MAUMIVU YA MGONGO YAMEKUWA NI TISHIO KWA SASA KUANZIA VIJANA WAKATI ZAMANI ILIKUWA KWA WATU WAZIMA SANA.
HII IMESABABISHWA NA NINI??
VYAKULA TUNAVYOKULA,MITINDO YA MAISHA,KUJICHUA NA KADHA WA KADHA.
WASILIANA NASI KWA USHAURI NA TIBA PIA Kwa namba hii +255768603979.
Hali ya maumivu ya mgongo huwatesa watu wengi hasa wale wenye umri miubwa jambo ambalo husababisha awatu hao kutojisikia vizuri au kawaida katika misuli au mifupa ya mgongo wako.
○Moja ya sababu za maumivu ya mgongo ni aina ya kazi unayofanya. Kazi inayohitaji muda mwingi katika kukaa/kusimama au unaifanya ukiwa katika mkao wa kuinama huchangia sana maumivu ya mgongo.
○Sababu nyingine ni ubebaji wa mizigo mizito usiozingatia afya ya mgongo na hata kulalia matandiko (magodoro) laini wakati wa kulala.
○Uzito wa kupita kiasi (ujauzito, kitambi) huweza kusababisha maumivu ya mgongo, ila akina mama wajawazito wanafahamu! Kinachotokea huwa ni kubadilika kwa mfumo mzima wa maumbile ya mgongo na hivyo kusababisha baadhi ya misuli/mifupa kubeba uzito wakati wa kukaa au kusimama.
○Sababu nyingine ni pamoja na magonjwa yanayoathiri mifupa (pingili) za mgongo kama vile TB ya mifupa ya mgongo, lakini pia kuvunjika au kuhama kwa mifupa ya mgogo kutoka nafasi yake ya hapo awali kutokana na sababu mbali mbali ikiwemo ajali huweza kuwa sababu pia ya maumivu ya mgongo.
○Mbali na sababu hizo pia umri wa uzeeni ni mojawapo ya sababu ya maumivu ya mgongo, kadri mtu anavyozidi kuukaribia uzee ndivyo kunavyozidi kutokea mabadiliko katika mifumo yote ya mwili ikiwemo ile ya mifupa na misuli hivyo kuleta matatizo mengine ya kimfumo yakiwemo maumivu ya mgongo na mengineyo.
■VIASHIRIA HATARI■
♧ Endapo unaumwa mgongo na uzito ukipungua huku ukiwa na historia ya kuugua saratani, hiyo ni dalili inayoweza kuashiria uwepo wa saratani.
♧ Kushindwa kushibiti hajakubwa na ndogo
♧ Kukosa hisia za mihemko ya kimwili
♧ Misuli kudhoofika
♧ Kukosa hisia katika maeneno ya makalio.
Sasa baada ya kufahamu sababu hizo ambazo huchangia maumivu ya mgongo ni vyema ikafahamika kwamba kuna baadhi ya virutubisho na lotion za asili huweza kutumika kutatua matatizo haya ya maumivu ya mgongo.
☆VIRUTUBISHO HIVYO NI☆
1) Forever Freedom
》 Husaidia kurudisha ute unaokaa katikati ya mifupa iwili
》 Husaidia kuondoa maumivu yanayosababishwa na matatizo ya mgongo
》 Hurudisha mgongo katika hali yake ya kawaida
》 Inakinga uharibifu wa katileji
》 inasaidia kuunda katileji mpya pale ilipoisha
》 Huondoa maumivu ya viungo kama magotini na miguuni.
2) Forever calcium, muhimu sana kwenye uundaji wa mifupa iliyopundeka au kumomonyoka pia husaidia kuimarisha mifupa .
BAADA_YA_CHANGAMOTO_KUIKUMBA_JAMII_JOPO LA WATAALAMU/MADAKTARI_WALIOBOBEA_KATIKA AFYA_YA_MWANADAMU_WALIFANYA_TAFITI_YA_NAMNA_YA_KUONDOA_CHANGAMOTO_HIZO_BILA_KUTUMIA_DAWA_AU_VIAMBATA_VYENYE_SUMU_BALI_KUTUMIA_VIRUTUBISHO.
Virutubisho hivyo vimekuwa vikitumiwa na watu wengi kwa zaidi ya mataifa 170 duniani na tunashuhuda nyingi za watu waliopata kuboreshwa kwa afya zao baada ya kutumia virutubisho hivyo.
Kwa Ushauri au Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote Ulipo(Tanzania Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).
Free delivery ndani ya Dar, kama upo mkoani utatumiwa pia ndani na nje ya tanzania .
Kwa maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa zinazo ondoa tatizo hilo wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.
Ni virutubisho asili ambavyo vimeshawasaidia watu wengi saana hapa nchini na Duniani kwa Ujumla. Karibu Upate huduma zetu kwa ushauri pia wasiliana nasi PIGA /TUMA NENO :"Health and wellness is Your Priority".kisha #SULUISHO LA MAUMIVU YA MGONGO.
kwa mawasiliano: +255768603979“ maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”
. ///https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…
https://paulbiswalo.blogspot.com/
https://www.pinterest.com/biswalopaul/
SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.
KWA KUENDELEA KUPATA UP-DATE JUU YA AFYA LIKE PAGE HII NA KUSHARE ELIMU HII YA BURE KWA WENGINE.
No comments:
Post a Comment
warmly welcome
contact us via +255 768 603 979.