Health And Wellness Is Your Priority & Personal Development Mentorship Programs.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

TATIZO LA MICHIRIZI CHIRIZI KWENYE NGOZI(STRETCH MARKS),NICHANGAMOTO KWA WANAWAKE NA WANAUME.

TATIZO LA MICHIRIZI CHIRIZI KWENYE NGOZI(STRETCH MARKS),NICHANGAMOTO KWA WANAWAKE NA WANAUME.

wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.

Michirizi Kwenye Ngozi Ni Moja Ya Matatizo Yawapatayo Watu Wengi Hususani Wasichana,Wanawake Na Wavulana.
Tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa watu wengi wanasumbuliwa na tatizo la Michirizi kwenye ngozi(Stretch Marks).
Kati ya 50% na 80% ya wanawake pamoja na 40% ya wanaume husumbuliwa na hill tatizo.

Michirizi hii hujitokeza katika sehemu mbalimbali za mwili ambazo ngozi yake ina mafuta mengi kama vile sehemu ya chini ya Tumbo,Mapajan,Mikononi,Kwenye Matiti,Makwapani Na Kwenye Makalio.
Kwa wanaume Michirizi hii huwatokea Mabegani,Kifuani Na Mgongoni.

Chanzo Cha Tatizo La Michirizi(Stretch Marks);

Ngozi ya Binadamu ina matabaka matatu yaani tabaka la juu,tabaka la kati na tabaka la chini(ndani),Michirizi ya ngozi huanzia katika tabaka la kati ambalo kimsingi ndilo linaloipatia ngozi uimara na uwezo wa kuvutika.

Sehemu hii ya ngozi inapovutika kupita kiasi ndani ya kipindi kifupi na ikaendelea kuwa katika hali hiyo hiyo,basi ngozi hiyo huvimba na kusababisha kuchanika kwa nyuzi nyuzi za ngozi ziitwazo collagen.

Hali hii husababisha upungufu wa elastin na fibronectin,vitu ambavyo huifanya ngozi kuwa imara na kuvutika kwa urahisi.

Uvimbe na mchaniko wa tabaka la kati la ngozi unapopona, huacha makovu yanayoonekana kama michirizi ya kudumu kwenye ngozi,hali hii hujitokeza zaidi kwa Wanawake hasa wakati wa ujauzito,ambapo 90% ya wanawake wajawazito hupata tatizo hili kwa ukubwa unaotofautiana tofautiana.

Baadhi ya tafiti zinaonesha kuwa wasichana wanaobeba ujauzito katika umri mdogo wanakabiliwa na tatizo hili zaidi ya watu wengine,takribai 70% ya wasichana hupata tatizo hili wakati wa barehe na takribani 40% ya wavulana hupata tatizo hili katika kipindi hicho hicho cha makuzi.

Chanzo ni kwamba katika kipindi hicho kunakuwa na ongezeko la kiasi kikubwa cha homoni za mwili.

Pia wanaume wanaofanya mazoezi ya kutunisha misuli pia wanaweza kukabiliwa na hali hii kutokana na mabadiliko ya muda mfupi ya umbo la miili yao na misuli.
Watu wanene au wanaopoteza uzito wao ndani ya kipindi kifupi,nao wanaweza kupata tatizo la Michirizi.

Baadhi ya Tafiti zinahusisha hali hii na urithi wa vinasaba vya kijenetiki,wanaamini kuwa kama mmoja wa wazazi ana tatizo hili basi kuna uwezekano mkubwa watu wa uzao wake kupata tatizo la michirizi pia.

Jambo jingine ambalo linaweza kusababisha hali hii ni matumizi ya vipodozi vyenye viambato vya dawa aina ya cortisone kama vile clobetazole au matumizi ya dawa hizo za hospitalini kwa muda mrefu.

Cortisone huifanya ngozi kuwa laini na kupoteza uwezo wake wa kuhimili hali ya ngozi kuvutika,hali hii pia inaweza kutokea katika baadhi ya magonjwa kama vile ugonjwa unaosababisha unene wa kupindukia(Cushing syndrome).

Changamoto nyingine ni Lishe Duni au Haba,ulaji wa vyakula vyenye upungufu wa madini ya Zinc huchangia kwa kiwango kikubwa tatizo la Michirizi,madini haya husaidia mwili kuzalisha kiasi cha kutosha cha Collagen,ambayo ni muhimu kwa ajili ya ngozi kuwa na uwezo wa kuvutika bila kupata athari mbaya.
Ukosefu au upungufu wa Zinc husababisha ngozi kupata michirizi au milia kwa urahisi.

Athari Za Kuwa Na Mchirizi(Stretch Marks);
Mara nyingi michirizi ya ngozi haina athari kubwa ya kiafya.
Baadhi ya tafiti zinaonesha kuwa tatizo hili la Kutokwa Michirizi Chirizi kwenye Ngozi linaweza kusababisha athari za kisaikolojia kwa baadhi ya watu wenye tatizo hilo.

Hii ni kutokana na ukweli kuwa michirizi hii inaharibu mwonekano na mvuto wa mtu hasa katika sehemu zisizofunikwa na mavazi au pale mtu anapovua nguo.

Katika utafiti mmoja,ilibainika kuwa,karibu nusu ya wanawake hasa vijana wenye michirizi ya ngozi wanasononeshwa na makovu ya kudumu ya michirizi hii,Wengi walibainisha kuwa makovu haya yanaathiri vibaya uchaguzi wa mavazi yao na jinsi wanavyoamua kuvaa.

20% walidai kuwa wamekuwa wakijaribu kuwaficha wapenzi au wenzi wao wa ndoa kuhusu tatizo hilo.
Baadhi ya wachunguzi wa maswala ya afya ya uzazi pia wanadai kuwa,wanawake wenye michirizi ya ngozi hasa wakati wa ujauzito wanaweza kukabiliwa na tatizo la kushindwa kudhibiti mkojo mara baada ya kujifungua kutokana na udhaifu wa misuli ya pango la nyonga.

Michirizi hii pia inaweza kusababisha muwasho,hisia za ngozi kuwaka moto na ukavu wa ngozi kwa baadhi ya watu.
Michirizi kwenye ngozi inaweza kuchanika na kusababisha vidonda kwa wagonjwa wenye tatizo la saratani.

Suluhisho Na Namna Ya Kulikabili Tatizo La Michirizi(Stretch Marks);
Njia ya kwanza ya kukabiliana na tatizo hili ni kuzingatia kanuni bora za lishe pamoja na kunywa maji ya kutosha kila siku.
Ni vizuri kula chakula chenye madini ya kutosha ya zinc na aina mbalimbali za vitamini ili kuimalisha afya ya ngozi.

Kama Uko Bize,Huwezi Kuandaa Lishe Rafiki Kuajili Yako,Uhahitaji Suluhisho La Haraka,Na Unachangamoto ya kuyapata madini ya Zinc kwa Wingi Na Vitamins.

Wasiliana Nasi "HEALTH AND WELLNESS IS YOUR PRIORITY" Kwa Ushauri Na Tiba Ya Uhakika..

kwa mawasiliano: +255768603979. “maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”

https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…
https://paulbiswalo.blogspot.com/
https://www.pinterest.com/biswalopaul/

SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.

Ahsante na karibu sana.
 
 
Share:

No comments:

Post a Comment

warmly welcome

contact us via +255 768 603 979.

Popular Posts

Blog Archive

for any assistance.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

Featured post

UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI??????

AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO. UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI?????? jiulize swali hili na utafakali vizuri ilik...

Followers

Contact Form

Name

Email *

Message *

Labels

Total Pageviews

Theme Support