Health And Wellness Is Your Priority & Personal Development Mentorship Programs.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

VYAKULA KUMI VINAVYOONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA.

VYAKULA KUMI VINAVYOONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA.

wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.

Tatizo la uwezo wa kufanya tendo la ndoa linazidi kukua miongoni wa wanandoa na wapenzi wengi. Takwimu za kitafiti zinaonyesha kuwa karibu ndoa 4 kati ya 10 zenye umri wa miaka 3 na kuendelea zinakabiliana na tatizo hili.
Aidha wanaume 6 kati ya 10 wanatajwa kulalamikia upungufu wa nguvu za kiume.
Pamoja na matatizo mengine kutajwa kuchangia upungufu wa nguvu za kiume na kushuka kwa msisimko wa tendo miongoni mwa wanandoa, uchunguzi umeonesha kuwa utumiaji holela wa vyakula hasa vyenye mafuta ni moja kati ya sababu zinazochangia kwa kasi tatizo hili.
Kwa kuzingatia hilo, watafiti wa masuala ya uhusiano wa kimapenzi wamebaini aina mbalimbali ya vyakula ambavyo vina uwezo wa kumuongezea mtu nguvu ya kufanya tendo la ndoa kama vinavyoorodheshwa kwenu na Prince Bewisa.
Vyakula hivyo ni hivi vifuatavyo:

1. PILIPILI
Kama tunavyojua wote mara nyingi chakula ambacho kimeungwa pilipili hufanya hata mapigo ya moyo kuwa tofauti na wakati mwingine hata jasho au kamasi hutoka. Ndani ya pilipili kuna kitu kinaitwa capsaicin ambacho hufanya pilipili iwe na hali ya ukali. Capsaicin huwezesha ubongo kutoa homoni ya endorphins ambayo huleta mgusu wa hisia za raha wakati wa kufanya tendo la ndoa.
Pia pilipili husisimua mfumo wa fahamu (nerves) wa ubongo na katika kufanya hivyo huwezesha kuamshwa haraka kimapenzi (kunyegeka) wakati wa tendo la ndoa na pia ukiguswa au kubusiwa au kunyonywa au kupapaswa unapata hisia kila sehemu ya mwili.

2. MATUNDA NA MBOGA ZA MAJANI
Ulaji wa matunda na mboga za majani una matokeo makubwa sana katika hamu ya tendo la ndoa kwa njia nyingi. Kwanza matunda na mboga za majani hupunguza kiwango cha mafuta na unene (cholesterol). Kuongezeka kwa mafuta mwilini huzuia mzunguko wa damu kwa kubana mishipa ya damu.
Pia kula matunda na mboga za majani huhakikisha balance ya uzito kwani unene (obesity) kwa wanaume kuna matokeo mabaya katika kuzalisha homeni za testoeterone na hatimaye jogoo kushindwa kuwika na kuwa na pia mwanaume anakuwa na hisia za mapenzi (libido) kidogo.
Na pia wanandoa wanapozidi kunenepeana ndipo na hali ya kufurahia au kuwa na hamu ya tendo la ndoa huzidi kupungua. Kitalaam inashauriwa kula milo (potions) 3-5 za matunda kwa siku.

3. NAFAKA ZISIZOKOBOLEWA
Nafaka hasa zisizokobolewa kama mahindi, ngano, uwele, nk zina nyuzinyuzi (fibre) na sukari ngumu (complex sugar) ambazo kusaidia kutunza uzito wa mwili. Nafaka husaidia katika kuzalisha homoni za testosterone kwenye damu. Na pia nafaka huwezesha mtu kuwa na nguvu hatimaye kwenda masafa marefu wakati wa tendo.
Kula nafaka nzima kama vile brown bread badala ya white bread, pia kula nafaka halisi badala ya cornflakes ni jambo zuri linalokuhakikisha afya nejama na mahusiano mazuri ya ndoa yako.

4. TANGAWIZI
Tangawizi ni kiungo cha mboga ambacho husisimua sana na kusaidia mfumo wa mzunguko wa damu mwilini. Tangawizi zinajulikana sana kwa kusukuma damu kwenda sehemu za viungo vya uzazi yaani uke na uume hivyo kuwa na umuhimu sana katika kuboresha ufanyaji wa tendo la ndoa. Inaweza kuliwa mbichi, au kuliwa ikiwa imeungwa kwenye chakula au kusagwa na kuwa kama unga na kutumiwa kama chai.

