Health And Wellness Is Your Priority & Personal Development Mentorship Programs.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

ALIANZA BABU MPAKA VITUKUU!! AJABU NA NIHATARI,INATISHA KWELI KWELI!!

ALIANZA BABU MPAKA VITUKUU!!
AJABU NA NIHATARI,INATISHA KWELI KWELI!!

wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.

Sasa hivi urithi Mkubwa Uliobaki Ni kurithishana Magonjwa,Anaugua Babu Mpaka Mjukuu...
Hili Halina Ubishi Hata ukifanya Tafiti zako binafsi Utabaini na kuamini ninacho kisema.

Wataalamu wa afya wanasema magonjwa mengi hutokana na historia ya familia,na genes kutoka kizazi hadi kizazi...

Zama Zimebadilika,Tuliamini Ugonjwa unaotokana na genes ni Pumu na Seli Nundu...
Lakini Sikuhizi Watu wamegeuka kuwa mabingwa na mahiri kwa kuishi na magonjwa kwa zaidi ya miaka 15-30,Maisha yanaendelea..!!

Utakuta Mtu Anasimulia Mimi Nina vidonda vya tumbo huu mwaka wa 10....
Nakula Mara tatu kwa siku napata choo kwa siku Mara moja ama baada ya siku mbili,mmh uko salama kweli?
Tatizo la kutokupata choo....nina miaka 5....
Mimi nimeishi Na Presha Huu ni mwaka wa 20..
Babu yangu ameugua kisukaria takribani miaka 7,hata Mimi ninacho..!!
Unaona kabisaa haya magonjwa ya nageuka kuwa sifa hivo huo ni ushahidi tosha kwamba kwa vyovyote vile kunamtu atarithishwa!!

Mfano Magonjwa ya Presha,Kisukari,Vidonda vya Tumbo,Matatizo Ya kibofu cha Mkojo,Fibroids(Vimbe ndani au nje ya mfuko wa uzazi wa mwanamke).
Tezi Dume,Matatizo ya joints,Michirizi chirizi kwenye ngozi,Keloids na magonjwa ya ngozi!!
Magonjwa haya kwa asilimia kubwa ukichunguza utakuta kwenye ukoo huo kuna MTU aliugua,tena babu,bibi au shangazi nk!!

Kama wewe unaweza kuishi na ugonjwa labda kutokana na sababu mbali mbali,za kiuchumi ama kwa kupuuza na kuona ni ugonjwa ambao babu aliugua basi na Mimi hivo hivo,ujue kabisa wewe mpaka na vitukuu vyako yawezekana wakaugua tatizo hilo hilo....

Sikuhizi kuna Kisukari cha ukoo,Presha ya kupanda na kushuka ya ukoo,Unene Uliokithiri ni Sifa ya ukoo,Vidonda vya tumbo na kutokupata choo kwa ukoo,Matatizo ya joints Ya ukoo...

Mwisho wa siku utasikia ukoo huo wana Presha,wana Kisukari nk....
Ukoo huo wanene sana(mabonge).

Tezi Dume Babu Mpaka Vitukuu,Joints viungo na miguu kuwaka moto Babu mpaka vitukuu!!

Matatizo ya macho nk utakuta ni ugonjwa wa ukoo..Ukoo huo ni vipofu!!

Jamani hizi hali tunazitengeza sisi wenyewe na kuamini kuwa kuna baadhi ya magonjwa hayana shida utapeta nayo tu..kigumu gumu,hatari nikwamba unajiathiri na kukiathiri kizazi chako....

Unaona kabisa MTU amejenga imani kwamba aliugua babu,kumbe hata kupona ni ngumu kwa maana kwamba unaamin ni ugonjwa wa familia....

Tatizo lingine ambalo linashika hatamu na limekuwa gumzo na ataanza babu mpaka mjukuu,vitukuu na vilembwe ni Tatizo la Ukosefu wa Nguvu za kiume,kushindwa kufika kileleni,maana wanaume wengi siku hizi,hasa wale wa miko Fulani Fulani wako kwenye hatari zaidi!!

