Health And Wellness Is Your Priority & Personal Development Mentorship Programs.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

KITAMBI, KISUKARI, PRESSURE, CHOLESTEROL, VYAKULA Na UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

KITAMBI, KISUKARI, PRESSURE, CHOLESTEROL, VYAKULA Na UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.

Kumekuwa Na mijadala Na maswali mengi katika vyanzo Na ongezeko la waathirika wa upungufu na ukosefu wa Nguvu za kiume katika jamii hususani katika karne ya 21.

Kutokana Na mfumo wa Maisha kubadilika kuanzia aina ya vyakula, vinywaji, kutofanya mazoezi, mavazi, vyombo vya electronics Na hata madawa ya kujitibia yanatajwa kuwa sababu.

Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya magonjwa kama kisukari, pressure, Na matatizo ya Uzito, rehemu(cholesterol) katika kuongezeka tatizo, japo kuwa zipo sababu zingine za kisaikolojia, upigaji punyeto Na maradhi ya ngili kuchangia.

Mfumo wa Nguvu za kiume unategemea mambo manne nayo ni;
i)Mzunguko mzuri wa damu
ii)Tezi imara ya fahamu (pituitary)
iii)Misuli imara ya uume
iv)Utendaji kazi mzuri wa Tezi ya kiume

Madhara ya sukari Na Nguvu za kiume:
•Kuathiri mfumo wa fahamu hivyo kupelekea utendaji duni wa Tezi ya pituitary katika kutoa taarfa wakati wa tendo
•Kuathiri mfumo mzima wa mtiririko wa damu kuelekea misuli Na mishipa ya uume
•Kuathiri uimara wa misuli ya uume hivyo kuufanya uume usisimame imara

Madhara ya Kitambi:
•Kusababisha ongezeko la mafuta mabaya katika mishipa ya damu hivyo kuathiri mzunguko wa damu
•Kugandamizwa kwa njia ya kusafirisha mbegu iliyopo karibu Na kibofu
•Kupelekea pressure ya mwili kuwa juu hivyo kumfanya mwanamme ashindwe kufika kilele
•kudhoofisha misuli ya uume kutokana Na kuzidi kwa mafuta

Madhara ya vyakula, vinywaji, sigara/ mazingira

Hili limechangia kwa kiasi kikubwa sana takribani 60% kulingana Na tafiti za kitabibu katika hospitali ya taifa muhimbili (MNH)kuathiri afya ya mfumo wa uzazi hususani kwa vijana umri wa kuanzia miaka 18-48 kwani vijana wengi hupendelea kula vyakula vilivyokoborewa Na vyenye mafuta mengi, sukari, n.k. hivyo kuifanya miili yao iongeze kiwango cha sumu mwilini ambayo inatajwa kusababisha kuharibika kwa mfumo wa ufyonzaji Na usafirishaji virutubisho.
Sambamba Na hilo sigara hupunguza kiwango kikubwa cha vitamin C mhimu katika afya ya mfumo wa mwili.

Ushauri dhidi ya kuodoa tatizo juu ya Nguvu za kiume.
Tiba hutegemea Na chanzo cha tatizo, mfano kama mwathirika ana kisukari sio rahisi kutibu Nguvu za kiume bila kurekebisha sukari katika damu, sanjari Na hilo mwathirika wa Uzito ni lazima adhibiti Uzito au kuondoa sumu kabla ya kuchukua jukumu la kutibu Nguvu za kiume. Pia ni mhimu kuhakikisha presha ya mwili ipo sawa wakati wrote kwani huweza kuathiri mfumo was utendaji wa mwili.

Mwisho waathirika was kiwango kikubwa cha sumu mwilini ni mhimu kufanya detoxification kabla ya kupoteza gharama au kukimbilia matibabu kwani matibabu bila kujua chanzo hupelekea kukomaa kwa tatizo.

Kwa mawasiliano zaidi Na msaada juu ya virutubisho asilia Na ushauri wa nini ule Na usile tupigie au tutumie SMS kwenye namba hii +255768603979.
Kumbuka ndoa nyingi zinavunjika sio kwasababu ya hali ngumu ya Uchumi Bali ni wanandoa kushindwa kufikia lengo la haja za miili.

"EPUKA AIBU, EPUKA MCHEPUKO"
mama inamhusu saidia mwenzi wako

BAADA_YA_CHANGAMOTO_KUIKUMBA_JAMII_JOPO LA WATAALAMU/MADAKTARI_WALIOBOBEA_KATIKA AFYA_YA_MWANADAMU_WALIFANYA_TAFITI_YA_NAMNA_YA_KUONDOA_CHANGAMOTO_HIZO_BILA_KUTUMIA_DAWA_AU_VIAMBATA_VYENYE_SUMU_BALI_KUTUMIA_VIRUTUBISHO.

Virutubisho hivyo vimekuwa vikitumiwa na watu wengi kwa zaidi ya mataifa 170 duniani na tunashuhuda nyingi za watu waliopata kuboreshwa kwa afya zao baada ya kutumia virutubisho hivyo.

Kwa Ushauri au Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote Ulipo(Tanzania Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).

Kwa maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa/VIRUTUBISHO zinazo ondoa tatizo hilo wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.
Free delivery ndani ya Dar, kama upo mkoani utatumiwa pia ndani ya tanzania.

Ni virutubisho asili ambavyo vimeshawasaidia watu wengi saana hapa nchini na Duniani kwa Ujumla. Karibu Upate huduma zetu kwa ushauri pia wasiliana nasi PIGA /TUMA NENO :"Health and wellness is Your Priority".kisha #SULUHISHO KWA MGONJWA MWENYE TATIZO LA KITAMBI, KISUKARI, PRESSURE, CHOLESTEROL, VYAKULA Na UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME..

. kwa mawasiliano: +255768603979“maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”
. ///https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…

SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.
 
 
Share:

No comments:

Post a Comment

warmly welcome

contact us via +255 768 603 979.

Popular Posts

Blog Archive

for any assistance.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

Featured post

UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI??????

AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO. UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI?????? jiulize swali hili na utafakali vizuri ilik...

Followers

Contact Form

Name

Email *

Message *

Labels

Total Pageviews

Theme Support