Health And Wellness Is Your Priority & Personal Development Mentorship Programs.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

FAHAMU AFYA YA TEZI DUME.WASILIANA NASI KWA NAMBA HII +255768603979.





FAHAMU AFYA YA TEZI DUME.WASILIANA NASI KWA NAMBA HII +255768603979.



1.Kila mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo kama viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo. Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani; na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili.

Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo. Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi. Takwimu zinaonesha kwamba kati  ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.

Ukuwaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume. Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50.

Takwimu kutoka kwenye shirika la CHRP (Centre for Human Right Promotion), zinaonesha kwamba kiujumla kila mwanaume katika maisha yake ana 16% za kugundulika na saratani ya Tezi Dume, mtu 1 kati ya watu 6 analo hili tatizo; 3% (1 kati 33) wanakufa kwasababu ya Saratani ya Tezi Dume. Saratani hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13.


 

2. VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA

Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi. Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jami kuhusu afya zao.

Vifuatavyo ni vyanzo vya kutanuka kwa tezi dume:

-       Ukosefu wa lishe kamili na Virutubisho muhimu mwilini

-       Uwepo wa sumu nyingi mwilini

-       Kutokufanya mazoezi

-      Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara

-      Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi

-      Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance)

-      Msongo wa mawazo (Stress)

-      Magonjwa ya zinaa

-      Umri mkubwa

-       Upasuwaji wa korodani, kuzaliwa na korodani moja,

-      Historia ya Familia (Kurithi)

-      Mazingira (Ethnicity)

3. DALILI  ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME



Mpaka mtu apate saratani ya Tezi Dume (Prostate Cancer), ujue amekaa na tatizo hilo kwa muda mrefu, si chini ya miaka isiyopungua 10.

Hii hutokana na mrundikano wa mkojo unaobaki kwenye kibofu na kwenye mrija wa mkojo (Urethra) wakati unakojoa; ukiendelea kujirundika kwenye kibofu na mrija; baada ya muda unazalisha Uric Acid na ndio inatengeneza saratani (cancer).

Saratani ziko stage nne. Ya kwanza na yapili ukiwahi unaweza kupona; lakini ikishafika stage ya 3 na 4, hazitibiki. Unasaidiwa kupunguza makali kwa mionzi ukijitayarisha kupoteza maisha muda wowote.

Hivyo ukiona dalili mojawapo kati ya hizi chukua tahadhari na hatua

mapema kabla hujaharibu mfumo wako mzima wa uzazi wa mwanaume. a)    Dalili za awali
-      Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu

-       Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu

-      Maumivu kwenye mfumo wa mkojo

-       Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa

-      Kuhisi kibofu kimeja mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki, lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena.

-      Homa

-       Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku b)   Dalili za mtu aliyeathirika
-      Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu

-      Miguu kuwa dhaifu

-      Kushindwa kumudu tendo la ndoa, au Kuhisi maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa

-      Kushindwa kuzuia mkojo, pindi unapohisi kukojoa

-      Kushindwa kuzuia haja kubwa (kinyesi cha maji maji)

-      Tumbo kuja gesi mara kwa mara

4. MADHARA YA TEZI ILIYOTANUKA

Katika hatua za awali, tezi inapotanuka hugunduliwa kwa kupimwa kwa njia ya

kidole. Hii ni njia ambayo daktari huingiza kidole kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini kama tezi imetanuka. Kipimo hiki ndicho rahisi kinacho kubalika duniani kote na kisicho na gharama. Lakini kimekuwa kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa tatizo hili kuona ni udhalilishaji.
Kipimo kingine ni kipimo cha damu. Damu huchunguzwa aina ya protein inayozailishwa na seli za tezi dume, kiitwacho Prostate Antigen (PSA). PSA huonesha kuwapo kwa tatizo kwenye Tezi Dume, lakini kipimo hiki hakina uwezo wa kutofautisha endapo tatizo hilo linamaanisha saratani.


Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka:

-       Kibofu cha mkojo kuuma: hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu

figo na Ini … … n.k.

-      Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa

-       Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)

-      Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika)

-      Ugumba (Infertility, Frigidity for men)

-      Kutokea kwa majipu sehemu ya Tezi Dume

-      Kifo








5. SULUHISHO KWA TEZI ILIYOTANUKA

a)    Suluhisho Linalopendwa

Watu wengi hukimbilia hospitali pindi wanapopatwa na madhara ya Tezi dume na kujikuta wakipewa tiba ambazo huficha tatizo hilo kwa muda mfupi kisha tatizo hujirudia kwa kasi kubwa.

