Kwa takribani miongo mitatu sasa,
tumeshuhudia ongezeko kubwa la mlipuko wa ugonjwa wa mkanda wa jeshi
linaloendana na ongezeko la hususani ugonjwa wa UKIMWI. Hali hii imefanya
baadhi ya watu kuamini kuwa, ugonjwa huu ni dalili ya wazi kabisa ya mtu kuwa
na VVU, imani ambayo kwa kiasi kikubwa ina ukweli ndani yake ingawa si kwa wote
wanaopatwa nao.
Mkanda wa jeshi au shingles au herpes zoster kwa majina ya kitabibu ni
ugonjwa unaosababishwa na virus wa aina ya Varicella-zoster
ambao pia husababisha ugonjwa wa tetekuwanga
au chickenpox. Ugonjwa huu huathiri ngozi ambapo huambatana na vipele na
michubuko kama ya kuungua yenye kuambatana na maumivu makali.
Visababishi
Kama tulivyokwisha tangulia kueleza
hapo juu, ugonjwa huu husababishwa na virus aina ya Varicella-zoster ambao pia husababisha ugonjwa wa tetekuwanga.
Baada ya mtu kupatwa na tetekuwanga, virus hawa hubaki katika hali ya
kupooza/kutokuwa na madhara (dormant) katika neva fulani za mwili. Baada ya miaka
kadhaa, iwapo itatokea kinga ya mwili ikashuka kwa sababu yoyote ile, virus
hawa hupata tena nguvu/kuwa na madhara (active), kuibuka na kusababisha ugonjwa
wa mkanda wa jeshi.
Kwa kawaida shambulio la mkanda wa
jeshi hutokea mara moja maishani ingawa laweza kujirudia.
Vihatarishi
Mkanda wa jeshi unaweza kumpata mtu
wa umri wowote ule ingawa watu walio katika makundi haya wapo katika hatari
kubwa zaidi:
• Wenye umri wa zaidi ya miaka 60
• Mtu aliyewahi kuugua ugonjwa wa tetekuwanga kabla ya umri wa mwaka mmoja
• Watu ambao kinga yao ya mwili imepungua kwa sababu mbalimbali kama vile matumizi ya aina fulani za dawa, magonjwa kama vile maambukizi ya VVU (HIV/AIDS), saratani na utapiamlo.
• Wenye umri wa zaidi ya miaka 60
• Mtu aliyewahi kuugua ugonjwa wa tetekuwanga kabla ya umri wa mwaka mmoja
• Watu ambao kinga yao ya mwili imepungua kwa sababu mbalimbali kama vile matumizi ya aina fulani za dawa, magonjwa kama vile maambukizi ya VVU (HIV/AIDS), saratani na utapiamlo.
Je
mkanda wa jeshi unaambukizwa?
Hapana ugonjwa huu hauambukizwi
kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine! Lakini iwapo itatokea mtoto au mtu
mzima ambaye hajawahi kupatwa na ugonjwa wa tetekuwanga maishani mwake na
ambaye pia hajawahi kupata chanjo dhidi ya ugonjwa huo akakutana na mtu mwenye
ugonjwa wa mkanda wa jeshi, mtoto au mtu huyo atapatwa na ugonjwa tetekuwanga
na siyo mkanda wa jeshi.
Dalili
Dalili ya awali kabisa ya mkanda wa
jeshi ni maumivu makali sehemu fulani/ upande mmoja wa mwili yakiambatana na
hali ya ganzi na hisia za kuungua kwenye ngozi. Maumivu pamoja na hisia za
kuungua huwa makali sana na hutokea kabla ya vipele/michubuko kutokea kwenye
ngozi.
Kawaida, vipele au michubuko huusisha eneo fulani la mwili kuanzia kwenye uti wa mgongo kuzunguka kuelekea eneo la tumbo au kifua. Michubuko pia inaweza kutokea kwenye maeneo yanayozunguka uso, macho, mdomo au masikio.
Dalili nyingine ni pamoja na
• Maumivu ya tumbo
• Homa
• Maumivu ya mwili mzima
• Vidonda sehemu za siri
• Maumivu ya kichwa
• Maumivu ya viungo
• Kuvimba kwa mitoki/ matezi
Iwapo neva za maeneo ya uso zitaathiriwa, mgonjwa anaweza kupatwa na matatizo ya kuona, kuonja, au kusikia.
