Health And Wellness Is Your Priority & Personal Development Mentorship Programs.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

SULUHISHO LA KUTOKWA NA UCHAFU UKENI KWA MWANAMKE.

MAUMIVU WAKATI WA HEDHI (DYSMENORRHEA)
Wanawake wengi wamekua wakisumbuliwa na tatizo la kupata maumivu wakati wa hedhi (Period pains)



PERIOD PAINS
Ni maumivu yanayotokea sehemu ya chini ya tumbo au kiuno wakati mwanamke anapoanza kupata siku zake, maumivu haya huanza pale mayai yanapotoka katika mirija FALLOPIAN TUBES na kuteremka chini ya mirija hiyo wakati wa OVULATION, maumivu haya huweza kuwa makali au ya kawaida hivyo kuna aina mbili za maumivu wakati wa hedhi.



AINA ZA MAUMIVU WAKATI WA HEDHI
A) PRIMARY DYSMENORRHEA (MENARCHEA)

Haya ni maumivu yasiyokua na sababu maalum, katika aina hii maumivu ni ya kawaida na hutokea sehemu ya chini ya tumbo na kiunoni pia maumivu haya huanza siku moja au mbili kabla ya hedhi na kumalizika baada ya siku tatu au ya nne kulingana na mwili wa mtu husika.
Maumivu haya hutokana na uongezekaji wa tindikali ya PROSTAGLINDS ambayo hutokea siku chache baada ya yai kupevuka na kufanya misuli kusinyaa hivyo kusinyaa huko husababisha tumbo kupata maumivu wakati wa hedhi.

B)SECONDARY DYSMENORRHEA
Haya ni maumivu yanayotokea kutokana na sababu mbalimbali kama vile matatizo katika kizazi, Ugonjwa wa Nyonga na matatizo katika mirija ya mayai ya mwanamke.
Asilimia 60% ya wanawake/wasichana wanasumbuliwa na tatizo hili la kupata maumivu wakati wa hedhi, pia baadhi ya wanawake /wasichana hupata maumivu haya Zaidi na kusababisha kulazwa au kushindwa kufanya kazi zao za kila siku.
Pia huweza kusababishwa na viuvimbe vidogo dogo katika via vya uzazi yaani fibroids kitaalam, Maambukizi sugu katika via vya Uzazi -PID Endometriosis, Ovarian Cyst na viwambo vya mpango wa Uzazi vinavyoingizwa katika kizazi, Mfano Vitanzi, Vijiti, Vidonge vya kuzuia mimba (ambavyo huwa na Progesterone ambayo pia huweza kusababisha ugonjwa wa moyo.

DALILI ZA DYSMENORRHEA
-Maumivu makali wakati wa hedhi .
-Kichefuchefu.
-Kutapika wakati wa hedhi.
-Kuharisha wakati wa hedhi.
-Kupata maumivu chini ya kitovu.
-Maumivu ya mgongo.
-Maumivu ya kiuno wakati wa hedhi.

JINSI YA KUJIKINGA NA KUMALIZA TATIZO HILI
-Usiwe mtu mwenye mawazo, Ondoa Hali ya mfadhaiko.
-Punguza ulaji wa vyakula vyenye mafuta na Sodium Kama vile chips, vyakula vya kusindikwa kwenye makopo (canned foods), vyakula vyenye chumvi nyingi na kadhalika.
-Punguza vinywaji vyenye caffeine mfano vinywaji vyote vyenye vilevi na chai yenye viungo vingi Ila unaweza kunywa angalau kikombe kimoja cha chai na si zaidi ya hapo kwa siku moja.
-Zingatia Lishe bora ya vyakula.
-Kula matunda kwa wingi.
-Kunywa maji mengi angalau lita tatu kwa siku.
-Fanya mazoezi Mara kwa mara.
 ===================================================================

MIGUU AU MWILI KUTOA HARUFU MBAYA
Harufu mbaya ni kitu kisichompendeza mtu yeyote. Unapotoa harufu mbaya toka mwilini mwako, haikupendezi wewe mwenyewe wala mtu wa jirani.
Harufu mbaya mwilini inatoka maeneo yote ya mwili kuanzia kichwani hadi miguuni.
Zipo sababu nyingi zinazomfanya mtu atokwe na harufu mbaya, inaweza kuwa uchafu, maradhi au maumbile.



