wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.
“Magonjwa ya Moyo (Cardiovascular Diseases), ni miongoni mwa magonjwa yaliyoko kwenye kundi la magonjwa yasioambukiza (NCDs). “Haya ni magonjwa yote yanayoathiri moyo na mishipa yake na kuhatarisha maisha ya binadamu.
Ugonjwa huu wa mishipa ya moyo hudhoofisha misuli ya moyo kiasi cha kufanya moyo kushindwa kusukuma kiwango cha kutosha cha damu na kuchangia ugonjwa unaofanya mapigo ya moyo yasiyo na mpangilio wa kawaida (arthymias).
Kuna ugonjwa wa moyo unaoitwa Atherosclerosis hali hii ni kitendo cha mafuta kuganda kwenye mishipa ya damu (arteries). Inaweza kuchukua miaka mingi. Kadri miaka inavyosonga mbele, ndivyo mafuta haya yanazidi kuwa magumu na kuzuia msukumo wa damu yenye hewa safi (Oxygen) kwenye moyo.
Anaongeza kuwa ikiwa mafuta yataziba kabisa kwenye mishapa ya moyo (coronary arteries) na kufanya misuli ya moyo kukosa damu yenye hewa safi, huzaa maradhi mengine yanayoitwa Angina (aina ya mstuko wa moyo).
Aneurysm ni aina nyingine ya ugonjwa wa moyo ambapo mishipa ya damu (artery) huvimba kama puto kutokana na kuharibika kwa mishipa au kudhoofika kwa kuta za mishipa hiyo.
Ikitokea mishipa ya damu kupasuka, huvujisha damu kwenye ubongo, hivyo mtu kukumbwa na kiharusi (stroke).
Kiharusi ni ugonjwa wa kupooza unaotokana na kuingiliwa au kupungua kwa usambazaji wa damu kwenye ubongo hali inayozifanya seli za ubongo kukosa hewa safi na virutubishi.
Ugonjwa mwingine wa moyo hujulikana kwa jina Rheumatic Heart Disease, huu ni ugonjwa unaoharibu valvu za moyo (jumla zipo 4). Congenital Heart Diseases, haya ni magonjwa ya moyo ambayo mtoto anazaliwa nayo, na mara nyingi huzaa vifo kwa watoto.
Peripheral Vascular Disease ni ugonjwa mwingine wa moyo kwenye mishipa ya damu ambao mara nyingi hutokea kwenye mfumo wa usambazaji wa damu nje ya ubongo na moyo.
Mara nyingi, ugonjwa huu huwapata watu wenye umri wa kuanzia miaka 50 na kuendelea, hasa wavutaji wa sigara na wenye kisukari. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), magonjwa yasiyoambukiza kama yalivyo magonjwa ya moyo, kila mwaka huua watu zaidi milioni 38 duniani. Vifo vingi kati ya hivyo, hutokana na magonjwa ya moyo.
Inakadiriwa kwamba watu takriban milioni 17.5 hufariki dunia kila mwaka kwa magonjwa hayo ya moyo, yakifuatia magonjwa ya saratani yanayoua watu takriban milioni 8.2 kwa mwaka, wakati magonjwa ya njia ya hewa yanauwa watu milioni nne na kisukari watu milioni 1.5 kila mwaka.
Kwa upande wa Tanzania, takwimu kutoka Chama cha Madaktari wa Watoto nchini (PAT), zinaonyesha kwamba takriban watoto 13, 600 huzaliwa kila mwaka wakiwa na magonjwa aina mbalimbali ya moyo, huku watoto wastani wa watoto 3,400 kati yao, wakihitaji kupatiwa matibabu kwa kufanyiwa upasuaji.
Kinachosikitisha hadi sasa katika tasnia ya magonjwa ya moyo, ni kwamba mtu anaweza asione dalili za moja kwa moja za magonjwa ya moyo, hadi wakati mishipa ya damu ya moyo inapokuwa imeziba kabisa au kushindwa kuruhusu damu kwa kasi na kiwango kinachotakiwa.
Mara nyingi, hakuna dalili inayojitokeza moja kwa moja kwa wagonjwa wa aina hii, hadi pale moyo wenyewe unaposhindwa kufanya kazi ghafla (heart attack/sudden death) au mtu anapopata kiharusi (stroke).