Hii ni hatari zaidi kumbe hata binadamu tutaanza kutoweka maana kutakuwa hakuna tena wanaume wenye uwezo wa kuzalisha miaka 100 ijayo!!

Kwa nini nayasema haya,lengo nikukutaka utafakari....

Ujiulize kama una tatizo la kiafya,..je,unahisi ni la ukoo,aliugua babu mpaka wewe,aliugua Dada,kaka,shangazi,mjomba na nk?

Kama nihivo basi na wewe umerithi,kwa hiyo utawarithisha na wanao na kuendelea...

"Chonde chonde usije ukawarithisha tatizo la kukoswa Nguvu za kiume"

Binafsi nimefikiria na kwenda mbali zaidi...kukukumbusha usikae na ukabweteka hakikisha afya yako inakuwa vizuri ...

Sasa tunafanya nini,na unajua kabisa matatizo mengi ya kiafya,medication(kwa maana ya matibabu ya hospital,baadhi ya magonjwa hospital hayajapata utatuzi,pia madawa nayo ni chanzo cha matatizo,yaani kazi IPO)...

Tekinolojia inaongezeka Ajira zinapungua(Unasubiri viwanda eti)...,matokeo yake umasikini unachukua kasi na magonjwa yanaongezeka vile vile tutaendelea kurithishana magonjwa kizazi hadi kizazi!!

Kwa hiyo Leo ukiona nakushauri kutumia virutubisho usinishangae,tena usione ajabu,ila nikwasababu ya kuilinda na kuiokoa afya yako wewe na jamaa wako...

Na njia pekee iliyo salam ni kutumia virutubisho,pia uwe makini usiokote okote tu,virutubisho kwa sababu nimeshauri na ukaanza kutumia...

Wasiliana nasi Independent Health Consultant kutoka "Health and wellness is your priority" tutapendekeza ni virutubisho vipi ni sahihi kuajili ya afya yako...!!

sababu magonjwa mengi huanzia jikoni kwenye kuandaa Vyakula na katika mmeng'enyo wa chakula,tuna kula vitu vingi vyenye manufaa na visivyo na manufaa,tunajaza sumu nyingi miliini mwetu na kuzifanya kinga za miili yetu kuwa dhohofu,hivo kuruhusu magonjwa kutuingilia kwa kasi zaidi.....

Kwa Ushauri na Matibabu juu ya magonjwa mbali mbali...


BAADA_YA_CHANGAMOTO_KUIKUMBA_JAMII_JOPO LA WATAALAMU/MADAKTARI_WALIOBOBEA_KATIKA AFYA_YA_MWANADAMU_WALIFANYA_TAFITI_YA_NAMNA_YA_KUONDOA_CHANGAMOTO_HIZO_BILA_KUTUMIA_DAWA_AU_VIAMBATA_VYENYE_SUMU_BALI_KUTUMIA_VIRUTUBISHO.

Virutubisho hivyo vimekuwa vikitumiwa na watu wengi kwa zaidi ya mataifa 170 duniani na tunashuhuda nyingi za watu waliopata kuboreshwa kwa afya zao baada ya kutumia virutubisho hivyo.

Kwa Ushauri au Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote Ulipo(Tanzania Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).

Kwa maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa zinazo ondoa tatizo hilo wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.
Free delivery ndani ya Dar, kama upo mkoani utatumiwa pia ndani ya tanzania.

Ni virutubisho asili ambavyo vimeshawasaidia watu wengi saana hapa nchini na Duniani kwa Ujumla. Karibu Upate huduma zetu kwa ushauri pia wasiliana nasi PIGA /TUMA NENO :"Health and wellness is Your Priority".kisha #SULUHISHO KWA MARADHI SUGU.
. kwa mawasiliano: +255768603979“maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”
. ///https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…

SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.
 
 
Share:

No comments:

Post a Comment

warmly welcome

contact us via +255 768 603 979.

Popular Posts

Blog Archive

for any assistance.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

Featured post

UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI??????

AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO. UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI?????? jiulize swali hili na utafakali vizuri ilik...

Followers

Contact Form

Name

Email *

Message *

Labels

Total Pageviews

Theme Support