Hali ya uchafu ipo wazi endapo mtu haogi, hafui au hanawi. Uchafu wa kichwani inaweza kuwa nywele au wigi au kitu chochote kinachowekwa kichwani.Uchafu unaweza kuwa maeneo mbalimbali ya mwili.

Maradhi ya ngozi, kansa au vidonda vyenye maambukizi vinaweza kusababisha kutoa harufu mbaya au vitambaa vilivyofungiwa vidonda.
Kwa hiyo kundi la maradhi ni pana kwa kuwa tatizo la ngozi pekee linaweza kuathiri kwa kiasi kikubwa.



Sababu za kimaumbile linawahusu zaidi watu wanene ingawa hata wembamba pia wanaweza kupatwa na tatizo hili kutegemea na harufu inatoka eneo gani la mwili.
Watu wanene hupatwa na matatizo ya kutoa harufu mbaya kama hawatazidisha usafi na kuhakikisha miili yao sehemu za mikunjo inakuwa mikavu. Sehemu hizo ni chini ya kifua au matiti, nyama za tumboni, chini ya tumbo, mbavuni, sehemu za siri na mapajani.
Unene pamoja na matatizo mengi yanayoweza kujitokeza pia huweza kusababisha magonjwa ya ngozi na kutokwa na jasho lenye harufu kali.


MAENEO YANAYOTOA HARUFU MBAYA
Sehemu yoyote ya mwili inaweza kutoa harufu mbaya kama tulivyoona hapo mwanzoni kuanzia kichwani hadi miguuni. Lakini yapo maeneo kama masikioni na puani pia harufu mbaya hutoka. Harufu za maeneo hayo mara nyingi haziwi kali.

KUTOKWA HARUFU MBAYA KINYWANI
Tatizo la kutokwa na harufu mbaya mdomoni au kinywani hutokana na matatizo mbalimbali kama kuwa na meno mabovu, magonjwa ya fizi, ulimi, fangasi za kinywani na uchafu kutokana na kutosafisha kinywa vizuri.

Wapo watu ambao kwa asili hutoa harufu mbaya kinywani pasipo kuwa na magonjwa ya kinywa na huwa makini kusafisha kinywa, lakini harufu haiishi.
Tatizo hili hutibika baada ya kufanyiwa uchunguzi wa kina katika tabaka linalotandika ndani ya kinywa.

Wakati mwingine harufu mbaya ya kinywa husababishwa na ulaji wa vyakula, unywaji pombe, uvutaji wa sigara, bangi na ugoro n.k.

KUTOKWA NA HARUFU MBAYA KWAPANI
Kutokwa na harufu mbaya kwapani au kunuka kikwapa inatokana na mambo mbalimbali hata kama unajisafisha mara kwa mara na kutoa vinyweleo vya kwapani.
Harufu ya kikwapa husababishwa na njia ambazo ngozi ya kwapani hupumua zinaziba, hivyo kusababisha njia za kutolea jasho kuwa chache na jasho kutoka kidogo kidogo na kujaa kwapani.
Hivyo kujaa na kulowesha nguo sehemu hizo, hali hii ikiendelea kwa muda mrefu husababisha bakteria aina ya ‘staphylloccocus’ kuanza kuishi hapo na jasho linalojirundika kukauka na kuganda, hivyo kutoa harufu mbaya.