Zaidi ya maelezo hayo ya wataalam wa magonjwa ya moyo, dalili zinapojitokeza mapema hutofautiana kwa kutegemea aina ya ugonjwa wa moyo, ingawa dalili hizo nazo hazijitokezi mapema kama ilivyo kwa magonjwa mengine.
Hata hivyo, dalili kuu za magonjwa ya moyo ni pamoja na maumivu ya kifua upande wa kushoto (hii ni dalili kuu ya ugonjwa wa moyo); moyo kwenda mbio na kumfanya mtu akose pumzi au kushindwa kupumua; kuvimba miguu, tumbo na mishipa ya shingoni kujitokeza nje.
Dalili nyingine ni maumivu ya mgongo, mabega, shingo na taya; tumbo kujaa, kichefuchefu, na kutapika; kukosa usingizi; kupoteza fahamu na kikohozi kisichokwisha.
Anasema, jambo muhimu ni kwamba hadi dalili hizo zijitokeze wazi, ni kwamba mtu huyo amekuwa akiishi na ugonjwa kwa muda mrefu. Kwa hiyo, njia bora ya kugundua dalili ya ugonjwa wa moyo ni kufanya uchunguzi wa afya mara kwa mara angalau mara moja kwa mwaka. Endapo mtu atahisi maumivu ya aina yoyote kifuani, hasa baada ya kufanya mazoezi, ni muhimu kuonana na daktari haraka.
Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Afya duniani (WHO) zilizotolewa mwaka 2011, vifo vilivyotokana na magojwa ya moyo nchini Tanzania vilifikia idadi ya watu 19,083 au asilimia 4.33 ya idadi ya vifo vyote. Na takwimu hizo zilionyesha idadi ya wanaofariki ni watu 117.64 kati ya watu 100,000. Takwimu hizi zinaiweka Tanzania katika nafasi ya 87 duniani kati ya nchi karibu 200.
Magonjwa haya ya moyo huchangia vifo vingi duniani kote. Hata hivyo, Shirika la Afya duniani limefanya jitihada za makusudi ili kupunguza vifo vitokanavyo na magonjwa ya moyo na mambo yanayochangia kuongezeka kwa vifo hivyo.
NINI CHANZO CHA MAGONJWA YA MOYO?
1.Milo mibaya/lishe duni
2.Mifumo ya maisha ya sasa/lifestyles
3.kisukari
4.Uvutaji wa sigara
5.Umri
6.urithi/genetics.kwa baadhi.
7.Uzito uliopitiliza/obesity.
MAELEZO ZAIDI.
A).Kutokuzingatia kanuni za ulaji bora,ni moja ya mambo yanayoongeza uwezekano wa mtu kupata magonjwa ya moyo.kwa mfano ,ulaji wa vyakula venye mafuta mengi,vyakula venye sukari nyingi,vyakula venye chumvi nyingi na lehemu nyingi,huku ulaji wa mboga mboga na matunda ukiwa ni wa kiwango cha chini,hivyo hupelekea kuongeza uwezekano wa kupatwa na magonjwa ya moyo.
B).Aidha hali ya kuwa na uzito uliozidi kiasi au kuwa na unene uliopitiliza pamoja na kutofanya mazoezi ya mwili na viungo mara kwa mara ,huchochea pia kuwa na magonjwa ya moyo.
C).Vina saba/kurithi.
Wakati mwingine magonjwa ya moyo huweza kutokea kutokana na historia ya familia.
D).Umri,umri unapozidi miaka 50 kuna uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo kwa sababu mfumo wa moyo huregea kutokana na kusekana kwa virutubisho muhimu kadiri muda unavyo kwenda.
E).Jinsia,magonjwa haya ya moyo huwapata wanaume Zaidi ikilinganishwa na wanawake kwa asilimia 95,kwamba wanaume ni vichwa vya familia ,hivyo huwa na mambo mengi sana wanayotakiwa kuyatimiza katika familia zao kuliko wanawake,pia tafiti mbali mbali zinaonesha kuwa mwanamke akipata hasira hulia sana ukilinganisha na mwanaume ambopo yeye anajaza mambo moyoni au anakuwa na kinyongo,anapokuwa hivyo humfanya kuwa mkali na mwenye hasira ambazo zinapelekea kuchochea homoni za hasira na kuharibu mfumo mzima wa moyo,hivyo humpelekea kupatwa maradhi haya kuliko wanawake.
NJIA ZA KUJIKINGA NA MAGONJWA YA MOYO.
