Health And Wellness Is Your Priority & Personal Development Mentorship Programs.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

UZITO ULIOKITHIRI, KISUKARI,KUHARIBIKA KWA MZUNGUKO WA DAMU(PRESHA NK),CHOLESTEROL, VYAKULA NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

UZITO ULIOKITHIRI, KISUKARI,KUHARIBIKA KWA MZUNGUKO WA DAMU(PRESHA NK),CHOLESTEROL, VYAKULA NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.

Ndugu hivi sasa kuna mijadala na maswali mengi juu ya chanzo na ongezeko la Waathirika Wa Upungufu Na Ukosefu Wa Nguvu za Kiume,hili ni tatizo lililokithiri na kuiathiri sana jamii hususani katika karne hii ya 21.

Hii ni Kutokana na mfumo mzima wa Maisha kubadilika,Mfano;Aina ya vyakula,vinywaji, kutofanya mazoezi, mavaazi, vyombo vya electronics na hata madawa(Medications nk) vinanatajwa kuwa ni sababu.

Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya magonjwa kama kisukari, pressure, na matatizo ya Uzito, rehemu(cholesterol),matatizo ya homoni,Tezi dume,Mfumo mbaya wa mmeng'enyo wa chakula,kuwa ni matokeo na kichocheo cha Upungufu ama Ukosefu Wa Nguvu Za Kiume(Kushindwa kufika Kileleni ama kufika kabla ya wakati),Sababu zingine,ni kuathirika kisaikolojia,Upigaji punyeto Magonjwa ya Zinaa,na maradhi ya ngili ni Chanzo moja wapo!!

Mfumo Wa Nguvu Za Kiume,Unategemea mambo makuu manne;
i)Mzunguko mzuri wa damu
ii)Tezi imara ya fahamu (pituitary)
iii)Misuli imara ya uume
iv)Utendaji kazi mzuri wa Tezi ya kiume

Madhara ya sukari Na Nguvu za kiume:
-Huathiri mfumo wa fahamu hivyo kupelekea utendaji duni wa Tezi ya pituitary katika kutoa taarifa wakati wa tendo
-Huathiri mfumo mzima wa mzunguko wa damu kuelekea katika mishipa ya uume,nasehemu zinginezo za mwili
-Huathiri uimara wa misuli ya uume hivyo kuufanya uume usisimame imara.

Madhara ya Kitambi:
Husababisha ongezeko la mafuta mabaya katika mishipa ya damu hivyo kuathiri mzunguko wa damu.
Kugandamizwa kwa njia ya kusafirisha mbegu iliyopo karibu na kibofu.
Kupelekea pressure ya mwili kuwa juu hivyo kumfanya mwanamme ashindwe kufika kileleni.
Hudhoofisha misuli ya uume kutokana na kuzidi kwa mafuta.

Madhara ya vyakula,vinywaji, sigara/ mazingira

Hili limechangia kwa kiasi kikubwa sana takribani 60% kulingana Na tafiti za kitabibu katika hospitali ya Taifa muhimbili (MNH)kuathiri afya ya mfumo wa uzazi hususani kwa vijana umri wa kuanzia miaka 18-48 kwani vijana wengi hupendelea kula vyakula vilivyokoborewa na vyenye mafuta mengi, sukari, n.k. hivyo kuifanya miili yao iongeze kiwango cha sumu mwilini ambayo inatajwa kusababisha kuharibika kwa mfumo wa ufyonzaji Na usafirishaji wa virutubisho,madini na vitamins katika miili yetu!!

Sambamba na hilo Sigara hupunguza kiwango kikubwa cha vitamin C muhimu katika afya ya mfumo wa mwili.

Ushauri Au Suluhisho La Kudumu Namna Ya Kulikabili,Kutibu Na Kuliondoa Tatizo La Nguvu Za Kiume.

Tiba Hutegemeana Na Chanzo Cha Tatizo;
Mfano kama mwathirika ana kisukari sio rahisi kutibu Nguvu za kiume bila kurekebisha sukari katika damu, sanjari Na hilo mwathirika wa Uzito ni lazima adhibiti Uzito au kuondoa sumu kabla ya kuchukua jukumu la kutibu Nguvu za kiume.
Pia ni muhimu kuhakikisha presha ya mwili ipo sawa wakati wote,kwani huweza kuathiri mfumo na Utendaji kazi wa mwili.

Mwisho Kama Mwathirika Ameathirika kwa kiwango kikubwa,Ana sumu nyingi mwilini ni muhimu kufanya detoxification(kuondoa Sumu),kabla ya kupoteza gharama au kukimbilia matibabu kwani matibabu bila kujua chanzo hupelekea kukomaa kwa tatizo.

Kwa Msaada Juu Ya Virutubisho Gani Utumie Na Ushauri wa nini ule na nini usile....

Popote Ulipo Tanzania na Nje Ya Tanzania...
Wasiliana Nasi "HEALTH AND WELLNESS IS YOUR PRIORITY",wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.

Kumbuka Ndoa Nyingi Zinavunjika,Sio tu,Kwasababu Ya Hali Ngumu Ya Uchumi Bali Ni Wanandoa Kushindwa Kufikia Lengo Na Haja Za Miili!!


Kwa wale wanaohitaji huduma
mtapatiwa huduma hizi chakufanya wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979. . KUMBUKA
USHAURI KUHUSU TIBA NI BUREE.


WENGI WAMESAIDIWA WE UNANGOJA NINI?WASAMBAZIE NA WENGINE UNAOWAJALI. "KUMBUKA AFYA NI BORA KULIKO PESA"

https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…
https://paulbiswalo.blogspot.com/
https://www.pinterest.com/biswalopaul/

SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.

Ahsante na karibu sana.
 
 
 
 
Share:

No comments:

Post a Comment

warmly welcome

contact us via +255 768 603 979.

Popular Posts

Blog Archive

for any assistance.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

Featured post

UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI??????

AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO. UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI?????? jiulize swali hili na utafakali vizuri ilik...

Followers

Contact Form

Name

Email *

Message *

Labels

Total Pageviews

Theme Support