Health And Wellness Is Your Priority & Personal Development Mentorship Programs.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

SULUISHO LA UGONJWA WA KISONONO.MAANA UMEKUWA NI HATARI SANA KWA SASA.


Kisonono (gonorrhea) ni nini?

Kisonono ni ugonjwa kati ya magonjwa ya zinaa unaosababishwa na bakteria aina ya Neisseria gonorrhoeae, bakteria ambao hukuwa na kuzaliana kwa haraka katika sehemu zenye unyevunyevu na joto mwilini kama kwenye shingo ya kizazi kwa wanawake (cervix), mirija ya kupitisha mkojo au shahawa (urethra), mdomoni na kwenye puru. Maambukizi mengi kwa wanawake hutokea kwenye shingo ya kizazi (cervix). Asilimia 75 ya ugonjwa wa gono hutokea kwa watu wenye umri wa miaka 15-19 wanawake walio katika umri wa miaka 15 -19 na wanaume walio katika umri wa miaka 20 -wako kwenye hatari zaidi ya kupata ugonjwa huu.



Ugonjwa huu huambukizwa vipi?

Ugonjwa huu huambukizwa kupitia vitendo vya ngono kupitia uke, njia ya haja kubwa (anus), kupitia mdomoni (oral sex). Ugonjwa unaweza kujitokeza kwenye sehemu za kujamiana, kwenye mdomo na kwenye puru (rectum). Ugonjwa wa gono huonekana sana kwa vijana, watu wenye maisha duni kiuchumi, watu wanaoishi mijini, watu weusi na watumiaji madawa ya kulevya.Dalili za ugonjwa wa kisonono
Dalili za ugonjwa wa kisonono huanza kujitokeza kuanzia siku ya 2 hadi ya 7 baada ya mtu kupata maambukizi na huweza kuchelewa kwa wanawake. 



Dalili ni kama zifuatazo;
kisonono ni ugonjwa wa njia ya uzazi kwa wananawake na wanaume ambao mara nyingi huambatana na kutokwa na usaa sehemu za siri.kisonono kinafahamika kama classical sti kwani iliinza kabla hata ya kuanza kwa ugonjwa wa ukimwi.

kisonono ni moja ya vyanzo vikuu vya utasa na ugumba kwa wanawake na wanaume na umeonyesha kupunguza sana idadi ya uzazi kwa jamii nyingi duniani.
ugojwa wa kisonono husababishwa na bacteria kwa jina la kitaalamu kama naisseria gonorhoea, bacteria hawa hawawezi kupita kwenye ngozi ya kawaida kama ya mkono au mguu na hupendelea ngozi laini kama ya uke, ngozi ya ndani ya kichwa cha uume, ngozi ya mkundu, ngozi ya macho na ngozi ya ndani ya mdomo.

ugonjwa huu husambazwa kwa njia ya kufanya ngono lakini pia watoto huweza kuambukizwa wakati wa kuzaliwa kutoka kwa mama mwenye kisonono.
hatari ya mambukizi baada ya ngono ni asilimia 20 mpaka 35 kwa wanaume na asilimia 60 mpaka 90 kwa wanawake.
dalili za ugonjwa huu huanza siku ya 2 mpka siku ya kumi baada ya kufanya ngono.

dalili za ugonjwa wa kisonono kwa wanaume.