1.Kufanya mazoezi ya kutosha kila siku walau nusu saa
2.kula matunda ya kutosha
3,kula chakula bora ikiwemo kiwango kidogo cha chumvi,walau 5g kwa siku
4.Epuka uvataji wa sigara
5.Punguza au acha kabisa unywaji wa pombe
6.Zingatia sana uzito wako usipitilize
ANGALIZO.
Watu wengi waliopata tiba ya moyo ya kupasuliwa na dawa za kupunguza mwendokasi wa mapigo ya moyo ili ajisikie kawaida,wamesema kwamba "ukubwa wa tatizo ndio unaongezeka badala ya kuondoa tatizo hili moja kwa moja na mwisho wa siku hupelekea moyo kuwa mpana/mkubwa ambapo usipokuwa mwangalifu unaweza poteza maisha kwa haraka sana.hivyo wantutaka tuwe makini na afya zetu.
Kutokana na mabadiliko makubwa ya kisayansi na kiteknolojia kumekua na mabadiliko makubwa ya kimazingira duniani hususani uchafuzi wa mazingira.viwanda vipo vingi sana hivyo uchafu ni mwingi.Kilimo cha tija/biashara ambacho huhusisha kemikali kama mbolea za viwandani kimesababisha kuharibu uhalisia wa ardhi.
Ni wazi kua hata vyanzo vya maji si salama kabisa.
Kutokana na mambo kama haya hata afya za watu imekua ni changamoto kubwa sana karne hii hususani barani Afrika.
Hivyo basi kutokana na changamoto kubwa za afya hatuna budi kula vyakla vya ziada/virutubisho ili kuongezea kwenye milo yetu ya kila siku ili kuimarisha afya zetu.Kumbuka lishe bora ndio njia pekee ya kufanya tuwe na afya bora na hivyo kujiepusha na maradi mbalimbali.
HITIMISHO.
Kutokana na matumizi ya madawa mbali mbali ya moyo yamekuwa yakiongeza tatizo hili kwa wagonjwa,wataalamu wa sayansi ya binadamu wakaamua kulitafakari na kugundua suluhisho mahususi la kuondoa tatizo hili katika jamii yetu kwa kutumia VIRUTUBISHO ASILIA badala ya madawa yenye kemikali ambayo wagonjwa wengi wanatumia kwa sasa bila kuleta majibu ambayo mgonjwa anategemea.
SULUHISHO .
1).REHEMU (CHOLESTEROL) MBAYA IKIZIDI MWILINI NI HATARI KWA AFYA ZETU.
๐ฅ๐ฅZIJUE FAIDA ZA KUTUMIA MAFUTA YA SAMAKI YA ARCTIC SEA KWA KULINDA NA KUBORESHA AFYA ZETU
๐ฅ๐ฅ KIRUTUBISHO MUHIMU SANA KWA MATATIZO YA MSHITUKO WA MOYO ( HEART ATTACKS)
๐ฅ๐ฅMUHIMU SANA KWA MTOTO ALIYEKO TUMBONI NA KATIKA UKUAJI WAKE.
KINGA NI BORA KULIKOTIBA
⚫Mafuta ya SAMAKI ni muhimu sana katika mwili wa bianadamu kiafya. Tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa watu wanaoishi maeneo ya pembezoni mwa Bahari, maziwa, mito mikubwa wamekuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri, akili nyingi na wamekuwa wakiishi kwa muda mrefu kutokana na kutokuzeeka mapema kwa sababu ya utumiaji wa samaki mwenye mafuta yenye kiambata aina ya Omega 3.
⚫Vile vile Utafiti ulifanywa kwanini WAJAPANI hawaugui magonjwa ya KANSA, KISUKARI na MAGONJWA YA MOYO... ikaonekana kwamba wajapani wanatumia sana vyakula vya baharini, ukilinganisha na watu wa magharibi wanaotumia mafuta ya wanyama!.
⚫ ARCTIC SEA Super OMEGA 3 inatokana na mafuta ya samaki aina ya SALMON anayepatikana kwenye kina kirefu cha bahari ya ARCTIC anayetoa Omega 3(370mg) Na mafuta ya mizeituni inayotoa OMEGA9(250 mg).
⚫ ARCTIC SEA Super OMEGA 3 ina faida nyingi katika Afya ya binadamu. Zifuatazo Ni baadhi ya Faida zake kiafya.
■ Muhimu kwa Ukuaji wa ubongo pamoja na mfumo wa fahamu.
