mzima waweza fanya utakavyo na muda utafika tena usipokamilisha ndoto zako hutoweza tena kufanya maendeleo na hapo ndipo watakupeleka usipotaka tena na kukupa usichokitaka kuepuka hilo fanya kitu ambacho mwishowe kitakufanya uishi maisha uyapendayo wewe na sio wapendayo ndugu zako!

nitafute inbox/piga kwa namba hii +255768603979 nikupe mchakato utafikaje na kuja kuufurahia uzee wako.

Wako katika kuijenga imani yako juu ya kufanikiwa katika maisha na kuwa na afya njema.
-Paul Biswalo.
Mhamasishaji,Muelimishaji,Mkufunzi,Mwalimu,Mshauri wa lishe bora na Afya,Mfanyabiashara wa Kimataifa.
(Mwenye Vipaji Vingi/Asiyekuwa na Kikomo).

Share:

NAMNA TEZI DUME INAVYOKUA CHANGAMOTO KWA KIZAZI CHA SASA NA INAVYOKUA INA POTEZA WATU WENGI SANA.

NAMNA TEZI DUME INAVYOKUA CHANGAMOTO KWA KIZAZI CHA SASA NA INAVYOKUA INA POTEZA WATU WENGI SANA.

💥💥 Leo ningependa kushare nanyi jambo muhimu kuhusu afya za baba zetu, Waume zetu, kaka zetu, na wadogo zetu pia.

💥💥 JE, WAJUA PROSTATE GLAND (TEZI DUME) NI TATIZO SUGU KWA WANAUME WENGI SANA LEO HII..!??

👉Tatizo la TEZI dume (PROSTATE CANCER) ugonjwa huu umekuwa katika nafasi ya 3 duniani katika kusababisha vifo vya wanaume.
👉Kwa takwimu za 2012 ugonjwa wa tezi dume umesababisha vifo vya watu zaidi ya 300,700.
👉Upimaji wa ugonjwa huu ni mgumu na mwanaume yeyote asingependa kupimwa kwa style hiyo.Ya kuchomwa dole kwenye mfumo wa haja kubwa.

Kwa mawasiliano zaidi juu ya tatizo la tezi dume wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.

TEZI DUME NI NINI?
-hiki ni kiungo cha mhimu sana kwa mwanamme na ndio kitu pekee kinachotengeneza furaha ya ndoa na kuweza kujiamini si furaha ya ndoa tu, hata kuweza kujiamini na kuepuka vifo vya ghafla kwasababu ugonjwa huu umechukuliwa kama radi.

Ni ile hali ya chembe chembe za uhai katika tezi la kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalozunguka mirija ya kupitisha haja ndogo( mkojo)

Ugonjwa huu kwa sasa unaweza kuwapata vijana wa kiume kuanzia miaka 20 na kuendelea tofauti na awali ilikuwa miaka zaidi ya 70.

💥💥KUKUA KWA TEZI YA KIUME
Kukua kwa tezi ya kiume kitalamu tunaita BENIGN PROSTATIC HYPERPLASIA (BPH). Miaka ya nyuma Hili tatizo mara nyingi huanza baada ya miaka 40 hivi, lakini miaka ya Sasa Vijana wadogo wanakabiliwa na hili Tatizo.

Hivyo Tezi inaweza ikawa kubwa sana lakini haina dalili hii ni kutokana na sehemu gani ya tezi iliyovimba au kuongezeka. Tezi inapoonesha dalili jua tatizo hilo ni sugu na liko ktk hali mbaya.

💥💥DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI NA MADHARA YAKE:
1. Kukojoa mara kwa mara
2. Kubakiza mkojo kwenye kibofu
3. Kushindwa kurusha mkojo mbali.
4. Maumivu makali wakati wa kukojoa
5.Kupungukiwa nguvu za kiume
6. UTI ya mara kwa mara
7. Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikano wa mkojo.
8. Figo kujaa maji. Hii sababu mkojo huo unarudi nyuma kuelekea figo(hydronephrosis)
9. Kupoteza fahamu(uremia)

👉HIZI DALILI NIMEZITAJA KULINGANA NA TATIZO LINAVYOKUWA SUGU KWA MGONJWA HIVYO UGONJWA HUU NI HATARI USIPO WAHI.