Tatizo la kikwapa likiendelea kwa muda mrefu baadhi ya njia za jasho huziba kabisa na bakteria kujipenyeza. Hapo ndipo unaweza kusumbuliwa na majipu ya mara kwa mara kwapani, kutokwa na vipele vikubwa kwapani na muwasho mkali baada ya kunyoa kwapani na hata vidonda vidogovidogo.
Matumizi ya baadhi ya pafyumu husababisha mzio ambapo kwapa litawasha sana kila wakati au utatokwa na vipele vingi au ngozi ya kwapani inabadilika na kuwa nyeusi sana huku ikitoka harufu mbaya.

 ======================================================================
HARUFU MBAYA SEHEMU ZA SIRI
Harufu mbaya sehemu za siri inaweza kuwa kwa wanaume na wanawake. Zipo sababu mbalimbali kwa wanaume ambazo zinahitaji uchunguzi wa kina na tiba.
Kwa wanawake harufu inaweza kutoka ukeni ikiambatana na uchafu au la. Harufu ya ukeni huwa mbaya inayofanana na shombo la samaki hutokana na kutokuwa makini kiusafi.
Maambukizi ya fangasi na bakteria, magonjwa ya zinaa, kisonono na kaswende ni sababu mojawapo.
Wapo wanawake ambao hutokwa na harufu sehemu za siri kutokana na mikunjo ya kwenye mapaja yao, hasa kwa wale wanene. Harufu pia inaweza kutoka katika sehemu ya haja kubwa na hii ni ya kinyesi endapo hutanawa vizuri au kuwa na maradhi sehemu hiyo.



NINI CHA KUFANYA?
Endapo utakuwa na tatizo hili la kutoa harufu mbaya maeneo tofauti ya mwili au unahisi mwenzio ana tatizo hili na anakukwaza ,wasiliana nasi ili tukusaidie.



SULUISHO LA KUTOKWA NA UCHAFU UKENI

Kwa kawaida mwanamke hutokwa na majimaji mepesi (vaginal fluids) yenye rangi nyeupe au ya njano. Inapotokea anatokwa na majimaji yenye ute mzito wenye rangi nyeupe au kahawia na yanatoa harufu kali na muwasho, hiyo huwa ni ishara ya ugonjwa uitwao wa kutokwa uchafu ukeni ujulikanao kwa kitaalamu kama ‘Vaginosis’.

 

Mwanamke mwenye tatizo hili hujisikia vibaya na anaweza akaacha kushiriki tendo la ndoa ama kwa kuhofia maumivu au kwa kuona aibu kwani mwanaume ni vigumu kuvumilia harufu hiyo au hata kuuona tu huo ute ute kwani humjengea hisia kwamba mwenza wake atakuwa na magonjwa ya zinaa au si mwaminifu kwa ujumla.
 

Kinachosababisha kutokwa na uchafu ukeni:
👉Kuwa na wapenzi wengi
👉Baadhi ya dawa za uzazi wa mpango
👉Kusafisha uke kwa kutumia dawa zenye kemikali
👉Uchafu
👉Uvutaji sigara
👉Pombe
👉Maambukizi ya Bakteria au bakteria wabaya wanapozidi ukeni

DALILI
👉Kutokwa na uchafu usio wa kawaida
👉Kutokwa na uchafu wenye harufu kali kama shombo ya samaki au kitu kilichooza
👉Kuwashwa sehemu za siri na ndani ya uke
👉Uke unaweza kubadilika na kuwa na rangi nyekundu
👉Maumivu sehemu za siri wakati wa kukojoa
👉Maumivu makali chini ya kitovu
👉Kutokwa uchafu uliochanganyika na damu

