Health And Wellness Is Your Priority & Personal Development Mentorship Programs.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

SULUHISHO LA KUTOKWA NA UCHAFU UKENI KWA WANAWAKE WENGI. wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.

SULUHISHO LA KUTOKWA NA UCHAFU UKENI KWA WANAWAKE WENGI.
wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.

Kwa kawaida mwanamke hutokwa na majimaji mepesi (vaginal fluids) yenye rangi nyeupe au ya njano. Inapotokea anatokwa na majimaji yenye ute mzito wenye rangi nyeupe au kahawia na yanatoa harufu kali na muwasho, hiyo huwa ni ishara ya ugonjwa uitwao wa kutokwa uchafu ukeni ujulikanao kwa kitaalamu kama ‘Vaginosis’.





Mwanamke mwenye tatizo hili hujisikia vibaya na anaweza akaacha kushiriki tendo la ndoa ama kwa kuhofia maumivu au kwa kuona aibu kwani mwanaume ni vigumu kuvumilia harufu hiyo au hata kuuona tu huo ute ute kwani humjengea hisia kwamba mwenza wake atakuwa na magonjwa ya zinaa au si mwaminifu kwa ujumla.

Kinachosababisha kutokwa na uchafu ukeni:
👉Kuwa na wapenzi wengi
👉Baadhi ya dawa za uzazi wa mpango
👉Kusafisha uke kwa kutumia dawa na sabuni zenye kemikali
👉Uchafu
👉Uvutaji sigara
👉Pombe
👉Maambukizi ya Bakteria au bakteria wabaya wanapozidi ukeni

 
DALILI
👉Kutokwa na uchafu usio wa kawaida
👉Kutokwa na uchafu wenye harufu kali kama shombo ya samaki au kitu kilichooza
👉Kuwashwa sehemu za siri na ndani ya uke
👉Uke unaweza kubadilika na kuwa na rangi nyekundu
👉Maumivu sehemu za siri wakati wa kukojoa
👉Maumivu makali chini ya kitovu
👉Kutokwa uchafu uliochanganyika na damu

  

MATIBABU YAKE.

A)STABILIZED LIQUID SOAP
>Hii ni sabuni ya maji pekee inayo tumika zaidi ya nchi 160 duniani na ambayo haina kemikali na yenye uwezo wa kupenya katika vina saba vya ngozi.
>ina ALOE inayofaa kuosha uso, mikono na kuogea.
>Husafisha sehemu yoyote ya mwili, kuondoa harara, chunusi, upele, miwasho, fangasi, kuua bacteria na kuifanya ngozi iwe nyororo.
>Ni nzuri kuoshea sehemu za siri maana huzuia miwasho na harufu mbaya ukeni.
>Ni nzuri sana kuogeshea watoto kwa kuwa haitoi machozi na hufanya ngozi yake iwe laini na yenye unyevu unaofaa.
>Husaidia matatizo ya ngozi kama pumu ya ngozi - eczema, psoriasis, dermatitis.
>Haiwashi, inafaa sana kwa ngozi yoyote kwa kuwa ina PH sawa na ngozi na hii husaidia kupenya kwenye ngozi na kutoa uchafu wote uliojificha.
Huacha ngozi ikiwa laini na yenye kuvutia.

B)DAILY ALOE
>Hii ni anti-oxidant inayofanya kazi kwa kiwango cha nishati mwilini
>Kuimalisha mfumo wa kinga mwilini, mfumo wa uvunjaji au usagaji chakula
>Nzuri kwa afya ya mfumo wa moyo ,afya ya kibofu cha mkojo urinary trac infection system UTI ,kulinda kibofu cha mkojo na figo etc.
wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.