💥💥Zuia Madhara ya TEZI DUME kabla hayajawa makubwa.

Tumia virutubisho vinavyoweza kukusaidia kuepuka tatizo hili na kama limeanza pia virutubisho hivi vitakusaidia kupunguza kasi ya ukuaji wa Tezi. Kwakuwa madhara ya Tezi yanasababishwa na ulaji mbaya hasa nyama nyekundu na zenye mafuta pamoja na watu wenye uzito mkubwa wako hatarini kupata tatizo hili.

Ndugu ugonjwa huu unaua hata wenye uwezo wa kifedha maana ni hatari sana chukua tahadhari sasa pia msaidie na mtu mwingine kupata taarifa hizi.
Madaktari wengi wanashauri kudhibiti kwa kutumia lishe kuliko kufanyiwa upasuaji maana baada ya upasuaji huvimba tena hivyo kusababisha kurudia tena upasuaji.

💥💥Ukipenda kujua zaidi kuhusu VIRUTUBISHO BORA vya kutumia tuwasiliane kwa namba hii +255768603979.

ZIFUATAZO NI KAZI ZA TEZI DUME KWA MWANAUME.
-Kazi ya tezi dume, hii hufanya kazi kubwa mahususi 3(tatu) ikiwa ni;

-kutengeneza semens(majimaji) ambayo ni kama kilainishi cha urethra(mlija kwa kutolea manii au mkojo)kama unavyojua mwanaume hutumia njia moja kwaajili ya kutolea taka(mkojo) pia na kutolea manii hivyo kazi ya haya majimaji huweza kurainisha na kutoa sumu au uchafu kwenye urethra uliobaki na mkojo ili mbegu ziweze kupita salama.

-pia tezi dume hufanya kazi kama koki ambapo hurusu mkojo kutoka nje hivyo ikiwa itakua ina matatizo eidha imevimba/imelegea huweza kuwa na matatizo katika mkojo ambapo kwenye kuruhusu mkojo unaona kunawatu wengi sana wanachangamoto kwenye kukujoa yaweza kuwa kujikojolea au kutokojoa hatimaye kufanya operation na kuwekewa mchuzi juu(kibofu cha mkojo cha ziada ambapo unawekewa mlija na kopo)ambalo anakuwa anatembea nalo mfukoni kwenye suruali yake ,hapa watu wengi tunaona mtoto anakojoa mpaka miaka 14 tafadhali jua mtoto anatatizo.wakati zamani ili kuwa inawapata watu kuanzia miaka 70 na sasa kuanzia miaka 20 pia unaweza kupatwa na tezi dume.

-lakini pia nikama koki kwa kuruhusu sperm/shahawa zitoke ikiwa tezi dume ina kasoro mwisho wa siku mwanaume unashindwa kuzalisha kupitia haya matatizo madogo madogo sana mwisho wasiku tunafikia hatua ya kuamini vitu visivyokua na msingi.


ANGALIZO.
Kutokana na kukuwa kwa sayansi na tekinolojia imepelekea kupata vyakula ,mboga mboga na matunda yenye kemikali kuanzia mbolea ,dawa za kupandia ,kukuzia hivyo huwezi kupata mlo ulio kamili na salama kutokana na kwamba watu wako kipesa zaidi hii ni kwa sababu ya mabadiriko ya hali ya hewa na mazingira,badala ya kupata lishe ili uponye maradhi mbalimbali unaingiza makemikali na sumu na kulea mardhi kama vile ,UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME ,KUSHINDWA KUSIMAMA KWA UUME,KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA KWA JINSIA ZOTE,KISUKARI,PRESHA,MOYO,FIGO,INI.

#TUMAINI LIPO.

TUNAFURAHI SANA PALE TUNAPOPATA MREJESHO CHANYA KUTOKA KWA WATEJA WETU. TUNAJUA MAISHA YA WATU YANAENDA KUBADILIKA.


wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.

YAWEZEKANA NA WEWE UNA CHANGAMOTO KAMA HIZI.

A) MULTI-MACA INAWEZA KUWA MKOMBOZI WAKO. INASAIDIA KWENYE;

1. KUONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA, STAMINA NA NGUVU.
2. KUBORESHA MSUKUMO WA DAMU AMBAYO NI MUHIMU KWENYE NGUVU ZA KIUME.
3. KUZUIA UKUAJI WA TEZI DUME.
4. KUONGEZA IDADI NA UBORA WA MBEGU.
5. KUPUNGUZA ATHARI ZA MSONGO WA MAWAZO KWENYE MWILI.
6. INARUTUBISHA MAYAI.