MATIBABU YAKE
ALOE STABILIZED  SOAP
>Hii ni sabuni ya maji pekee inayo tumika zaidi ya nchi 160 duniani na ambayo aina kemikali na yenye uwezo wa kupenya katika vina saba vya ngozi.
>Hina ALOE inayofaa kuosha uso, mikono na kuogea.
>Husafisha sehemu yoyote ya mwili, kuondoa harara, chunusi, upele, miwasho, fangasi, kuua bacteria na kuifanya ngozi iwe nyororo.
>Ni nzuri kuoshea sehemu za siri huzuia miwasho na harufu mbaya
>Ni nzuri sana kuogeshea watoto kwa kuwa haitoi machozi na hufanya ngozi yake iwe laini na yenye unyevu unaofaa.
>Husaidia matatizo ya ngozi kama pumu ya ngozi - eczema, psoriasis, dermatitis.
>Haiwashi, inafaa sana kwa ngozi yoyote kwa kuwa ina PH sawa na ngozi na hii husaidia kupenya kwenye ngozi na kutoa uchafu wote uliojificha.
Huacha ngozi ikiwa laini na yenye kuvutia.

DAILY STABILIZED ALOE
Hii ni anti oxidant inayofanya kazi kwa kiwango cha nishati mwilini
Kuimalisha mfumo wa kinga mwilini, mfumo wa uvunjaji au usagaji chakula
Nzuri kwa afya ya mfumo wa moyo ,afya ya kibofu cha mkojo urinary trac infection system UTI ,kulinda kibofu cha mkojo na figo etc

TATIZO LA UKE KUWA MKAVU NA MATIBABU YAKE
Tatizo la kuwa na uke mkavu hutokana na kupungua kwa hormoni aina ya estrojeni katika mwili wa mwanamke ambayo husababisha kudhoofika na kusinyaa kwa misuli ya uke kukosa vilanisho. Hii utokea mara nyingi kwa :
-wanawake wasioskia hamu ya tendo la ndoa.
- waliojifungua
-wanaonyonyesha.
-wazee na
- ambao wako katika hedhi.
Hii huweza kusababisha maumivu makali kipindi cha tendo na kukuweka katika hatari ya kupata maambukizi ya magonjwa ya zinaa na UTI

Tunashauliwa kutumia VIRUTUBISHO vyenye vichocheo vya Astrogen ili kusaidia tatizo hili lisiendelee.

ONYO: epuka kulainisha kwa kutumia mafuta ya kupaka, sabuni za kuogea na pafyumu kulainisha sehemu hii. Zina madhara makubwa sana ktk mwili wako.
USHAURI: Pia unaweza kufanya maadalizi ya kutosha kabla ya tendo pamoja na kuweka mawazo yote katika tendo kwa muda huu.

========================================================================

JE UNA TATIZO LA KUUMWA MENO,FIZI KUTOKA DAMU AU KUNG'OKA MENO NA HATA KAMA HUUMWI AU HUONI DALILI YOYOTE...SOMA HAPA INAKUHUSU:

 
Meno ni muunganiko wa mfupa wa jino, Fizi na Mishipa. Mara nyingi watu wengi huwa pale wanapoumwa na jino wanakimbilia kung’oa jino eti dawa ya jino kuling’oa jambo ambalo si kweli.
Tambua ndugu yangu kuwa unapokwenda kung’oa jino unang’oa Mfupa sio Fizi wala mishipa ambayo hakuna madhara kwa bakteria anaesababisha jino kuuma.


Tambua kuwa kwenye kinywa cha mwanadamu kuna bakteria wanaoishi mdomoni wanaitwa NORMAL FRALER. Bakteria hawa ndio wanaotengeneza ute wenye Acid unaolainisha chakula kwa haraka mdomoni. Na ndio kazi yao. Lakini wanasababisha ugonjwa unaoitwa GINGIVAITES, ugonjwa huu husababisha fizi kutoa damu haswa unapopiga mswaki, lakini ukiachwa ukawa sugu unasababisha ugonjwa wake kuwa sugu na hujulikana kama MACHODIFECE ugonjwa huu husababisha na hufanya meno kuoza, ama kutoboka kutokana na bakteria AFINOTOBALASAD ndio wanaosababisha na huwa wanaingia ndani kwenye fizi kwa ajili ya kula damu. Hapo ndipo mtu hupatwa na tatizo la kuumwa na jino au meno.
Ili kuondoa tatizo hili, ni lazima uwaue hao bakteria na si kong’oa jino kwani wadudu hao walivyo unapong’oa jino moja wao huwa wanahamia jino jingine.

