Je, unafahamu madhara ya mvurugiko wa homoni na athari zake katika mfumo wa uzazi wa mwanamke,....nk?
Je, unahitaji kuepuka, kuondoa na kudhibiti changamoto kwa njia asilia bila kutumia mitishamba na madawa ya kikemikali?
Usihofu soma nakala hii, kisha wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kwa uhitaji wa program hii.
Wasiliana nasi kwa namba +255768603979.
FAHAMU AFYA YA UZAZI WA MWANAMKE.WASILIANA
NASI KWA NAMBA HII +255768603979.
1.Mvurugiko
wa
homoni za mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke pale anapo pata hedhi, hivyo
kufanya mwili
kubadilika.
Mvurugiko huo
huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%.
Asilimia
kubwa ya wanawake mabadiliko
huanza kati ya miaka 40 na 50,
lakini pia kukosekana kwa usawa wa homoni huweza kuonekana mapema zaidi,
kuanzia miaka 14.
Mabadiliko
haya
asilia hutokea wakati wa balehe,
hedhi, ujauzito, kabla na baada ya ukomo wa hedhi. Mvurugiko wa homini kwa mwanamke huweza
kuchangiwa kutokuwepo na usawa katika homoni zifuatazo Estrogen,
Progesterone na Testosterone. Kupungua au kuzidi kwa homoni hizi
kupelekea mvurugiko
wa homoni
kwa mwanamke.
II. VYANZO VYA MVURUGIKO WA HOMONI
Mvurugiko
wa
homoni ni tatizo
linalowakumba wanawake wengi kwa sasa, hii ni
kutokana na maisha wanayoishi,
elimu finyu waliyonayo
juu ya afya zao na kutokula
kulingana na makundi ya damu.
Vyanzo vya kuvurugika kwa homoni
ni:
Uwepo wa sumu mwilini
Unbalanced Lifestyle (mfumo
mbovu wa maisha)
Umri ukienda sana
Kukoma kwa hedhi
Kutofanya mazoezi,
na kutokulala masaa anayostahili kwa siku
Uzito mkubwa
Mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa
Msongo wa mawazo
Kula vyakula visivyo
endana na Blood Group
Upungufu wa lishe mwilini
Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango
Utoaji wa mimba
Family History (Upungufu au ongezeko
ya
homoni ya progesterone na Estrogen)
Ongezeko
ya homoni ya Androgen (Kuota ndevu,
sauti kama mwanaume)
Bara (Ethnicity): Wanawake wa Afrika wengi wana hili tatizo
la
ongezeko ya Homoni ya Estrogen,
ndiyo
maana wana maumbile makubwa
3. DALILI
ZA MVURUGIKO WA HOMONI
Mfumo wa homoni ni muhimu sana kwa afya ya ubongo na mili yetu. Husaidia kuzuia magonjwa yasiyo
ambukizi kadri umri unavyo songa mbele.
Baadhi ya dalili
zinazoweza kuonekana kwa mtu mwenye changamoto ya mvurugiko wa homoni ni kama vile:
- Maumivu wakati wa tendo la ndoa
-
Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
-
Upungufu wa hamu ya tendo
la
ndoa
-
Mabadiliko ya siku za
hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku
7. (heavy bleeding,
au
kujaza pedi moja kwa saa moja)
- Kukosa hedhi kwa
muda mrefu,
na kutoa damu
yenye
mabonge
mabonge wakati wa hedhi
-
Uchovu wa mara kwa mara
-
Hasira za mara kwa mara
-
Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara
-
Mzio
wa
vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula
-
Ongezeko ya tumbo na nyama uzembe
-
Kuharibika kwa ngozi (chunusi,
vipele… n.k)
-
Upungufu wa nywele kichwani.
-
Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)
-
Kupata hedhi wakati wa
ujauzito (progesterone ikiwa imezidi)
-
Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea
-
Mwili kutokukua, kuonekana kama binti mdogo,
na kutokukua kwa via vya uzazi
-
Msongo wa mawazo na kukosa kujiamini
- Kusinyaa na kupauka kwa ngozi wakati wa
siku
za hedhi na wakati
wa utumiaji wa njia za
uzazi wa mpango
-
Maumivu ya kichwa mara kwa mara
-
Kuwa na tabia ya hamaki (kukosa utulivu)
-
Kutokupata choo
kwa wakati
4. MADHARA YA
MVURUGIKO WA
HOMONI
Pamoja na dalili nyingi tulizoziona tungependa wanawake waelewe vitu vifuatavyo hutokea iwapo atatumia njia za kisasa za uzazi wa mpango. Njia hizo husababisha saratani ya kizazi,
CD4 kushuka,
sehemu ya uke kuwa baridi,
huchangia kwa 50% kufanyiwa upasuwaji (operation) wakati wa kujifungua, huathiri mtoto atakayezaliwa, huathri ubongo
(inapunguza uwezo wa
kufikiria),
kutokwa na majimaji yenye harufu mbaya ukeni na magonjwa ya mara kwa mara.