B) ARGI+.
Muhimu kwa afya yako fahamu sababu 10 ARGI+.

Ina 5grams za L-Arginine kwa kila kijiko kimoja,na vitamin mbalimbali zinazosaidia kuongeza stamina na nguvu.L-Arginine ina amino acid muhimu sana kwa afya kiujumla.Miili yetu inabadilisha kuwa Nitric oxide,ambayo inasaidia mishipa ya damu kutanuka na kuruhusu damu kupita.ARG+ pia ina viondosha sumu kama pomegranate.

Faida 10 za ARGI+

(1). Ni kirutubisho muhimu sana kutumia kila siku kwa ajili ya kusaidia mifumo yote ya mwili ili kuupa mwili uwezo wa kufanya kazi vizuri zaidi

(2): ina mfumo wa kinga ya mwili kutokana na Nitric oxide ambayo inatumiwa na chembechembe nyeupe za damu kuuwa bacteria.hivyo kuupa mwili uwezo zaidi na kupigana na magonjwa.

(3) inasaidia kurekebisha kiwango cha Blood pressure kiwe sahii na afya ya mzunguko wa damu ya moyo kiujumla

(4):inasaidia kutengenezwa kwa mifupa na mwili kiujumla hivyo ni vizuri sana kwa tatizo la waliovunjika mifupa au wenye mifupa dhaifu.

(5):Nitric oxide
inayotengenezwa inaongeza mzunguko wa damu ndani ya mwili na hivyo inasaidia kuongeza nguvu za kiume.

(6):inasaidia misuli kuwa imara na yenye nguvu pamoja na kupunguza mafuta ndani ya mwili ndio maana ni nzuri sana kwa wanawake na wanaume wanaofanya mazoezi.

(7): ina "promegrant" na vimelea vya matunda ambavyo ni viosha sumu inasaidia kuondoa madhara ya
free radicals mwilini.

(8):Ina vimelea
vitokanavyo na "RED WINE" ambayo inasaidia kushusha kiasi cha "CHOLESTROL" mwilini.

(9):inaongeza uwezo wa mwili kutumia Insuline(insuline sensitivity) hivyo inafaa sana kuweka uwiano wa sukari mwilini

(10): inasaidia kutoa hormones zinazopunguza kazi ya kuzeeka (Anti-Ageing) kukufanya uonekane chini ya umri wako.

Matumizi : kijiko kimoja cha ARGI+ na 240ml za kinywaji cha Aloe vera au juisi ,maji maziwa mtindi.

C) Ijue ALOEVERA GEL, kinywaji bora cha afya chenye aloe vera nyingi,( 97%).

wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.

Kinywaji hiki chenye utajiri wa Virutubisho muhimu kama ifuatavyo:-
200 compounds (active enzymes), 75 nutrients, 12 Vitamins, 20 minerals, 18 aminal acids (protein)

Faida zake kwa afya yako:
1. Kuondoa sumusumu mwilini zitokanazo na hewa chafu, vumbi, vyakula vilivyolimwa na mbolea na dawa zenye kemikali, sumu, madawa, vyakula, pombe na vileo, nk.

2. Kuondoa na kuepusha vimbe sehemu yoyote mwilini, mfano mji wa mimba, shingoni, nk.(unakunywa nyingi kwa muda)

3. Kuepusha magonjwa na kuua vijidudu kama virusi. bacteria na fangasi.

4. Kusafisha utumbo mkubwa wa chakula na:
~kuondoa mafuta yanayoganda,
~kuzuia na kusaidia gesi tumboni,
~kupata choo vizuri na kuzuia constipation (choo kigumu), hata kwa mtoto mchanga anayesumbuliwa na chango au kukosa choo (unampa kijiko kimoja cha chai)
~kusaidia mmeng'enyo wa chakula ( virutubisho vifyonzwe vizuri)
~ Kusaidia vidonda vya ndani (ulcers) na nje ya tumbo.

