FAHAMU AFYA YA UZAZI YA MWANAUME.wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.
Familia nyingi zina changamoto ya mfumo
wa
uzazi. Leo
hii
tunaenda kuzungumzia
mfumo
mzima wa uzazi wa mwanaume hususani: "Upungufu wa nguvu
za kiume".
Takwimu za afya zinaonesha kati ya wanaume 10 miongoni
mwao 7 wana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.
Tatizo hili linazidi kuongezeka kwa kasi
kubwa,
na linawakumba sana watu wazima kuanzia umri wa miaka 35
– 75+.
Kuna aina 3 za upungufu wa nguvu za kiume:
- Shahawa (sperms) hazina uwezo wa kutunga mimba.
- Ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa. Ikitokea umepata hamu hata kidogo shahawa
zinawahi kutoka. Wengine wanapata hamu ya tendo la ndoa lakini hawatoi shahawa.
- Uume kutosimama (mashoga)
2. Chanzo cha matatizo
ya upungufu
wa nguvu za
kiume
Upungufu wa nguvu za kiume sio
ugonjwa, ila ni kama indicator
inayoonesha
kwamba kuna baadhi ya viungo
ndani ya mwili wa binadamu ambavyo vinahusika na suala zima la nguvu za kiume havifanyi kazi vizuri. Baadhi ya hivyo viungo
vinavyo
husika na nguvu za kiume ni: Moyo, Ini,
Figo, Ubongo, Mishipa,
Tezi dume, Misuli, ..
… … n.k. Kunapo
kuwa na hitilafu kwenye viungo hivi
ndiyo
vinapelekea moja kwa moja
mtu kupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.
Hivi ni baadhi ya vitu vinavyo sababisha viungo tulivyo taja hapo juu kutofanya kazi
vizuri na baadae kusababisha matatizo mbali mbali ikiwemo
vifo.
Kuwa makini na vitu vifuatavyo:
- Uvutaji wa sigara,
na utumiaji wa dawa za kulevya
- Masturbation
(Kujichua, au kupiga punyeto)
- Kula vyakula venye kuharibu mfumo wetu wa mmeng’enyo wa chakula (Digestive
System). Huu mfumo
ukiharibika unasababisha damu kutosafirishwa vizuri mwilini.
- Uzito
mkubwa au kitambi
- Tatizo la Kutokupata choo vizuri (Constipation)
- Stress, Pressure,
Chorestrol
-
Kutumia
sana
madawa yenye kemikali (Hospital).
Hapa unatakiwa kuwa
makini na kukumbuka kwamba mili yetu haijaumbwa kwajili ya madawa ya
kikemikali.
Mili yetu iliumbwa ili iweze kujitengenezea kinga kupitia vyakula tunavyo kula vyenye lishe na virutubisho; siyo
madawa ya kikemikali au mitishamba.
Tunaenda hospitalini kwasababu hakuna njia mbadala. Kama wewe unahitaji kuwa
na afya bora na ujiepushe na magonjwa mbali mbali,
unashauriwa kujenga utaratibu wa kupatia mwili wako
lishe kamili na virutubisho muhimu.
3. Dalili za upungufu
wa nguvu za kiume
Na tunapo ongelea suala la upungufu wa nguvu za kiume tunamaanisha:
- kukosa hamu ya tendo la ndoa
- Uwezo wa kushindwa kurudia tendo la ndoa
- Uume kusimama kwa ulegevu
- Kuchelewa sana kufika kileleni: ukizidi kuchelewa
mwenzako anapata maumivu
makali sana na kuanza kujuta japo
hatakwambia kwa sababu ni aibu kwake; na wewe pia hutofurahiya tendo
la
ndoa. Utaathirika kisaikolojia kwa njia moja au nyingine
- Kuchoka sana baada ya tendo au kujisikia kichefuchefu,
wakati mwingine wengi
hua
wanajihiisi kutapika.
