UMHIMU WA KUONDOA SUMU KABLA YA KUANZA KUPUNGUA.
wASILIANA NASI KWA NAMBA HII +255768603979.
Naam, habari za majukumu wadau wangu wa page ya @HEALTH AND WELLNESS IS YOUR PRIORITY.(@https://www.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/)
Leo napenda kuweka wazi jambo hili la kufanya "detox na cleansing" kutokana Na sababu nyingi ambazo tumekuwa tukikutana nazo kwa watu wengi waliotumia njia tofauti za kupungua.
Watu wengi tumekuwa Na ndoto ya kuishi Na afya njema, kuwa Na uzito sahihi yaani "ideal weight " japo changamoto kubwa ni kushindwa kufanya Yale tunayopaswa kuyafanya. Hii pengine ni kutokana Na ubize mwingi kazini, Na katika biashara zetu.
Kutokana Na mfumo wa maisha kubadilika tumekuwa tukiingiza Sumu nyingi sana Na kemikali nyingi kutoka katika vyakula, vinywaji, vipodozi. Huku wengi wetu tukiwa tunafanya kazi sehemu hatarishi zenye hewa iliyo Na uchafuzi mwingi kama stand za magari, garage, viwandani, ujenzi wa Barabara, migodini, nk.
Kwa sababu hizi mili Na viungo vyetu vinapata nyongeza ya Sumu nyingi kutokana nje ambapo ini na figo hulazimika kuzibadili Na kuziruhusu kutoka kwa njia ya jasho, mkojo, Na kinyesi. Baadhi ya uchafu hubaki katika utumbo kwani mifumo yetu ya umeng'enyaji chakula huathiriwa Na mafuta Na kusababisha mwili kushinwa kutoa kemikali sahihi katika kuvunja Na kutoa takamwili.
Kwanini ni mhimu kuondoa Sumu kabla ya kuwaza kupungua????
Hii ni kwa sababu, Sumu huweza kuzingira seli za mafuta mwilini Na kusababisha ugumu katika kuungua kwa mafuta, japo mtu huyu mwenye Sumu akifanya diet au mazoezi anaweza kupata matokeo lakini yasiyoendelevu kama inavyoonekana katika picha hapo chini.
Mazoezi Na diet huweza kuunguza mafuta Na kuacha free radicals au Sumu zikizagaa katika mwili hivyo baada ya mwili kuhisi ongezeko la Sumu huweza kuruhusu hitaji la vyakula vyenye mafuta kuingia mwilini ili kuzuia Sumu kutoathiri viungo mhimu kama figo, moyo, INI, kongosho Na mapafu.
Kama ilivyo katika engine za magari huwezi kuweka oil mpya kabla hujaondoa iliyochafuka hivyo basi ni mhimu kuondoa taka mwili kabla hujaanza kupungua hii itasaidia haraka zoezi lako la kufanya mazoezi.
Kumbuka mabaki ya chakula hubadilishwa kuwa mafuta Na Sumu mwilini Na mbaya zaidi maozo haya huganda ndani ya utumbo Na kisababisha allergies, constipation, tumbo kujaa gas, kutokwa Na bawasili.
Hivyo tumia nutritional cleansing programs katika kuhakikisha mwili wako unakaa sawa.
BAADA_YA_CHANGAMOTO_KUIKUMBA_JAMII_JOPO LA WATAALAMU/MADAKTARI_WALIOBOBEA_KATIKA AFYA_YA_MWANADAMU_WALIFANYA_TAFITI_YA_NAMNA_YA_KUONDOA_CHANGAMOTO_HIZO_BILA_KUTUMIA_DAWA_AU_VIAMBATA_VYENYE_SUMU_BALI_KUTUMIA_VIRUTUBISHO.
Virutubisho hivyo vimekuwa vikitumiwa na watu wengi kwa zaidi ya mataifa 170 duniani na tunashuhuda nyingi za watu waliopata kuboreshwa kwa afya zao baada ya kutumia virutubisho hivyo.
Kwa Ushauri au Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote Ulipo(Tanzania Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).
Free delivery ndani ya Dar, kama upo mkoani utatumiwa pia ndani na nje ya tanzania .
Kwa maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa zinazo ondoa tatizo hilo wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.
Ni virutubisho asili ambavyo vimeshawasaidia watu wengi saana hapa nchini na Duniani kwa Ujumla. Karibu Upate huduma zetu kwa ushauri pia wasiliana nasi PIGA /TUMA NENO :"Health and wellness is Your Priority".kisha #SULUISHO LA KUWA NA UZITO ULIOPITILIZA/IJUE AFYA YAKO JUU YA KUWA NA UZITO UNAONENDANA NA MWILI WAKO KIAFYA ZAIDI.
kwa mawasiliano: +255768603979“ maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”
. ///https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…
https://paulbiswalo.blogspot.com/
https://www.pinterest.com/biswalopaul/
SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.
KWA KUENDELEA KUPATA UP-DATE JUU YA AFYA LIKE PAGE HII NA KUSHARE ELIMU HII YA BURE KWA WENGINE.
No comments:
Post a Comment
warmly welcome
contact us via +255 768 603 979.