5. Kuongeza kinga mwilini. Na kukuepusha kushambuliwa na magonjwa mara kwa mara.

6. Inasaidia maumivu ya viungo kama miguu na mgongo.

7. Kusaidia wenye magonjwa ya umri km kisukari, presha, nk.

8. Kusaidia kuboresha matatizo mbalimbali ya ngozi km;
~kuifanya iwe nzuri na ya kuvutia,
~kuifanya iwe nyevunyevu,
~kuiondoa ukavu na mikunjokunjo,
~kutengeneza seli mpya na kuondoa seli zilizokufa.
~Kusaidia magonjwa mbalimbali ya ngozi km;aleji, muwasho, chunusi, vinundu vidogodogo vyeusi, makovu, mkanda wa jeshi na upele,

9. Kusaidia ugonjwa wa kupooza (STROKE).
10. Inasafisha mzunguko wa damu, inaimarisha mishipa ya damu na kuyeyusha damu na mafuta yaliyoganda.

11. Inasaidia kuondoa harufu mbaya mdomoni kwa kuua bacteria wabaya wanaokaa kwenye utumbo wa chakula na kuleta harufu mbaya mdomoni. (Kuna watu wanaswaki lakini bado wananuka mdomo)

12. Inasaidia ukuaji wa mwili.
13. Husaidia uchovu sugu, kutopata usingizi vizuri (insomnia), hangover, msongo wa mawazo, (Stress), na mfumo wa fahamu na neva (nervous system).

14. Inaondoa baridi na ganzi kwenye viungo vya mwili, mfano miguu, mikono na vidole.
~Hufaa kwa watu wote, ( mama mja mzito anywe kiwango kidogo sana au atumie Aloe Berry Nectar ambayo ina kiwango kidogo cha aloe vera).

15. Unaweza kunywa wakati unatumia dawa za hospitali ili kusaidia kupunguza madhara yanayoambatana na dawa (side effects). Unakunywa nusu saa kabla ya kumeza dawa za hospital

KUNYWA KWA AFYA, (USISUBIRI UUGUE), JAPO KOPO 2 au moja KWA MWEZI.

#BAADA_YA_CHANGAMOTO_KUIKUMBA_JAMII_JOPO LA WATAALAMU/MADAKTARI_WALIOBOBEA_KATIKA AFYA_YA_MWANADAMU_WALIFANYA_TAFITI_YA_NAMNA_YA_KUONDOA_CHANGAMOTO_HIZO_BILA_KUTUMIA_DAWA_AU_VIAMBATA_VYENYE_SUMU_BALI_KUTUMIA_VIRUTUBISHO.

Virutubisho hivyo vimekuwa vikitumiwa na watu wengi kwa zaidi ya mataifa 170 duniani na tunashuhuda nyingi za watu waliopata kuboreshwa kwa afya zao baada ya kutumia virutubisho hivyo.

Kwa Ushauri au Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote Ulipo(Tanzania Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).

Kwa maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa zinazo ondoa tatizo hilo wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.
Free delivery ndani ya Dar, kama upo mkoani utatumiwa pia ndani ya tanzania.

Ni virutubisho asili ambavyo vimeshawasaidia watu wengi saana hapa nchini na Duniani kwa Ujumla. Karibu Upate huduma zetu kwa ushauri pia wasiliana nasi PIGA /TUMA NENO :"Health and wellness is Your Priority".kisha #SULUHISHO KWA UDHAIFU WA TENDO LA NDOA.

. kwa mawasiliano: +255768603979“maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”
. ///https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…
https://paulbiswalo.blogspot.com/
https://www.pinterest.com/biswalopaul/
SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.
 
Share:

UZITO ULIOKITHIRI, KISUKARI,KUHARIBIKA KWA MZUNGUKO WA DAMU(PRESHA NK),CHOLESTEROL, VYAKULA NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

UZITO ULIOKITHIRI, KISUKARI,KUHARIBIKA KWA MZUNGUKO WA DAMU(PRESHA NK),CHOLESTEROL, VYAKULA NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.

Ndugu hivi sasa kuna mijadala na maswali mengi juu ya chanzo na ongezeko la Waathirika Wa Upungufu Na Ukosefu Wa Nguvu za Kiume,hili ni tatizo lililokithiri na kuiathiri sana jamii hususani katika karne hii ya 21.