C) Ijue ALOEVERA GEL, kinywaji bora cha afya chenye aloe vera nyingi,( 97%).
wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.
Kinywaji hiki chenye utajiri wa Virutubisho muhimu kama ifuatavyo:-
200 compounds (active enzymes), 75 nutrients, 12 Vitamins, 20 minerals, 18 aminal acids (protein)
Faida zake kwa afya yako:
1. Kuondoa sumusumu mwilini zitokanazo na hewa chafu, vumbi, vyakula vilivyolimwa na mbolea na dawa zenye kemikali, sumu, madawa, vyakula, pombe na vileo, nk.
2. Kuondoa na kuepusha vimbe sehemu yoyote mwilini, mfano mji wa mimba, shingoni, nk.(unakunywa nyingi kwa muda)
3. Kuepusha magonjwa na kuua vijidudu kama virusi. bacteria na fangasi.
4. Kusafisha utumbo mkubwa wa chakula na:
~kuondoa mafuta yanayoganda,
~kuzuia na kusaidia gesi tumboni,
~kupata choo vizuri na kuzuia constipation (choo kigumu), hata kwa mtoto mchanga anayesumbuliwa na chango au kukosa choo (unampa kijiko kimoja cha chai)
~kusaidia mmeng'enyo wa chakula ( virutubisho vifyonzwe vizuri)
~ Kusaidia vidonda vya ndani (ulcers) na nje ya tumbo.
5. Kuongeza kinga mwilini. Na kukuepusha kushambuliwa na magonjwa mara kwa mara.
6. Inasaidia maumivu ya viungo kama miguu na mgongo.
7. Kusaidia wenye magonjwa ya umri km kisukari, presha, nk.
8. Kusaidia kuboresha matatizo mbalimbali ya ngozi km;
~kuifanya iwe nzuri na ya kuvutia,
~kuifanya iwe nyevunyevu,
~kuiondoa ukavu na mikunjokunjo,
~kutengeneza seli mpya na kuondoa seli zilizokufa.
~Kusaidia magonjwa mbalimbali ya ngozi km;aleji, muwasho, chunusi, vinundu vidogodogo vyeusi, makovu, mkanda wa jeshi na upele,
9. Kusaidia ugonjwa wa kupooza (STROKE).
10. Inasafisha mzunguko wa damu, inaimarisha mishipa ya damu na kuyeyusha damu na mafuta yaliyoganda.
11. Inasaidia kuondoa harufu mbaya mdomoni kwa kuua bacteria wabaya wanaokaa kwenye utumbo wa chakula na kuleta harufu mbaya mdomoni. (Kuna watu wanaswaki lakini bado wananuka mdomo)
12. Inasaidia ukuaji wa mwili.
13. Husaidia uchovu sugu, kutopata usingizi vizuri (insomnia), hangover, msongo wa mawazo, (Stress), na mfumo wa fahamu na neva (nervous system).
14. Inaondoa baridi na ganzi kwenye viungo vya mwili, mfano miguu, mikono na vidole.
~Hufaa kwa watu wote, ( mama mja mzito anywe kiwango kidogo sana au atumie Aloe Berry Nectar ambayo ina kiwango kidogo cha aloe vera).
15. Unaweza kunywa wakati unatumia dawa za hospitali ili kusaidia kupunguza madhara yanayoambatana na dawa (side effects). Unakunywa nusu saa kabla ya kumeza dawa za hospital
KUNYWA KWA AFYA, (USISUBIRI UUGUE), JAPO KOPO 2 au moja KWA MWEZI.

#BAADA_YA_CHANGAMOTO_KUIKUMBA_JAMII_JOPO LA WATAALAMU/MADAKTARI_WALIOBOBEA_KATIKA AFYA_YA_MWANADAMU_WALIFANYA_TAFITI_YA_NAMNA_YA_
KUONDOA_CHANGAMOTO_HIZO_BILA_KUTUMIA_DAWA_AU_VIAMBATA_
VYENYE_SUMU_BALI_KUTUMIA_VIRUTUBISHO.
 
Virutubisho hivyo vimekuwa vikitumiwa na watu wengi kwa zaidi ya mataifa 170 duniani na tunashuhuda nyingi za watu waliopata kuboreshwa kwa afya zao baada ya kutumia virutubisho hivyo.

Kwa Ushauri au Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote Ulipo(Tanzania Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).

Kwa maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa zinazo ondoa tatizo hilo wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.

Free delivery ndani ya Dar, kama upo mkoani utatumiwa pia ndani ya tanzania.
Ni virutubisho asili ambavyo vimeshawasaidia watu wengi saana hapa nchini na Duniani kwa Ujumla. Karibu Upate huduma zetu kwa ushauri pia wasiliana nasi PIGA /TUMA NENO :"Health and wellness is Your Priority".kisha #SULUHISHO LA KUTOKWA NA UCHAFU UKENI KWA WANAWAKE WENGI.

kwa mawasiliano: +255768603979“ maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”.
https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/
https://paulbiswalo.blogspot.com/
https://web.facebook.com/MaishaNiAfyaLindaAfyaYako/
https://www.pinterest.com/biswalopaul/
SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.
KWA KUENDELEA KUPATA UP-DATE JUU YA AFYA LIKE PAGE HII NA KUSHARE ELIMU HII YA BURE KWA WENGINE.
Share:

No comments:

Post a Comment

warmly welcome

contact us via +255 768 603 979.

Popular Posts

Blog Archive

for any assistance.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

Featured post

UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI??????

AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO. UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI?????? jiulize swali hili na utafakali vizuri ilik...

Followers

Contact Form

Name

Email *

Message *

Labels

Total Pageviews

Theme Support