Health And Wellness Is Your Priority & Personal Development Mentorship Programs.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

FAHAMU MADHARA YA MVURUGIKO WA HOMONI KWA MWANAMKE.WASILIANA NASI KWA NAMBA HII +255768603979.

FAHAMU MADHARA YA MVURUGIKO WA HOMONI KWA MWANAMKE.
 
Je, unafahamu madhara ya mvurugiko wa homoni na athari zake katika mfumo wa uzazi wa mwanamke,....nk?
Je, unahitaji kuepuka, kuondoa na kudhibiti changamoto kwa njia asilia bila kutumia mitishamba na madawa ya kikemikali?
Usihofu soma nakala hii, kisha wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kwa uhitaji wa program hii.
Wasiliana nasi kwa namba +255768603979.



  FAHAMU AFYA YA UZAZI WA MWANAMKE.WASILIANA NASI KWA NAMBA HII +255768603979.



1.Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke pale anapo pata hedhi, hivyo kufanya mwili kubadilika. Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%. Asilimia kubwa ya wanawake mabadiliko huanza kati ya miaka 40 na 50, lakini pia kukosekana  kwa usawa wa homoni huweza kuonekana mapema zaidi

kuanzia miaka 14. Mabadiliko haya asilia hutokea wakati wa balehe, hedhi, ujauzito, kabla na baada ya ukomo wa hedhi. Mvurugiko wa homini kwa mwanamke huweza kuchangiwa kutokuwepo na usawa katika homoni zifuatazo Estrogen, Progesterone na Testosterone. Kupungua au kuzidi kwa homoni hizi kupelekea mvurugiko  wa homoni kwa mwanamke.

                       II.        VYANZO VYA MVURUGIKO WA HOMONI

Mvurugiko wa homoni ni tatizo linalowakumba wanawake wengi kwa sasa, hii ni kutokana na maisha wanayoishi, elimu finyu waliyonayo juu ya afya zao na kutokula kulingana na makundi ya damu. Vyanzo vya kuvurugika kwa homoni ni:

Uwepo wa sumu mwilini

Unbalanced Lifestyle (mfumo mbovu wa maisha)

Umri ukienda sana

Kukoma kwa hedhi

Kutofanya mazoezi, na kutokulala masaa anayostahili kwa siku

Uzito mkubwa

Mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa

Msongo wa mawazo

Kula vyakula visivyo endana na Blood Group

Upungufu wa lishe mwilini

Matumizi ya  njia za kisasa za uzazi wa mpango

Utoaji wa mimba

Family History (Upungufu au ongezeko ya homoni ya progesterone na Estrogen)

Ongezeko ya homoni ya Androgen (Kuota ndevu, sauti kama mwanaume)

Bara (Ethnicity): Wanawake wa Afrika wengi wana hili tatizo la ongezeko ya Homoni ya Estrogen, ndiyo maana wana maumbile makubwa
 
3. DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI

Mfumo wa homoni ni muhimu sana kwa afya ya ubongo na mili yetu. Husaidia kuzuia magonjwa yasiyo ambukizi kadri umri unavyo songa mbele. Baadhi ya dalili zinazoweza kuonekana kwa mtu mwenye changamoto ya mvurugiko wa homoni ni kama vile:

 


-      Maumivu wakati wa tendo la ndoa

-      Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
  

-      Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa

-      Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku

7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja)
 
-      Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi

-      Uchovu wa mara kwa mara

-      Hasira za mara kwa mara

-      Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara

-      Mzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula

-      Ongezeko ya tumbo na nyama uzembe

-      Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele… n.k)

-      Upungufu wa nywele kichwani.

-      Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)

-      Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi)

-      Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea

-      Mwili kutokukua, kuonekana kama binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi

  

-      Msongo wa mawazo na kukosa kujiamini

-      Kusinyaa na kupauka kwa ngozi wakati wa siku za hedhi na wakati wa utumiaji wa njia za uzazi wa mpango

-      Maumivu ya kichwa mara kwa mara

-      Kuwa na tabia ya hamaki (kukosa utulivu)

-      Kutokupata choo kwa wakati




4. MADHARA YA MVURUGIKO WA HOMONI

Pamoja na dalili nyingi tulizoziona tungependa wanawake waelewe vitu vifuatavyo hutokea iwapo atatumia njia za kisasa za uzazi wa mpango. Njia hizo husababisha saratani ya kizazi, CD4 kushuka, sehemu ya uke kuwa baridi, huchangia kwa 50% kufanyiwa upasuwaji (operation) wakati wa kujifungua, huathiri mtoto atakayezaliwa, huathri ubongo (inapunguza uwezo wa kufikiria), kutokwa na majimaji yenye harufu mbaya ukeni na magonjwa ya mara kwa mara.