Hii ni Kutokana na mfumo mzima wa Maisha kubadilika,Mfano;Aina ya vyakula,vinywaji, kutofanya mazoezi, mavaazi, vyombo vya electronics na hata madawa(Medications nk) vinanatajwa kuwa ni sababu.

Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya magonjwa kama kisukari, pressure, na matatizo ya Uzito, rehemu(cholesterol),matatizo ya homoni,Tezi dume,Mfumo mbaya wa mmeng'enyo wa chakula,kuwa ni matokeo na kichocheo cha Upungufu ama Ukosefu Wa Nguvu Za Kiume(Kushindwa kufika Kileleni ama kufika kabla ya wakati),Sababu zingine,ni kuathirika kisaikolojia,Upigaji punyeto Magonjwa ya Zinaa,na maradhi ya ngili ni Chanzo moja wapo!!

Mfumo Wa Nguvu Za Kiume,Unategemea mambo makuu manne;
i)Mzunguko mzuri wa damu
ii)Tezi imara ya fahamu (pituitary)
iii)Misuli imara ya uume
iv)Utendaji kazi mzuri wa Tezi ya kiume

Madhara ya sukari Na Nguvu za kiume:
-Huathiri mfumo wa fahamu hivyo kupelekea utendaji duni wa Tezi ya pituitary katika kutoa taarifa wakati wa tendo
-Huathiri mfumo mzima wa mzunguko wa damu kuelekea katika mishipa ya uume,nasehemu zinginezo za mwili
-Huathiri uimara wa misuli ya uume hivyo kuufanya uume usisimame imara.

Madhara ya Kitambi:
Husababisha ongezeko la mafuta mabaya katika mishipa ya damu hivyo kuathiri mzunguko wa damu.
Kugandamizwa kwa njia ya kusafirisha mbegu iliyopo karibu na kibofu.
Kupelekea pressure ya mwili kuwa juu hivyo kumfanya mwanamme ashindwe kufika kileleni.
Hudhoofisha misuli ya uume kutokana na kuzidi kwa mafuta.

Madhara ya vyakula,vinywaji, sigara/ mazingira

Hili limechangia kwa kiasi kikubwa sana takribani 60% kulingana Na tafiti za kitabibu katika hospitali ya Taifa muhimbili (MNH)kuathiri afya ya mfumo wa uzazi hususani kwa vijana umri wa kuanzia miaka 18-48 kwani vijana wengi hupendelea kula vyakula vilivyokoborewa na vyenye mafuta mengi, sukari, n.k. hivyo kuifanya miili yao iongeze kiwango cha sumu mwilini ambayo inatajwa kusababisha kuharibika kwa mfumo wa ufyonzaji Na usafirishaji wa virutubisho,madini na vitamins katika miili yetu!!

Sambamba na hilo Sigara hupunguza kiwango kikubwa cha vitamin C muhimu katika afya ya mfumo wa mwili.

Ushauri Au Suluhisho La Kudumu Namna Ya Kulikabili,Kutibu Na Kuliondoa Tatizo La Nguvu Za Kiume.

Tiba Hutegemeana Na Chanzo Cha Tatizo;
Mfano kama mwathirika ana kisukari sio rahisi kutibu Nguvu za kiume bila kurekebisha sukari katika damu, sanjari Na hilo mwathirika wa Uzito ni lazima adhibiti Uzito au kuondoa sumu kabla ya kuchukua jukumu la kutibu Nguvu za kiume.
Pia ni muhimu kuhakikisha presha ya mwili ipo sawa wakati wote,kwani huweza kuathiri mfumo na Utendaji kazi wa mwili.

Mwisho Kama Mwathirika Ameathirika kwa kiwango kikubwa,Ana sumu nyingi mwilini ni muhimu kufanya detoxification(kuondoa Sumu),kabla ya kupoteza gharama au kukimbilia matibabu kwani matibabu bila kujua chanzo hupelekea kukomaa kwa tatizo.

Kwa Msaada Juu Ya Virutubisho Gani Utumie Na Ushauri wa nini ule na nini usile....

Popote Ulipo Tanzania na Nje Ya Tanzania...
Wasiliana Nasi "HEALTH AND WELLNESS IS YOUR PRIORITY",wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.

Kumbuka Ndoa Nyingi Zinavunjika,Sio tu,Kwasababu Ya Hali Ngumu Ya Uchumi Bali Ni Wanandoa Kushindwa Kufikia Lengo Na Haja Za Miili!!