5. ASALI
Asali ina madini yanayoitwa boron, ambayo husaidia mwili kutumia homoni ya estrogen ambayo ni homoni inayohusika na viungo ya uzazi na mapenzi kwa mwanamke.
Pia kuna utafiti unaoonesha kwamba asali huongeza nguvu, kitendo ambacho kitapelekea mwanamke kuwa uwezo na hamu ya tendo la ndoa au libido.

6. KARANGA
Karanga huhusika katika kuchochea mfumo wa mzunguko wa damu (vascular system). Mzunguko wa damu ulio sawasawa katika uke na uume huwezesha mwanaume na mwanamke kupata msisimko wa mapenzi haraka hatimaye tendo la ndoa kuwa murua. Pia karanga zina madini muhimu kama vile magnesium, asidi ya folic na zinc ambayo ni muhimu sana katika usalishaji wa mbegu za mwanaume.

7. CHAZA (OYSTERS) NA PWEZA
Hawa ni aina ya samaki ambao hupatikana katika maji chumvi. Huwa na kiasi kikubwa sana cha madini ya zinc na haya madini ndiyo huhusika zaidi na uzalishaji wa homoni ya testosterone kwa wanaume.
Pia imethibitika kwamba wanaume wenye ukosefu wa madini ya zinc huwa na matatizo ya nguvu za kiume. Pia madini mengi ya zinc mwilini huongeza kiwango cha shahawa kwa wanaume.

8. SOYA
Pamoja na kuwa na kiwango kidogo sana cha mafuta (fat) na pia kuwa na kiwango kizuri cha protein, soya zina phytoestrogens ambayo husaidia sana wanawake ambao wamefikia menopause kutengeneza homoni estrogen ya ziada.
Husaidia uke kuwa laini (wet, lubricated) mwanamke akisisimuliwa wakati wa tendo la ndoa.

9. CHOKOLETI
Chocolate ina phenylethylamine , kemikali ambayo husababisha hisia (feelings) za furaha wakati wa mwanamke au mwanaume kufika kileleni (orgasm). Inasaidia sana kula chocolate masaa machache kabla ya kuanza kufanya tendo la ndoa.

10. PARACHICHI
Aina nyingine ya chakula ambacho husaidia kuongeza uwezo wa mtu kufanya tendo la ndoa ni Parachichi. Tunda hili linauwezo mkubwa wa kuzalisha vitamini E ambayo husaidia katika uzalishaji wa homoni. Inatajwa kuwa watu wanaotumia tunda hili kwa wingi huwana msisimko mkali wa kimapenzi na kwa upande wa wanawake husaidia kuongeza majimaji yenye utelezi sehemu za siri na hivyo kuzuia uwezekano wa kuchubuka wakati wa kujamiana.

ANGALIZO.
Kutokana na kukuwa kwa sayansi na tekinolojia imepelekea kupata vyakula ,mboga mboga na matunda yenye kemikali kuanzia mbolea ,dawa za kupandia ,kukuzia hivyo huwezi kupata mlo ulio kamili na salama kutokana na kwamba watu wako kipesa zaidi hii ni kwa sababu ya mabadiriko ya hali ya hewa na mazingira,badala ya kupata lishe ili uponye maradhi mbalimbali unaingiza makemikali na sumu na kulea mardhi kama vile ,UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME ,KUSHINDWA KUSIMAMA KWA UUME,KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA KWA JINSIA ZOTE,KISUKARI,PRESHA,MOYO,FIGO,INI.

#TUMAINI LIPO.

TUNAFURAHI SANA PALE TUNAPOPATA MREJESHO CHANYA KUTOKA KWA WATEJA WETU. TUNAJUA MAISHA YA WATU YANAENDA KUBADILIKA.

wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.

YAWEZEKANA NA WEWE UNA CHANGAMOTO KAMA HIZI.