• Maumivu ya tumbo
• Homa
• Maumivu ya mwili mzima
• Vidonda sehemu za siri
• Maumivu ya kichwa
• Maumivu ya viungo
• Kuvimba kwa mitoki/ matezi
Iwapo neva za maeneo ya uso zitaathiriwa, mgonjwa anaweza kupatwa na matatizo ya kuona, kuonja, au kusikia.
Vipimo
Ni nadra sana kufanya Vipimo maalum
kwa ajili ya utambuzi wa ugonjwa huu, isipokuwa kwa nchi zilizoendelea. Kwa
ujumla utambuzi wa ugonjwa huu hufanyika kwa kuchukua historia ya mgonjwa na
kuchunguza sehemu ya ngozi iliyoathiriwa.
Vipimo vya damu yaani FBP (full blood picture) huonesha ongezeko la chembe nyeupe za damu na antibodies dhidi ya virus wa tetekuwanga.
Vipimo vya damu yaani FBP (full blood picture) huonesha ongezeko la chembe nyeupe za damu na antibodies dhidi ya virus wa tetekuwanga.
Matibabu
yaliyozoeleka zamani.
Matibabu ya mkanda wa jeshi
hujumuisha matumizi ya dawa kama vile Acyclovir, Famciclovir na Valacyclovir
kwa ajili ya kuua virus wanaosababisha ugonwja huu. Dawa hizi husaidia
kupunguza maumivu, kuzuia madhara zaidi ya ugonjwa huu na kupunguza muda wa
ugonjwa.
Dawa hizi hutolewa angalau saa 72 baada ya mgonjwa kuanza kuhisi maumivu na hali ya kuungua. Ni vema dawa zianze kutumika kabla ya vipele/michubuko kujitokeza.
Jamii ya dawa za corticosteroids kama vile prednisolone husaidia kupunguza maumivu na uvimbe kwa badhi ya wagonjwa. Dawa nyingine zinazofaa kutumika ni pamoja na jamii ya antihistamines kwa ajili ya kupunguza muwasho, dawa za maumivu, calamine lotion kwa ajili ya kupunguza muwasho. Aidha mgonjwa anashauriwa kupata mapumziko ya kutosha.
Dawa hizi hutolewa angalau saa 72 baada ya mgonjwa kuanza kuhisi maumivu na hali ya kuungua. Ni vema dawa zianze kutumika kabla ya vipele/michubuko kujitokeza.
Jamii ya dawa za corticosteroids kama vile prednisolone husaidia kupunguza maumivu na uvimbe kwa badhi ya wagonjwa. Dawa nyingine zinazofaa kutumika ni pamoja na jamii ya antihistamines kwa ajili ya kupunguza muwasho, dawa za maumivu, calamine lotion kwa ajili ya kupunguza muwasho. Aidha mgonjwa anashauriwa kupata mapumziko ya kutosha.
ANGALIZO LA MUHIMU SANA NA LENYE SULUHISHO KWA SASA.
Hivyo inatakiwa kutumia VIRUTUBISHO ambavyo ndio vinaaminika kuwa
na uwezo wa kukabiliana na bakiteria
/virus wa aina ya Varicella-zoster hawa ambao wamekuwa sugu kwa dawa za hospitalini
kama vile Acyclovir,
Famciclovir na Valacyclovir antibiotics.virutubisho
hivi,ni Zaidi ya dawa maana ni chakula ambavyo havina sumu za kikemikali kama
zilivyo dawa za hospitali,na zimeleta matokeo chanya na makubwa sana katika
kupambana na tatizo hili.
Badala ya kutumia Jamii ya dawa za corticosteroids kama vile prednisolone husaidia kupunguza maumivu
na uvimbe kwa badhi ya wagonjwa tumia Stabilized
Aloe vera gel, Bee propolis, Garlic
thyme na Licium plus/Licorice. Vitu Vingine
zinavyofaa kutumika ni pamoja na jamii ya Aloe
hands stabilized soap na Stabilized Aloe vera gel kwa ajili ya kupunguza
muwasho na maumivu, Stabilize Aloe vera
propolis cream lotion, Stabilize
Aloe vera gelly tube lotion kwa ajili ya kupunguza na kuondoa muwasho
kabisa. Pia mgonjwa anashauriwa kupata mapumziko ya kutosha ili kuruhusu VIRUTUBISHO
hivi kufanya kazi ipasavyo.baada ya
mapumziko mgonjwa anaweza endelea na kazi za kawaida na hataweza kumwambukiza
mtu mwingine.