▪Muhimu Kwa ukuaji watoto kwani yanaongeza uwezo wao kiakili ( intelligence).
■matatizo ya hormones
■Afya ya ngozi
■Huongeza nguvu na kinga ya mwili
■Kupunguza Cholesterol ambayo Ni mafuta mabaya yaliyoganda katika mishipa ya damu.
▪Muhimu Kwa mama mjamzito kutumia mafuta ya samaki kabla, wakati Na baada ya kujifungua Kwa ajili ya kusaidia kukuza Ubongo wa Mtoto aliyeko tumboni na afya ya mama.
■Kuzuia arthritis
■Kuzuia kukua kwa uvimbe
■Kusaidia kumbukumbu kukaa vizuri
■Misuli kukosa nguvu
■Husaidia kupambana na Saratani ya matiti na Saratani nyinginezo.
■ ni nzuri sana kwa mtu mwenye PROSTATE na matatizo ya stroke.
2).ARGI+./L-Arginine.
Muhimu kwa afya yako fahamu sababu 10 ARGI+.
Ina 5grams za L-Arginine kwa kila kijiko kimoja,na vitamin mbalimbali zinazosaidia kuongeza stamina na nguvu.L-Arginine ina amino acid muhimu sana kwa afya kiujumla.Miili yetu inabadilisha kuwa Nitric oxide,ambayo inasaidia mishipa ya damu kutanuka na kuruhusu damu kupita.ARG+ pia ina viondosha sumu kama pomegranate.
Faida 10 za ARGI+
(1). Ni kirutubisho muhimu sana kutumia kila siku kwa ajili ya kusaidia mifumo yote ya mwili ili kuupa mwili uwezo wa kufanya kazi vizuri zaidi
(2): ina mfumo wa kinga ya mwili kutokana na Nitric oxide ambayo inatumiwa na chembechembe nyeupe za damu kuuwa bacteria.hivyo kuupa mwili uwezo zaidi na kupigana na magonjwa.
(3) inasaidia kurekebisha kiwango cha Blood pressure kiwe sahii na afya ya mzunguko wa damu ya moyo kiujumla
(4):inasaidia kutengenezwa kwa mifupa na mwili kiujumla hivyo ni vizuri sana kwa tatizo la waliovunjika mifupa au wenye mifupa dhaifu.
(5):Nitric oxide
inayotengenezwa inaongeza mzunguko wa damu ndani ya mwili na hivyo inasaidia kuongeza nguvu za kiume.
(6):inasaidia misuli kuwa imara na yenye nguvu pamoja na kupunguza mafuta ndani ya mwili ndio maana ni nzuri sana kwa wanawake na wanaume wanaofanya mazoezi.
(7): ina "promegrant" na vimelea vya matunda ambavyo ni viosha sumu inasaidia kuondoa madhara ya
free radicals mwilini.
(8):Ina vimelea
vitokanavyo na "RED WINE" ambayo inasaidia kushusha kiasi cha "CHOLESTROL" mwilini.
(9):inaongeza uwezo wa mwili kutumia Insuline(insuline sensitivity) hivyo inafaa sana kuweka uwiano wa sukari mwilini
(10): inasaidia kutoa hormones zinazopunguza kazi ya kuzeeka (Anti-Ageing) kukufanya uonekane chini ya umri wako.
Matumizi : kijiko kimoja cha ARGI+ na 240ml za kinywaji cha Aloe vera au juisi ,maji maziwa mtindi.
3).Ijue ALOE VERA GEL, kinywaji bora cha afya chenye aloe vera nyingi,( 97%).
wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.
Kinywaji hiki chenye utajiri wa Virutubisho muhimu kama ifuatavyo:-
200 compounds (active enzymes), 75 nutrients, 12 Vitamins, 20 minerals, 18 aminal acids (protein)
Faida zake kwa afya yako:
1. Kuondoa sumusumu mwilini zitokanazo na hewa chafu, vumbi, vyakula vilivyolimwa na mbolea na dawa zenye kemikali, sumu, madawa, vyakula, pombe na vileo, nk.