Ukiendelea kubaki na dalili tajwa hapo awali kwa muda mrefu,
kinga ya mwili itashuka kwa kiasi kikubwa na kusababisha madhara mengi kama yafuatayo:
Kutoshika ujauzito
kwa muda mrefu
Mimba kuharibika mara kwa mara;
Kukosa mtoto
au
Ugumba
Maumivu wakati wa tendo la ndoa
Kuwa na tabia na maumbile ya kiume
UTI (Urinary Tract Infection) ya mara kwa mara
Kuzeeka mapema
Kuziba kwa mirija ya uzazi
Saratani
Uvimbe kwenye uzazi wa mwanamke (Fibroids and Cysts)
5.
SULUHISHO
1.
Suluhisho
Linalopendwa
Wanawake wengi baada ya kujifahamu kuwa homoni zao haziko sawa huenda mahospitalini ambako
hupewa madawa (bioidentical or
synthetic hormones) na wengine hufanyiwa hormone replacement therapy.
Tiba hii huandaliwa kwa ajili ya kuzifanya homoni zifanye kazi zake kama kawaida. Lakini hupelekea madhara yaliyotajwa hapo awali (juu).
2.
Suluhisho
La kudumu
Mvurugiko
wa
homoni unasababishwa mara nyingi na upungufu wa lishe,
msongo wa mawazo,
na uwepo wa sumu mwilini na hivi vyote ni vitu unavyoweza
kurekebisha.
Kwa wanawake wenye changamoto ya mvuzugiko wa hormone mwilini,
tume
waandalia program ya lishe kamili na virutubisho muhimu. Program
hii
ni ya vyakula; sio
dawa wala miti shamba. Inasaidia kuweka sawa homone
za mwanamke, kuboresha mfumo
mzima wa uzazi,
kuleta heshima ya ndoa maana uke utarudi katika hali yake ya asili (mnato na ute ute ukeni wenye kuleta msisimko wakati wa
tendo la ndoa, na kupunguza kasi ya uzee). Sumu zikizidi mwilini mwanamke
huzeeka kabla ya wakati na kupatwa na changamoto mbalimbali za kiafya ikiwemo: vimbe zinazo
jipachika kwenye uzazi wa mwanamke, vidonda vya tumbo,
… n.k.
Kwa yeyote anayehitaji hii program ya kuboresha na
kuimarisha Afya yake awasiliane na kampuni kwa namba zifuatazo.
+255768603979.
BAADA_YA_CHANGAMOTO_KUIKUMBA_JAMII_JOPO LA
WATAALAMU/MADAKTARI_WALIOBOBEA_KATIKA AFYA_YA_MWANADAMU_WALIFANYA_TAFITI_YA_NAMNA_YA_
KUONDOA_CHANGAMOTO_HIZO_BILA_KUTUMIA_DAWA_AU_VIAMBATA_
VYENYE_SUMU_BALI_KUTUMIA_VIRUTUBISHO.
Virutubisho hivyo vimekuwa vikitumiwa na watu wengi kwa
zaidi ya mataifa 170 duniani na tunashuhuda nyingi za watu waliopata kuboreshwa
kwa afya zao baada ya kutumia virutubisho hivyo.
Kwa Ushauri au Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es
Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na
Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote Ulipo(Tanzania
Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).
Free delivery ndani ya Dar, kama upo mkoani utatumiwa pia
ndani na nje ya tanzania .
Kwa maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa zinazo
ondoa tatizo hilo wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.
Ni virutubisho asili ambavyo vimeshawasaidia
watu wengi saana hapa nchini na Duniani kwa Ujumla. Karibu Upate huduma zetu
kwa ushauri pia wasiliana nasi PIGA /TUMA NENO :"Health and wellness is
Your Priority".kisha #SULUISHO LA AFYA YA UZAZI WA MWANAMKE.
kwa mawasiliano: +255768603979“ maamuzi
yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”
https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…
https://web.facebook.com/MaishaNiAfyaLindaAfyaYako/
https://paulbiswalo.blogspot.com/
https://www.pinterest.com/biswalopaul/
SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU
HII YA BURE.
KWA KUENDELEA KUPATA UP-DATE JUU YA AFYA
LIKE PAGE HII NA KUSHARE ELIMU HII YA BURE KWA WENGINE.
No comments:
Post a Comment
warmly welcome
contact us via +255 768 603 979.