A) MULTI-MACA INAWEZA KUWA MKOMBOZI WAKO. INASAIDIA KWENYE;

1. KUONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA, STAMINA NA NGUVU.
2. KUBORESHA MSUKUMO WA DAMU AMBAYO NI MUHIMU KWENYE NGUVU ZA KIUME.
3. KUZUIA UKUAJI WA TEZI DUME.
4. KUONGEZA IDADI NA UBORA WA MBEGU.
5. KUPUNGUZA ATHARI ZA MSONGO WA MAWAZO KWENYE MWILI.
6. INARUTUBISHA MAYAI.

B) ARGI+.
Muhimu kwa afya yako fahamu sababu 10 ARGI+.

Ina 5grams za L-Arginine kwa kila kijiko kimoja,na vitamin mbalimbali zinazosaidia kuongeza stamina na nguvu.L-Arginine ina amino acid muhimu sana kwa afya kiujumla.Miili yetu inabadilisha kuwa Nitric oxide,ambayo inasaidia mishipa ya damu kutanuka na kuruhusu damu kupita.ARG+ pia ina viondosha sumu kama pomegranate.

Faida 10 za ARGI+

(1). Ni kirutubisho muhimu sana kutumia kila siku kwa ajili ya kusaidia mifumo yote ya mwili ili kuupa mwili uwezo wa kufanya kazi vizuri zaidi

(2): ina mfumo wa kinga ya mwili kutokana na Nitric oxide ambayo inatumiwa na chembechembe nyeupe za damu kuuwa bacteria.hivyo kuupa mwili uwezo zaidi na kupigana na magonjwa.

(3) inasaidia kurekebisha kiwango cha Blood pressure kiwe sahii na afya ya mzunguko wa damu ya moyo kiujumla

(4):inasaidia kutengenezwa kwa mifupa na mwili kiujumla hivyo ni vizuri sana kwa tatizo la waliovunjika mifupa au wenye mifupa dhaifu.

(5):Nitric oxide
inayotengenezwa inaongeza mzunguko wa damu ndani ya mwili na hivyo inasaidia kuongeza nguvu za kiume.

(6):inasaidia misuli kuwa imara na yenye nguvu pamoja na kupunguza mafuta ndani ya mwili ndio maana ni nzuri sana kwa wanawake na wanaume wanaofanya mazoezi.

(7): ina "promegrant" na vimelea vya matunda ambavyo ni viosha sumu inasaidia kuondoa madhara ya
free radicals mwilini.

(8):Ina vimelea
vitokanavyo na "RED WINE" ambayo inasaidia kushusha kiasi cha "CHOLESTROL" mwilini.

(9):inaongeza uwezo wa mwili kutumia Insuline(insuline sensitivity) hivyo inafaa sana kuweka uwiano wa sukari mwilini

(10): inasaidia kutoa hormones zinazopunguza kazi ya kuzeeka (Anti-Ageing) kukufanya uonekane chini ya umri wako.

Matumizi : kijiko kimoja cha ARGI+ na 240ml za kinywaji cha Aloe vera au juisi ,maji maziwa mtindi.

C) Ijue ALOEVERA GEL, kinywaji bora cha afya chenye aloe vera nyingi,( 97%).

wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.

Kinywaji hiki chenye utajiri wa Virutubisho muhimu kama ifuatavyo:-
200 compounds (active enzymes), 75 nutrients, 12 Vitamins, 20 minerals, 18 aminal acids (protein)

Faida zake kwa afya yako:
1. Kuondoa sumusumu mwilini zitokanazo na hewa chafu, vumbi, vyakula vilivyolimwa na mbolea na dawa zenye kemikali, sumu, madawa, vyakula, pombe na vileo, nk.

2. Kuondoa na kuepusha vimbe sehemu yoyote mwilini, mfano mji wa mimba, shingoni, nk.(unakunywa nyingi kwa muda)

3. Kuepusha magonjwa na kuua vijidudu kama virusi. bacteria na fangasi.

4. Kusafisha utumbo mkubwa wa chakula na:
~kuondoa mafuta yanayoganda,
~kuzuia na kusaidia gesi tumboni,
~kupata choo vizuri na kuzuia constipation (choo kigumu), hata kwa mtoto mchanga anayesumbuliwa na chango au kukosa choo (unampa kijiko kimoja cha chai)
~kusaidia mmeng'enyo wa chakula ( virutubisho vifyonzwe vizuri)
~ Kusaidia vidonda vya ndani (ulcers) na nje ya tumbo.