2. Kuondoa na kuepusha vimbe sehemu yoyote mwilini, mfano mji wa mimba, shingoni, nk.(unakunywa nyingi kwa muda)
3. Kuepusha magonjwa na kuua vijidudu kama virusi. bacteria na fangasi.
4. Kusafisha utumbo mkubwa wa chakula na:
~kuondoa mafuta yanayoganda,
~kuzuia na kusaidia gesi tumboni,
~kupata choo vizuri na kuzuia constipation (choo kigumu), hata kwa mtoto mchanga anayesumbuliwa na chango au kukosa choo (unampa kijiko kimoja cha chai)
~kusaidia mmeng'enyo wa chakula ( virutubisho vifyonzwe vizuri)
~ Kusaidia vidonda vya ndani (ulcers) na nje ya tumbo.
5. Kuongeza kinga mwilini. Na kukuepusha kushambuliwa na magonjwa mara kwa mara.
6. Inasaidia maumivu ya viungo kama miguu na mgongo.
7. Kusaidia wenye magonjwa ya umri kama kisukari, presha, nk.
8. Kusaidia kuboresha matatizo mbalimbali ya ngozi km;
~kuifanya iwe nzuri na ya kuvutia,
~kuifanya iwe nyevunyevu,
~kuiondoa ukavu na mikunjokunjo,
~kutengeneza seli mpya na kuondoa seli zilizokufa.
~Kusaidia magonjwa mbalimbali ya ngozi km;aleji, muwasho, chunusi, vinundu vidogodogo vyeusi, makovu, mkanda wa jeshi na upele,
9. Kusaidia ugonjwa wa kupooza (STROKE).
10. Inasafisha mzunguko wa damu, inaimarisha mishipa ya damu na kuyeyusha damu na mafuta yaliyoganda.
11. Inasaidia kuondoa harufu mbaya mdomoni kwa kuua bacteria wabaya wanaokaa kwenye utumbo wa chakula na kuleta harufu mbaya mdomoni. (Kuna watu wanaswaki lakini bado wananuka mdomo)
12. Inasaidia ukuaji wa mwili.
13. Husaidia uchovu sugu, kutopata usingizi vizuri (insomnia), hangover, msongo wa mawazo, (Stress), na mfumo wa fahamu na neva (nervous system).
14. Inaondoa baridi na ganzi kwenye viungo vya mwili, mfano miguu, mikono na vidole.
~Hufaa kwa watu wote, ( mama mja mzito anywe kiwango kidogo sana au atumie Aloe Berry Nectar ambayo ina kiwango kidogo cha aloe vera).
15. Unaweza kunywa wakati unatumia dawa za hospitali ili kusaidia kupunguza madhara yanayoambatana na dawa (side effects). Unakunywa nusu saa kabla ya kumeza dawa za hospital
KUNYWA KWA AFYA, (USISUBIRI UUGUE), JAPO KOPO 2 au moja KWA MWEZI.
#BAADA_YA_CHANGAMOTO_KUIKUMBA_JAMII_JOPO LA WATAALAMU/MADAKTARI_WALIOBOBEA_KATIKA AFYA_YA_MWANADAMU_WALIFANYA_TAFITI_YA_NAMNA_
YA_KUONDOA_CHANGAMOTO_HIZO_BILA_KUTUMIA_DAWA_AU_
VIAMBATA_VYENYE_SUMU_BALI_KUTUMIA_VIRUTUBISHO.
Virutubisho hivyo vimekuwa vikitumiwa na watu wengi kwa zaidi ya mataifa 170 duniani na tunashuhuda nyingi za watu waliopata kuboreshwa kwa afya zao baada ya kutumia virutubisho hivyo.
Kwa Ushauri au Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote Ulipo(Tanzania Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).
Kwa maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa zinazo ondoa tatizo hilo wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.
Free delivery ndani ya Dar, kama upo mkoani utatumiwa pia ndani ya tanzania.
Ni virutubisho asili ambavyo vimeshawasaidia watu wengi saana hapa nchini na Duniani kwa Ujumla. Karibu Upate huduma zetu kwa ushauri pia wasiliana nasi PIGA /TUMA NENO :"Health and wellness is Your Priority".kisha #SULUHISHO KWA MAGONJWA SUGU YA MOYO.
kwa mawasiliano: +255768603979“ maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”.
https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…
https://paulbiswalo.blogspot.com/
https://web.facebook.com/MaishaNiAfyaLindaAfyaYako/
https://www.pinterest.com/biswalopaul/
SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.
KWA KUENDELEA KUPATA UP-DATE JUU YA AFYA LIKE PAGE HII NA KUSHARE ELIMU HII YA BURE KWA WENGINE.
No comments:
Post a Comment
warmly welcome
contact us via +255 768 603 979.