Tezi iliyotanuka haiwezi kutibika kwa njia za madawa yenye makemikali au mitishamba, lakini madawa au upasuaji hupunguza maumivu ya dalili na kuzifanya zisizidi sana.

Kuna njia 3 za kudhibiti Tezi iliyotanuka

1. Kusubiri na kufuatilia kwa ukaribu na Daktari:

Inashauriwa kwamba kwa tatizo hili ni bora kuendelea kulichunguza bila kukimbilia tiba kali kama madawa, upasuaji na Tiba kemikali, mpaka pale mtu atakapoona
hakuna njia mbadala.

2. Madawa

Baadhi ya madawa wanayopewa wagonjwa wa saratani ya tezi Dume yaligunduliwa miaka 30 iliyopita, yanasababisha athari kwenye Ini, Moyo na kuvimbisha magoti. Yamepigwa marufuku katika Nchi haswa za Ulaya.”

Johnathon Waxman, Cancer Specialist, Hammer Smith Hospital, London

3. Upasuaji




Njia hii ambayo madaktari hutumia inapelekea 70% ya wagonjwa kuwa mahanithi baada ya upasuaji, na 40% wanashindwa kuzuia mkojo kutoka wanapo banwa na haja ndogo.”

Johnathon Waxman

Inasikitisha kuona wanaume wanapasuliwa bila uhakika wowote kwamba huo upasuaji utakuwa na manufaa.

b)   Suluhisho la kudumu (Bora)

Tezi Dume inatanuka kwasababu ya upungufu wa madini na virutubisho mwili unavyohitaji.

Kwa watu wenye changamoto hii ya kutanuka kwa Tezi Dume, na mfumo wa uzazi mwanaume, kampuni tumewaandalia program ya lishe
kamili na virutubisho muhimu. Bidhaa hizi ni vyakula, siyo dawa wala mitishamba. Zimetengenezwa kutoka kwenye vyakula ambavyo tungefaa kula kila siku, na vina lishe kamili na virutubisho muhimu katika miili yetu inavyo hitaji ili iweze kutengeneza yenyewe afya bora na nadhifu.

Hizo bidhaa zina mchanganyiko wa vitu vifuatavyo: Proteins, Vitamins, Minerals, Essential Fat Acid and Trace minerals.

Kwa yeyote anayehitaji hii program ya kuboresha na kuimarisha afya yake ya Tezi Dume (Prostate Gland) na mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume, awasiliane nasi kwa namba zifuatazo: +255768603979.











BAADA_YA_CHANGAMOTO_KUIKUMBA_JAMII_JOPO LA WATAALAMU/MADAKTARI_WALIOBOBEA_KATIKA AFYA_YA_MWANADAMU_WALIFANYA_TAFITI_YA_NAMNA_YA_KUONDOA_CHANGAMOTO_HIZO_BILA_KUTUMIA_DAWA_AU_VIAMBATA_VYENYE_SUMU_BALI_KUTUMIA_VIRUTUBISHO.


Virutubisho hivyo vimekuwa vikitumiwa na watu wengi kwa zaidi ya mataifa 170 duniani na tunashuhuda nyingi za watu waliopata kuboreshwa kwa afya zao baada ya kutumia virutubisho hivyo.


Kwa Ushauri au Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote Ulipo(Tanzania Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).
Free delivery ndani ya Dar, kama upo mkoani utatumiwa pia ndani na nje ya tanzania .


Kwa maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa zinazo ondoa tatizo hilo wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.


Ni virutubisho asili ambavyo vimeshawasaidia watu wengi saana hapa nchini na Duniani kwa Ujumla. Karibu Upate huduma zetu kwa ushauri pia wasiliana nasi PIGA /TUMA NENO :"Health and wellness is Your Priority".kisha #SULUISHO LA AFYA YA TEZI DUME KWA WANAUME.


kwa mawasiliano: +255768603979“ maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”
https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…
https://web.facebook.com/MaishaNiAfyaLindaAfyaYako/
https://paulbiswalo.blogspot.com/
https://www.pinterest.com/biswalopaul/
SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.


KWA KUENDELEA KUPATA UP-DATE JUU YA AFYA LIKE PAGE HII NA KUSHARE ELIMU HII YA BURE KWA WENGINE.











































7 of 7                                                                                                                                                                                                        12/19/2017, 7:33 AM
Share:

No comments:

Post a Comment

warmly welcome

contact us via +255 768 603 979.

Popular Posts

Blog Archive

for any assistance.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

Featured post

UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI??????

AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO. UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI?????? jiulize swali hili na utafakali vizuri ilik...

Followers

Contact Form

Name

Email *

Message *

Labels

Total Pageviews

Theme Support