5. Kuongeza kinga mwilini. Na kukuepusha kushambuliwa na magonjwa mara kwa mara.

6. Inasaidia maumivu ya viungo kama miguu na mgongo.

7. Kusaidia wenye magonjwa ya umri km kisukari, presha, nk.

8. Kusaidia kuboresha matatizo mbalimbali ya ngozi km;
~kuifanya iwe nzuri na ya kuvutia,
~kuifanya iwe nyevunyevu,
~kuiondoa ukavu na mikunjokunjo,
~kutengeneza seli mpya na kuondoa seli zilizokufa.
~Kusaidia magonjwa mbalimbali ya ngozi km;aleji, muwasho, chunusi, vinundu vidogodogo vyeusi, makovu, mkanda wa jeshi na upele,

9. Kusaidia ugonjwa wa kupooza (STROKE).
10. Inasafisha mzunguko wa damu, inaimarisha mishipa ya damu na kuyeyusha damu na mafuta yaliyoganda.

11. Inasaidia kuondoa harufu mbaya mdomoni kwa kuua bacteria wabaya wanaokaa kwenye utumbo wa chakula na kuleta harufu mbaya mdomoni. (Kuna watu wanaswaki lakini bado wananuka mdomo)

12. Inasaidia ukuaji wa mwili.
13. Husaidia uchovu sugu, kutopata usingizi vizuri (insomnia), hangover, msongo wa mawazo, (Stress), na mfumo wa fahamu na neva (nervous system).

14. Inaondoa baridi na ganzi kwenye viungo vya mwili, mfano miguu, mikono na vidole.
~Hufaa kwa watu wote, ( mama mja mzito anywe kiwango kidogo sana au atumie Aloe Berry Nectar ambayo ina kiwango kidogo cha aloe vera).

15. Unaweza kunywa wakati unatumia dawa za hospitali ili kusaidia kupunguza madhara yanayoambatana na dawa (side effects). Unakunywa nusu saa kabla ya kumeza dawa za hospital

KUNYWA KWA AFYA, (USISUBIRI UUGUE), JAPO KOPO 2 au moja KWA MWEZI.

#BAADA_YA_CHANGAMOTO_KUIKUMBA_JAMII_JOPO LA WATAALAMU/MADAKTARI_WALIOBOBEA_KATIKA AFYA_YA_MWANADAMU_WALIFANYA_TAFITI_YA_NAMNA_YA_KUONDOA_CHANGAMOTO_HIZO_BILA_KUTUMIA_DAWA_AU_VIAMBATA_VYENYE_SUMU_BALI_KUTUMIA_VIRUTUBISHO.

Virutubisho hivyo vimekuwa vikitumiwa na watu wengi kwa zaidi ya mataifa 170 duniani na tunashuhuda nyingi za watu waliopata kuboreshwa kwa afya zao baada ya kutumia virutubisho hivyo.

Kwa Ushauri au Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote Ulipo(Tanzania Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).

Kwa maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa zinazo ondoa tatizo hilo wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.
Free delivery ndani ya Dar, kama upo mkoani utatumiwa pia ndani ya tanzania.

Ni virutubisho asili ambavyo vimeshawasaidia watu wengi saana hapa nchini na Duniani kwa Ujumla. Karibu Upate huduma zetu kwa ushauri pia wasiliana nasi PIGA /TUMA NENO :"Health and wellness is Your Priority".kisha #SULUHISHO KWA UDHAIFU WA TENDO LA NDOA.

. kwa mawasiliano: +255768603979“maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”
. ///https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…
https://paulbiswalo.blogspot.com/
https://www.pinterest.com/biswalopaul/
SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.
 



 

 
 
Share:

No comments:

Post a Comment

warmly welcome

contact us via +255 768 603 979.

Popular Posts

Blog Archive

for any assistance.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

Featured post

UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI??????

AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO. UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI?????? jiulize swali hili na utafakali vizuri ilik...

Followers

Contact Form

Name

Email *

Message *

Labels

Total Pageviews

Theme Support