Kwa wale wanaohitaji huduma
mtapatiwa huduma hizi chakufanya wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979. . KUMBUKA
USHAURI KUHUSU TIBA NI BUREE.


WENGI WAMESAIDIWA WE UNANGOJA NINI?WASAMBAZIE NA WENGINE UNAOWAJALI. "KUMBUKA AFYA NI BORA KULIKO PESA"

https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…
https://paulbiswalo.blogspot.com/
https://www.pinterest.com/biswalopaul/

SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.

Ahsante na karibu sana.
 
 
 
 
Share:

💥💥 JE, UNATATIZO LA KUKOSA CHOO KWA MDA MREFU (CONSTIPATION)?


💥💥 JE, UNATATIZO LA KUKOSA CHOO KWA MDA MREFU (CONSTIPATION)?

💥💥JE, UNAJUA KUWA NI HATARI SANA KWA AFYA YAKO..?

wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.

👉Leo Napenda kushare nanyi Tatizo ambalo nilikuwa nalo kwa muda wa Mika 4 Huko nyuma. Tatizo la Constipation. Nilikuwa nakaa bila kupata Choo kwa muda wa siku 10 na zaidi. Nilitibiwa sana hospitali, lakini tatizo halikuisha. Lakini kwa Sasa namshukuru Mungu tatizo hili limekwisha.

👉TUANGALIE NINI KINACHOSABABISHA MTU KUTOKUPATA CHOO:

Tatizo la kukosa CHOO (CONSTIPATION) ni tatizo ambalo limekuwa likiwasumbua watu wengi leo katika dunia, watu wamekuwa wakiteseka bila kujua nini chanzo cha tatizo hili wengine wamekuwa wakilipuuza bila kujua madhara ambayo wanaweza kuyapata kutokana na tatizo hili.

Tafiti zinaonyesha mtu anaweza kupoteza maisha kama atakosa Choo kwa siku tano hadi saba mfululizo. Mtu anapokosa choo kikubwa kwa siku kadhaa, uchafu hujikusanya tumboni na unapokosa sehemu ya kutokea hukimbilia kwenye damu na kuingia kwenye mfumo mzima wa damu. Uchafu huo unapoingia kwenye mfumo wa damu huwa sumu na chanzo cha maradhi mengine ambayo hujitokeza baadae na kuanza kumuathiri mtu, bila kujua.

Tatizo la ukosefu wa choo husababishwa zaidi na ulaji mbaya wa vyakula vilivyokobolewa mfano ugali wa sembe na mikate. kutokula matunda na mboga za majani na staili mbaya ya maisha ikiwa ni pamoja na kutokunywa maji ya kutosha kwa siku.

MADHARA YATOKANAYO NA UKOSEFU WA CHOO (CONSTIPATION)

👉Tumbo kujaa gesi
👉Kupata Saratani ya Utumbo mpana
👉Figo inaweza isifanye kazi vizuri
👉Magonjwa ya Moyo
👉Magonjwa ya Ini
👉Kukakamaa kwa mishipa ya Damu na kusababisha miguu kuwaka Moto na ganzi ya miguu na mikono. 👉Matatizo ya Kisukari, presha nk nk

EPUKA TATIZO Kwa kutumia virutubisho halisi vya mimea, matunda na mbogamboga, Virutubisho vilivyo na Ubora wa kusafisha SUMU, kulinda na kuboresha afya.


Kwa wale wanaohitaji huduma
mtapatiwa huduma hizi chakufanya wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979. . KUMBUKA
USHAURI KUHUSU TIBA NI BUREE.


WENGI WAMESAIDIWA WE UNANGOJA NINI?WASAMBAZIE NA WENGINE UNAOWAJALI. "KUMBUKA AFYA NI BORA KULIKO PESA"

https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…
https://paulbiswalo.blogspot.com/
https://www.pinterest.com/biswalopaul/

SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.

Ahsante na karibu sana.
 
 
 
 
Share:

Popular Posts

Blog Archive

for any assistance.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

Featured post

UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI??????

AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO. UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI?????? jiulize swali hili na utafakali vizuri ilik...

Followers

Contact Form

Name

Email *

Message *

Labels

Total Pageviews

Theme Support