  • kuwaashwa ndani ya njia ya njia ya mkojo
  • maumivu makali wakati wa kukojoa.kutokwa na usaa kwenye uume
  • kukojoa mara kwa mara na kushindwa kuzuia mkojo
  • kutoa mkojo wenye damu
  • mgonjwa asipotibiwa usaa huanza kupungua au kuisha kabisa lakini ugonjwa unakua umehamia ndani na hii ni hatari zaidi.
  • Kuhisi kama kichomi wakati wa kukojoa (burning sensation)
  • Kutokwa na majimaji ya njano au meupe au ya kijani kutoka kwenye uume yanayoambatana na maumivu makali sana
  • Wakati mwengine maumivu au kuvimba kwa korodani (swollen testicles)
  • Maambukizi yakiwa kwenye puru (rectum) huambatana na maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa, kuwashwa sehemu za haja kubwa, na hata haja kubwa inaweza kutoka ikiambatana na damu, hii inatokea kwa wanaume na wanawake.
dalili za kisonono kwa wanawake
asilimia 50 mpaka 80 ya wanawake hawana dalili kabisa na ndio maana ugonjwa huu unaweza kumfanya mwanamke akawa mgumba .
wakati mwingine usaha huweza kutokea kwenye mlango wa uzazi bila kuonekana nje
wanawake wengi hugundua walikua na ugonjwa huu baada ya kupata madhara yake kuonekana kama kushindwa kupata mtoto.

  • Dalili kwa wanawake huwa si nyingi lakini wanawake wengi hawaonyeshi dalili zozote
  • Maumivu au kuhisi kama kichomi wakati wa kukojoa
  • Kuongezeka kwa kutoka majimaji kutoka kwenye tupu ya mwanamke ambayo ni ya njano au yamechanganyika na damu
  • Kutokwa na damu kupitia tupu ya mwanamke kabla ya hedhi kufika.
  • Kutokwa na damu baada ya kujamiana au baada ya tendo la ndoa
  • Kichefuchefu
  • Homa (fever)
  • Kutapika

madhara ya kisonono wa wanaume

  • njia ya mkojo kuziba
  • majipu ndani ya njia ya mkojo
  • mkojo kujaa ndani ya kibofu
  • utasa na kushindwa kuzaa
  • Mwanamme ambaye ana kisonono isiyotibiwa anaweza kupata maumivu makali kwenye mapumbu kutokana na ugonjwa uitwao
    epididymo- orchitis na kumsababishia ugumba. Kisonono ambayo haikupewa tiba ya kutosha inaweza kumletea madhara kwenye tezi dume (prostate) na anaweza kupata makovu ndani ya mrija wa kutolea mkojo nje (urethra) na kufanya mkojo utoke kwa shida.

    -Kisonono huweza kusambaa hadi kwenye mifupa na damu hali ambayo ni hatari kwa maisha. Mtu mwenye gono anaweza
    kuambukizwa UKIMWI kwa urahisi zaidi.

     

madhara ya kisonono kwa wanawake.
  • ugumba
  • magonjwa ya njia za uzazi.
  • mimba kutungwa nje ya kizazi.
  • Kutoweza kuzaa kwa mwanamke (tasa) au kutoweza kutungisha mimba kwa mwanamume (infertility)
  • Huweza kuathiri moyo (heart valves), ubongo,ngozi nk ambayo ni hatari sana kwa mtu yoyote.
  • Madhara kwenye sehemu za maungio au jointi (joint inflammation)
  • Kwa wanawake wale ambao hawajatibiwa wanaweza kupata ugonjwa wa PID (Pelvic Inflammatory Disease) ambao huongeza asilimia ya mwanamke kuwa tasa.
  • Wale wanawake ambao ni wajawazito na wameambukizwa gono wako kwenye hatari ya mimba kutoka au kuzaa mapema kabla mimba haijatimiza umri wake (preterm labor).
  • Kwa wale wanaoambukizwa gono kipindi cha kukaribia kujifungua, wanaweza kuwaambukiza watoto wao na hivyo watoto kupata ugonjwa wa uti wa mgongo (meningitis), kuwa kipofu (blindness), homa ya mapafu (pneumonia) na ugonjwa wa mifupa (septic arthritis).
  • Kisonono kinaweza kumsababishia mwanamke kuzaa njiti (mtoto kuzaliwa kabla ya siku) au mimba kuharibika. Mwanamke mwenye kisonono anaweza kumwambukiza kichanga wakati wa uzazi na kukisababishia kichanga upofu wa kudumu, maambukizi kwenye maungio ya mifupa au maambukizi kwenye damu.