Ukiendelea kubaki na dalili tajwa hapo awali kwa muda mrefu, kinga ya mwili itashuka kwa kiasi kikubwa na kusababisha madhara mengi kama yafuatayo:

Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu

Mimba kuharibika mara kwa mara;

Kukosa mtoto au Ugumba

Maumivu wakati wa tendo la ndoa

Kuwa na tabia na maumbile ya kiume

UTI (Urinary Tract Infection) ya mara kwa mara

Kuzeeka mapema

Kuziba kwa mirija ya uzazi

Saratani

Uvimbe kwenye uzazi wa mwanamke (Fibroids and Cysts)

 


5. SULUHISHO

1. Suluhisho Linalopendwa

Wanawake wengi baada ya kujifahamu kuwa homoni zao haziko sawa huenda mahospitalini ambako hupewa madawa (bioidentical or synthetic hormones) na wengine hufanyiwa hormone replacement therapy.
Tiba hii huandaliwa kwa ajili ya kuzifanya homoni zifanye kazi zake kama kawaida. Lakini hupelekea madhara yaliyotajwa hapo awali (juu).

2. Suluhisho La kudumu

Mvurugiko wa homoni unasababishwa mara nyingi na upungufu wa lishe, msongo wa mawazo, na uwepo wa sumu mwilini na hivi vyote ni vitu unavyoweza kurekebisha.

Kwa wanawake wenye changamoto ya mvuzugiko wa hormone mwilini, tume waandalia  program ya lishe kamili na virutubisho muhimu. Program hii ni ya vyakula; sio dawa wala miti shamba. Inasaidia kuweka sawa homone za mwanamke, kuboresha mfumo mzima wa uzazi, kuleta heshima ya ndoa maana uke utarudi katika hali yake ya asili (mnato na ute ute ukeni wenye kuleta msisimko wakati wa tendo la ndoa, na kupunguza kasi ya uzee). Sumu zikizidi mwilini mwanamke huzeeka kabla ya wakati na kupatwa na changamoto mbalimbali za kiafya ikiwemo: vimbe zinazo jipachika kwenye uzazi wa mwanamke, vidonda vya tumbo, … n.k.

Kwa yeyote anayehitaji hii program ya kuboresha na kuimarisha Afya yake awasiliane na kampuni kwa namba zifuatazo. +255768603979.

 


BAADA_YA_CHANGAMOTO_KUIKUMBA_JAMII_JOPO LA WATAALAMU/MADAKTARI_WALIOBOBEA_KATIKA AFYA_YA_MWANADAMU_WALIFANYA_TAFITI_YA_NAMNA_YA_
KUONDOA_CHANGAMOTO_HIZO_BILA_KUTUMIA_DAWA_AU_VIAMBATA_
VYENYE_SUMU_BALI_KUTUMIA_VIRUTUBISHO.

Virutubisho hivyo vimekuwa vikitumiwa na watu wengi kwa zaidi ya mataifa 170 duniani na tunashuhuda nyingi za watu waliopata kuboreshwa kwa afya zao baada ya kutumia virutubisho hivyo.


Kwa Ushauri au Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote Ulipo(Tanzania Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).
Free delivery ndani ya Dar, kama upo mkoani utatumiwa pia ndani na nje ya tanzania .

Kwa maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa zinazo ondoa tatizo hilo wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.

Ni virutubisho asili ambavyo vimeshawasaidia watu wengi saana hapa nchini na Duniani kwa Ujumla. Karibu Upate huduma zetu kwa ushauri pia wasiliana nasi PIGA /TUMA NENO :"Health and wellness is Your Priority".kisha #SULUISHO LA AFYA YA UZAZI WA MWANAMKE.

kwa mawasiliano: +255768603979“ maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”
https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…
https://web.facebook.com/MaishaNiAfyaLindaAfyaYako/
https://paulbiswalo.blogspot.com/
https://www.pinterest.com/biswalopaul/

SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.
KWA KUENDELEA KUPATA UP-DATE JUU YA AFYA LIKE PAGE HII NA KUSHARE ELIMU HII YA BURE KWA WENGINE.

Share:

Popular Posts

Blog Archive

for any assistance.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

Featured post

UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI??????

AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO. UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI?????? jiulize swali hili na utafakali vizuri ilik...

Followers

Contact Form

Name

Email *

Message *

Labels

Total Pageviews

Theme Support