Meno huanza kuwa na shida pale ambapo mhusika anapokuwa amepata vitu vifatavyo:
👉Kuumia sehemu ya mdomo kwa kujigonga au kupata ajali
👉Kupata mashambulizi ya vijidudu kama bacteria,fungus,virasi na vingine vingi
👉Kukaa muda mrefu bila kufanyia kinywa usafi kama kuto kupiga mswaki mara kwa mara
👉Kubakia kwa masalia au punje ndogo ndogo kwenye meno kwa muda mrefu

Tiba ya Jino/Meno
1.kuuma,
2.kuvimba fizi,
3.meno kutoboka na
4.wengine fizi kutoa damu kwa muda mrefu bila tiba .
Tiba ya jino linalouma, lililo toboka, fizi kuvima na kuuma sio
kung'oa.
Kung'oa ni njia ya kutengeneza mazingira ya jino jingine kung'oa na kujikuta una maliza kung'oa meno yote .
Kawaida ili kukamilisha tiba kamili inahitaji kutumia dawa ya meno isiyo na chemical hatarishi ya FLOURIDE.
Tumia dawa yetu ya meno isiyo na kemikali hiyo hatarishi.

Vitu hivyo vimekuwa vikitumiwa na watu wengi kwa zaidi ya mataifa 170 duniani na tunashuhuda nyingi za watu waliopata kuboreshwa kwa afya zao baada ya kutumia virutubisho hivyo.
Kwa Ushauri au Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote Ulipo(Tanzania Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).
Kwa maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa zinazo ondoa tatizo hilo wasiliana nasi kupitia namba hii +255 768 603 979.
 
TUMAINI NA SULUHISHO LA KUDUMU LIPO AMBALO NI: 
BAADA YA CHANGAMOTO KUIKUMBA JAMII JOPO LA WATAALAMU/MADAKTARI WALIOBOBEA KATIKA AFYA YA MWANADAMU WALIFANYA TAFITI YA NAMNA YA KUONDOA CHANGAMOTO HII BILA KUTUMIA DAWA AU VIAMBATA VYENYE SUMU BALI KUTUMIA VIRUTUBISHO.

Ni virutubisho asili ambavyo vimeshawasaidia watu wengi saana hapa nchini na Duniani kwa Ujumla. Karibu Upate huduma zetu kwa ushauri pia wasiliana nasi PIGA /TUMA NENO :"Health and wellness is Your Priority".kisha #SULUHISHO LA SULUISHO LA KUTOKWA NA UCHAFU UKENI KWA MWANAMKE.

kwa mawasiliano: +255 768 603 979..“ maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”
Kwa kuelewa Zaidi,pitia hapa:
https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…
https://web.facebook.com/MaishaNiAfyaLindaAfyaYako/
https://paulbiswalo.blogspot.com/
https://www.pinterest.com/biswalopaul/
SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.

KWA KUENDELEA KUPATA UP-DATE JUU YA AFYA LIKE PAGE HII NA KUSHARE ELIMU HII YA BURE KWA WENGINE ILI NAO WAPATE ELIMU HII KWA FAIDA YA AFYA YAO.

      Karibu popote ulipo tutakuhudumia.
         "Afya yako ni mtaji namba 1"

Share:

No comments:

Post a Comment

warmly welcome

contact us via +255 768 603 979.

Popular Posts

Blog Archive

for any assistance.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

Featured post

UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI??????

AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO. UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI?????? jiulize swali hili na utafakali vizuri ilik...

Followers

Contact Form

Name

Email *

Message *

Labels

Total Pageviews

Theme Support