4. Madhara ya Upungufu
wa nguvu za
kiume
Kabla hatujaenda kutiririka baadhi ya madhara yanayotokana na upungufu wa nguvu za kiume, kuna kitu muhimu sana kwa wanandoa au wapenzi wanastahili kukijua. Mwanamke ni kiumbe cha ajabu sana na aliumbwa na uwezo wakuweza kukojoa
zaidi ya mara 5, endapo wewe utaweka sawa afya yako na kujuwa ni vitu gani
unastahili kufahamu.
Ili
mwanamke akojoe kwa mshindo
wa
kwanza ni lazima uume wako uweze kusimama angalau dakika 5
– 10
ukiwa unachezesha uume wako kwenye mashavu ya uke.
Wanawake wanapenda sana kuchezewa kwenye mashavu ya uke kwa kutumia uume, siyo vinginevyo.
Wanaume wengi wanashindwa kuwaridhisha wenzao kwasababu ya upungufu wa nguvu zao za kiume unawapelekea kutumia zingine nondo mbali mbali
ili angalau waweze kuwaridhisha wenzao.
Ukweli thabiti ni huu: endapo unakuwa na afya nzuri ya mfumo wa uzazi, utaweza kusimamisha uume wako na kumridhisha kiurahisi bila kutumia nguvu nyingi kwa kila mshindo. Hivyo
basi usihangaike
kwenda kwa waganga (kalumanzira),
mashekhe, makanisani kuombewa, kwasababu suala zima ni kwamba unajali vipi afya yako?
Mfumo wako wa uzazi ukiwa haufanyi kazi vizuri, utapata madhara yafuatayo:
- Kushindwa kumridhisha mwanamke.
Hili tatizo
linampelekea kutoka nje ya ndoa na baadae kuachika
- Kushindwa kupata ladha kamili la tendo
la
ndoa
- Kuchoka haraka wakati wa tendo la ndoa
- Uume kusimama kwa ulegevu
- Fujo
kila kukicha. Shida hamzitatuwi kama watu wazima,
na maranyingi
hamuelewani hata kidogo. Wengine wanaenda kwa waganga,
makanisani na kwa mashekhe ili wapate suluhisho
la
ndoa zao.
- Kutoka nje ya ndoa (jinsia zote). Vitu unavyoenda kutafuta havieleweki, havina msingi; bali unakaribisha matatizo juu ya mengine.
- Ndoa kusambaratika, na kurandaranda kila sehemu. Unajishushia heshima
mwenyewe bila kujitambuwa.
- Uume kusinyaa na kupoteza ubora na ukakamavu
5. Suluhisho
thabiti na
lakudumu
Mili yetu ni sawa na kiwanda. Kiwandani kuna vitu vingi sana: kuna mashine,
wafanyakazi,
umeme, maji,
... … n.k; kinapokosekana
kimoja kati ya hivyo kiwanda
hakiwezi kufanya kazi vizuri. Ndivyo
vivyo kwenye mili yetu tukija kwenye upande
wa nguvu za kiume.
Nguvu za kiume ni kama kiwanda.
Kwa watu wenye changamoto hii ya upungufu
wa nguvu za
kiume,
kampuni tumewaandalia program ya lishe kamili na
virutubisho
muhimu.
Bidhaa hizi
ni vyakula, siyo dawa wala mitishamba. Zimetengenezwa kutoka kwenye vyakula
ambavyo
tungefaa kula kila siku, na vina lishe kamili na virutubisho
muhimu katika
mili yetu inavyo
hitaji ili iweze kutengeneza yenyewe afya bora na nadhifu.
Hizo bidhaa zina mchanganyiko wa vitu vifuatavyo: Proteins,
Vitamins,
Minerals, Essential Fat
Acid and Trace minerals.
Kwa yeyote anayehitaji hii program ya kuboresha na kuimarisha afya yake ya
mfumo
mzima
wa uzazi,
awasiliane nasi kwa namba
zifuatazo:
No comments:
Post a Comment
warmly welcome
contact us via +255 768 603 979.