 

ANGALIZO NO;1
 

Kisonono ambayo haikutibiwa inaweza kuleta madhara makubwa na ya kudumu kwa jinsia zote.
Kwa wanawake, kisonono ambayo haikutibiwa inaweza kusababisha – pelvic inflammatory disease (PID) – ambayo inaweza kuharibu mirija ya uzazi na mara nyingine kusababisha ugumba. Kisonono ambayo haikutibiwa inaweza pia kusababisha mimba kutungwa nje ya nyumba ya uzazi (ectopic pregnancy), hali ambayo inaweza kumhatarishia mwanamke maisha yake.

vipimo vinavyotumika..
usaha unaotoka huchukuliwa kwenye uume wanaume na ndani ya uke wa mwanamke na kupimwa maabara kuhakikisha kuwepo kwa ugonjwa huu.

matibabu
dawa mbalimbali zinaweza kutibu kisonono lakini kwa muongozo wa sasa wa wizara ya afya mchanganyiko wa dozi ya doxycline na ciprofloxacin kwa muda wa siku saba hutumiaka zaidi. kwa mama mjamzito au kwa ambaye ameshindwa kupona kwa dawa nilizotaja hapo juu sindano moja ya cefriaxon 250mg inatosha kabisa kumaliza ugonjwa huu.dawa za ciproflaxin na doxycline ni marufuku kwa wajawazito.

JINSI UGONJWA UNAVYO ENEZWA.
-Unaweza kuambukizwa kwa mgusano wa ngozi baina yako na mtu wenye ugonjwa huu hatari kwa afya.
-Unawesa kuambukizwa kwa kubadilishana mate/ku-kiss na kuulamba uke na uume/kuzama chumvini.
-Njia kubwa zaidi ni kupitia ngono zembe ambapo msuguano na kushikana kwa maji maji husababisha virusi kuingia sehemu za ziri na kuweka makazi ya kudumu maana mazingira ya uke ni mazuri sana na ni kivutio cha kuweka makazi ya kudumu ukeni.
-Pia huenezwa kwa kufanya ngono kinyume na maumbile.



CHANGAMOTO ZA UGONJWA HUU.
**Mgonjwa anakua hafurahii tendo la ndoa**
**Maumivu wakati wa tendo**
**kupoteza mvuto na kuonaa aibu na kinayaa inayotokana na harufu mbaya kwa mwenzako**
**inaweza kukuharibu kisaikolojia pia**

ANGALIZO NO;2.
CHANGAMOTO ZA KUTIBU.
kikawaida virusi hawa ni wagumu sana kuuliwa na dawa za hospitalini na hivyo ugonjwa huu unasumbua sana kuutibu.
mara nyingi hospitalini wanakata vile vinyama ila mwisho wa siku vinaota tena na tena kwa kasi ya ajabu ambapo huwa makubwa zaidi na kupelekea kuziba njia ya uke au haja kubwa.

Usipodhibitiwa huweza kusababisha saratani ya shingo ya uzazi kwa mwanamke maana huingia ndani ukeni na kuua sehemu za ndani na hivyo unaweza kuwa mgumba au kuharibu mimba.
Dawa nyingi za hospitali hazijaleta mafanikio kutibu tatizo hili.
Jinsi ya kudhibiti ugonjwa huu ni kuuwa mazingira ya virusi kuzaliana kwa kutumia anti virus na sio kukata vinyama hivo.

Nirudie tena kwamba "anti virus" za hospitali bado hazijaleta manufaa makubwa kwenye tiba.
Tufanyeje sasa?????

