Health And Wellness Is Your Priority & Personal Development Mentorship Programs.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

Hakuna ndoto KUBWA inayokamilika kwa usiku mmoja.Kila lengo kubwa ulilonalo maishani lazima lipitie hatua muhimu kabla halijakamilika.

Hakuna ndoto KUBWA inayokamilika kwa usiku mmoja.Kila lengo kubwa
ulilonalo maishani lazima lipitie hatua muhimu kabla halijakamilika.

Katika utafiti wangu kwa watu waliofanikiwa na kujifunza kutokana na
mambo niliyopitia binafsi katika kufuatilia ndoto zangu,nimegundua kuwa
kila ndoto lazima ipitie hatua tano kabla hazijafanikiwa.
Leo Ningependa nikushirikishe hatua moja ambayo inaitwa "Isolation/desperation"(Hatua ya kubaki peke yako bila Msaada).

Unapoanza kufuatilia ndoto zako kuna wakati utapata sapoti kubwa sana
ila kuna wakati utafika itakuwa kama vile kila mtu amekuacha peke yako
na hakuna aliyeko karibu kukupa Msaada unaotakiwa kuupata. Huu ndio ule wakati ambapo kila mtu ambaye ulihisi atakuwa Msaada wako haonekani na wala hapokei simu zako.

Inawezekana uliweka tumaini kwa ndugu aliyesema
atakupa mtaji,atakusomesha ama atakuunganishia Kazi lakini sasa muda
Mrefu umepita na hajakupa Msaada wowote ule. Huu ndio wakati
ambao unaona kama rafiki na ndugu ambao uliwahi kuwasaidia huko nyuma wanatakiwa nao wakusaidie pia lakini cha kushangaza hakuna yeyote ambaye anajitokeza kukupa Msaada.

Usisahau kuwa sio wewe tu peke yako
unapitia hali hiyo,kila aliyefanikiwa aliwahi kupitia hali hiyo pia.Kama
unataka kuungana na wale ambao wamefika kilele cha mafanikio,basi amua kuwa bila kujali kama kuna mtu atajitokeza kukusaidia ama la,bado utasonga mbele tu.
Leo,kama uko kwenye "desperation stage" Amua Kusonga Mbele bila kukatishwa tamaa na ambao hawajakupa Msaada.

Huwezi kurudisha wakati nyuma & kurekebisha makosa yako lakini unaweza kujifunza kutokana na makosa na kujisamehe mwenyewe kwa kutokujua vizuri zaidi.
Ulipo kuwa mtoto ulifanya kama mtoto na ulipelekwa sehemu usiyoipenda...
ila sasa hivi wewe ni kijana au mtu mzima waweza fanya utakavyo na muda utafika tena usipokamilisha ndoto zako hutoweza tena kufanya maendeleo na hapo ndipo watakupeleka usipotaka tena na kukupa usichokitaka kuepuka hilo fanya kitu ambacho mwishowe kitakufanya uishi maisha uyapendayo wewe na sio wapendayo ndugu zako!

nitafute inbox/piga kwa namba hii +255768603979 nikupe mchakato utafikaje na kuja kuufurahia uzee wako.

Wako katika kuijenga imani yako juu ya kufanikiwa katika maisha na kuwa na afya njema.
-Paul Biswalo.
Mhamasishaji,Muelimishaji,Mkufunzi,Mwalimu,Mshauri wa lishe bora na Afya,Mfanyabiashara wa Kimataifa.
(Mwenye Vipaji Vingi/Asiyekuwa na Kikomo).

Share:

No comments:

Post a Comment

warmly welcome

contact us via +255 768 603 979.

Popular Posts

Blog Archive

for any assistance.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

Featured post

UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI??????

AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO. UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI?????? jiulize swali hili na utafakali vizuri ilik...

Followers

Contact Form

Name

Email *

Message *

Labels

Total Pageviews

Theme Support