Matarajio
Mkanda wa jeshi kwa kawaida huchukua
kati ya wiki mbili hadi tatu kupona wenyewe. Aidha ni nadra sana kwa ugonjwa
huu kujirudia tena. Iwapo neva zinazothibiti mwendo katika mwili zitakuwa
zimeathirika, mgonjwa anaweza kupatwa na kupooza kwa muda au kwa kudumu kwa
sehemu ya mwili iliyoathiriwa. Wakati mwingine, maumivu yanayosababishwa na
mkanda wa jeshi yanaweza kudumu kwa miezi mpaka mwaka hata baada ya mgonjwa
kupona kabisa. Maumivu haya yanayojulikana kama postherpetic neuralgia kwa
kawaida huwakumba wagonjwa wenye umri wa zaidi ya miaka 60 na husababishwa na
uharibifu katika neva za mwili.
Madhara
Madhara ya mkanda wa jeshi ni pamoja
na kupatwa na shambulio jingine la ugonjwa huu, maambukizi ya bakteria, upofu
iwapo eneo la jicho litahusika, ukiziwi, maambukizi katika utando wa ubongo
(encephalitis), uwepo wa vimelea kwenye damu (sepsis) au ugonjwa unaoitwa Ramsay Hunt Syndrome iwapo utahusisha
neva za uso.
Kinga
Epuka kabisa kugusa eneo lenye
vipele au michubuko kwa mtu mwenye mkanda wa jeshi au tetekuwanga iwapo
hujawahi kuugua au kupata chanjo ya tetekuwanga.
Ni vema kupata chanjo dhidi ya virus wa Varicella zoster kama inapatikana katika nchi au eneo ulilopo. Tafiti zimeonesha kuwa, watu wazima wanaopata chanjo hii wana uwezekano mdogo sana wa kupata madhara ya mkanda wa jeshi kuliko wale wasiochanjwa.
Ni vema kupata chanjo dhidi ya virus wa Varicella zoster kama inapatikana katika nchi au eneo ulilopo. Tafiti zimeonesha kuwa, watu wazima wanaopata chanjo hii wana uwezekano mdogo sana wa kupata madhara ya mkanda wa jeshi kuliko wale wasiochanjwa.
TUMAINI NA
SULUHISHO LA KUDUMU LIPO AMBALO NI:
BAADA YA CHANGAMOTO KUIKUMBA JAMII JOPO LA
WATAALAMU/MADAKTARI WALIOBOBEA KATIKA AFYA YA MWANADAMU WALIFANYA TAFITI YA
NAMNA YA KUONDOA CHANGAMOTO HII BILA KUTUMIA DAWA AU VIAMBATA VYENYE SUMU BALI
KUTUMIA VIRUTUBISHO.
Virutubisho hivyo
vimekuwa vikitumiwa na watu wengi kwa zaidi ya mataifa 170 duniani na
tunashuhuda nyingi za watu waliopata kuboreshwa kwa afya zao baada ya kutumia
virutubisho hivyo.
Kwa Ushauri au
Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na
Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote Ulipo(Tanzania
Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).
Free delivery
ndani ya Dar, kama upo mkoani utatumiwa pia ndani na nje ya tanzania .
Kwa maelezo zaidi
jinsi unavyoweza kupata bidhaa zinazo ondoa tatizo hilI wasiliana nasi
kupitia namba hii +255 768 603 979.
kupitia namba hii +255 768 603 979.
Ni virutubisho
asili ambavyo vimeshawasaidia watu wengi saana hapa nchini na Duniani kwa
Ujumla. Karibu Upate huduma zetu kwa ushauri pia wasiliana nasi PIGA /TUMA NENO
:"Health and wellness is Your Priority".kisha #SULUHISHO LA KUDUMU LA UGONJWA WA MKANDA WA JESHI.
kwa mawasiliano: +255 768 603 979..“ maamuzi yako ya
sasa ni matokeo ya baadaye”
Kwa kuelewa
Zaidi,pitia hapa:
https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…
https://web.facebook.com/MaishaNiAfyaLindaAfyaYako/
https://paulbiswalo.blogspot.com/
https://www.pinterest.com/biswalopaul/
SHARE NA
UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.
KWA KUENDELEA KUPATA UP-DATE JUU YA AFYA LIKE PAGE HII NA KUSHARE ELIMU HII YA BURE KWA WENGINE ILI NAO WAPATE ELIMU HII KWA FAIDA YA AFYA YAO.
No comments:
Post a Comment
warmly welcome
contact us via +255 768 603 979.