HABARI NJEMA
unachoweza kutumia na kufanikiwa ni kutumia "anti virus" za asili tuu.
Na hizi zipo chache na adimu kupatikana ila kama upo serious unaweza kuzipata.
Kutokana na maadili hatuwezi kuweka kila kitu hadharani huku mtandaoni;....tumeanzisha semina kwa ajili ya kusaidiana zaidi na jinsi ya kupata msaada zaidi.hapa hapa "HEALTH AND WELLNESS IS YOUR PRIORITY"kwa kukutana na wataalamu wetu kupitia mawasiliano ,WASILIANA NASI KWA USHAURI NA TIBA PIA kwa namba hii +255768603979.
Ili kumlinda anayehitaji maongezi zaidi tutafute kwa namba yetu hiyo.

BAADA_YA_CHANGAMOTO_KUIKUMBA_JAMII_JOPO LA WATAALAMU/MADAKTARI_WALIOBOBEA_KATIKA AFYA_YA_MWANADAMU_WALIFANYA_TAFITI_YA_NAMNA_YA_
KUONDOA_CHANGAMOTO_HIZO_BILA_KUTUMIA_DAWA_AU_VIAMBATA_
VYENYE_SUMU_BALI_KUTUMIA_VIRUTUBISHO.

Virutubisho hivyo vimekuwa vikitumiwa na watu wengi kwa zaidi ya mataifa 170 duniani na tunashuhuda nyingi za watu waliopata kuboreshwa kwa afya zao baada ya kutumia virutubisho hivyo.
Kwa Ushauri au Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote Ulipo(Tanzania Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).
Free delivery ndani ya Dar, kama upo mkoani utatumiwa pia ndani na nje ya tanzania .
Kwa maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa zinazo ondoa tatizo hilo wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.

Ni virutubisho asili ambavyo vimeshawasaidia watu wengi saana hapa nchini na Duniani kwa Ujumla. Karibu Upate huduma zetu kwa ushauri pia wasiliana nasi PIGA /TUMA NENO :"Health and wellness is Your Priority".kisha #SULUISHO LA UGONJWA WA KISONONO.

Dawa nyingi za hospitali zinakuwa na kemikali nyingi,hutibu swala hili ila ugonjwa huu hauponi kabisa ,baada ya muda fulani ugonjwa huu unarudi,tena.


ili upone kabisa unatakiwa kutumia virutubisho lishe vyenye viambata vinavyoondoa sumu na kuuwa bakiteria hawa wa kisonono kwa haraka,na zinazomaliza kabisa tatizo hili.


sababu za kushindwa kupona kwa wagonjwa wengi wa kisonono

  • kutoa dawa kidogo ukilinganisha na uzito wa mgonjwa
  • kutoa dawa za kisonono wakati ni ugonjwa mwingine unaofanana.
  • baadhi ya dawa kushindwa nguvu na bakteria wa kisonono
  • kutomtibu mpenzi husika wa mgonjwa na kusababisha maambukizi mapya.
  • kutomaliza dozi

jinsi ya kuzuia ugonjwa wa kisonono
  • kutoshiriki tendo la ngono kabisa
  • kuvaa condom kwa uhakika
  • epuka kua na wapenzi wengi
  • mpenzi wa mgonjwa lazima atibiwe hata kama hana dalili
  • kua na mpenzi mmoja muaminifu...
 

kwa mawasiliano: +255768603979“ maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”

SOMA ZAIDI KUPITIA HAPA;
//https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/
https://paulbiswalo.blogspot.com/
https://www.pinterest.com/biswalopaul/
SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.
KWA KUENDELEA KUPATA UP-DATE JUU YA AFYA LIKE PAGE HII NA KUSHARE ELIMU HII YA BURE KWA WENGINE.

 
Share:

No comments:

Post a Comment

warmly welcome

contact us via +255 768 603 979.

Popular Posts

Blog Archive

for any assistance.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

Featured post

UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI??????

AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO. UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI?????? jiulize swali hili na utafakali vizuri ilik...

Followers

Contact Form

Name

Email *

Message *

Labels

Total Pageviews

Theme Support