Health And Wellness Is Your Priority & Personal Development Mentorship Programs.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

#SULUHISHO LA KUPUNGUZA UZITO BILA YA KUWA NA MATATIZO YA KIAFYA.WASILIANA NASI KWA NAMBA HII +255768603979.

SULUHISHO LA KUPUNGUZA UZITO BILA YA KUWA NA MATATIZO YA KIAFYA.
WASILIANA NASI KWA NAMBA HII +255768603979.



Baadhi ya watu waliotumia bidhaa za kupunguza uzito na wamepata matokeo mazuri sana sana waweza kuendelea kusoma uone ni jinsi gani bidhaa zetu zinavyofanya kazi vizuri karibu na wewe ujipatie punguzo lako na kupata matokeo mazuri juu ya uzito unaohitaji kuufikia.
 
WASILIANA NASI KWA NAMBA HII +255768603979.
Tunapoongelea Sumu mwilini tunamaanisha jambo moja kubwa,taka/kemikali mbaya zinazopatikana/kutunzwa mwilini kutokana na shughuli za mwili wenyewe(metabolism),kuingizwa mwilini na mwanadamu mwenyewe kwa njia ya chakula,hewa,ngozi n.k
Kibaya zaidi sumu hizi hazitoki zenyewe mpaka uzitoe wewe na hizi sumu zikizidi unaweza kupata madhara mengi sana.

Kadiri uzito wako unavyozidi unaongeza kiwango cha sumu mwilini.
Ngozi kuharibika,kupata uchovu wa kudumu bila kufanya shughuli(fatigue),kusinzia hovyo,kuumwa viungo,kuumwa kichwa,kukosa usingizi,kuhema kwa shida,kuvurugika mfumo wa homon,kupata vimbe sehem mbali mbali za mwili,mafuta kuzidi mwilini zote hizi ni dalili ya kwamba sumu zimezidi mwilini.

Nina namna unayoweza kufanya kuondoa sumu hizo mwilini mwako.
UMHIMU WA KUONDOA SUMU KABLA YA KUANZA KUPUNGUA.
Naam, habari za majukumu wadau wangu wa page ya @HEALTH AND WELLNESS IS YOUR PRIORITY.(@https://www.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/)
 
Leo napenda kuweka wazi jambo hili la kufanya "detox na cleansing" kutokana Na sababu nyingi ambazo tumekuwa tukikutana nazo kwa watu wengi waliotumia njia tofauti za kupungua.
Watu wengi tumekuwa Na ndoto ya kuishi Na afya njema, kuwa Na uzito sahihi yaani "ideal weight " japo changamoto kubwa ni kushindwa kufanya Yale tunayopaswa kuyafanya. Hii pengine ni kutokana Na ubize mwingi kazini, Na katika biashara zetu.


Kutokana Na mfumo wa maisha kubadilika tumekuwa tukiingiza Sumu nyingi sana Na kemikali nyingi kutoka katika vyakula, vinywaji, vipodozi. Huku wengi wetu tukiwa tunafanya kazi sehemu hatarishi zenye hewa iliyo Na uchafuzi mwingi kama stand za magari, garage, viwandani, ujenzi wa Barabara, migodini, nk.

Kwa sababu hizi mili Na viungo vyetu vinapata nyongeza ya Sumu nyingi kutokana nje ambapo ini na figo hulazimika kuzibadili Na kuziruhusu kutoka kwa njia ya jasho, mkojo, Na kinyesi. Baadhi ya uchafu hubaki katika utumbo kwani mifumo yetu ya umeng'enyaji chakula huathiriwa Na mafuta Na kusababisha mwili kushinwa kutoa kemikali sahihi katika kuvunja Na kutoa takamwili.
Kwanini ni mhimu kuondoa Sumu kabla ya kuwaza kupungua????
 
Hii ni kwa sababu, Sumu huweza kuzingira seli za mafuta mwilini Na kusababisha ugumu katika kuungua kwa mafuta, japo mtu huyu mwenye Sumu akifanya diet au mazoezi anaweza kupata matokeo lakini yasiyoendelevu kama inavyoonekana katika picha hapo chini.

Mazoezi Na diet huweza kuunguza mafuta Na kuacha free radicals au Sumu zikizagaa katika mwili hivyo baada ya mwili kuhisi ongezeko la Sumu huweza kuruhusu hitaji la vyakula vyenye mafuta kuingia mwilini ili kuzuia Sumu kutoathiri viungo mhimu kama figo, moyo, INI, kongosho Na mapafu.
 
Kama ilivyo katika engine za magari huwezi kuweka oil mpya kabla hujaondoa iliyochafuka hivyo basi ni mhimu kuondoa taka mwili kabla hujaanza kupungua hii itasaidia haraka zoezi lako la kufanya mazoezi.

Kumbuka mabaki ya chakula hubadilishwa kuwa mafuta Na Sumu mwilini Na mbaya zaidi maozo haya huganda ndani ya utumbo Na kisababisha allergies, constipation, tumbo kujaa gas, kutokwa Na bawasili.
Hivyo tumia nutritional cleansing programs katika kuhakikisha mwili wako unakaa sawa.

WASILIANA NASI KWA NAMBA HII +255768603979.
 
BAADA_YA_CHANGAMOTO_KUIKUMBA_JAMII_JOPO LA WATAALAMU/MADAKTARI_WALIOBOBEA_KATIKA AFYA_YA_MWANADAMU_WALIFANYA_TAFITI_YA_NAMNA_YA_KUONDOA_
CHANGAMOTO_HIZO_BILA_KUTUMIA_DAWA_AU_
VIAMBATA_VYENYE_SUMU_BALI_KUTUMIA_VIRUTUBISHO.

Virutubisho hivyo vimekuwa vikitumiwa na watu wengi kwa zaidi ya mataifa 170 duniani na tunashuhuda nyingi za watu waliopata kuboreshwa kwa afya zao baada ya kutumia virutubisho hivyo.

Kwa Ushauri au Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote Ulipo(Tanzania Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).

Free delivery ndani ya Dar, kama upo mkoani utatumiwa pia ndani na nje ya tanzania .
Kwa maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa zinazo ondoa tatizo hilo wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.

Ni virutubisho asili ambavyo vimeshawasaidia watu wengi saana hapa nchini na Duniani kwa Ujumla. Karibu Upate huduma zetu kwa ushauri pia wasiliana nasi PIGA /TUMA NENO :"Health and wellness is Your Priority".kisha #SULUHISHO LA KUPUNGUZA UZITO BILA YA KUWA NA MATATIZO YA KIAFYA.

kwa mawasiliano: +255768603979“ maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”.
https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/
https://paulbiswalo.blogspot.com/
https://web.facebook.com/MaishaNiAfyaLindaAfyaYako/
https://www.pinterest.com/biswalopaul/
SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.
KWA KUENDELEA KUPATA UP-DATE JUU YA AFYA LIKE PAGE HII NA KUSHARE ELIMU HII YA BURE KWA WENGINE.
Share:

No comments:

Post a Comment

warmly welcome

contact us via +255 768 603 979.

Popular Posts

Blog Archive

for any assistance.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

Featured post

UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI??????

AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO. UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI?????? jiulize swali hili na utafakali vizuri ilik...

Followers

Contact Form

Name

Email *

Message *

Labels

Total Pageviews

Theme Support