USIPOANGALIA AFYA YA TEZI KWA SASA UTAANGAMIA MWENYEWE BAADAE!
WASILIANA NASI KWA NAMBA HII +255768603979.
Kila
mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo
kama viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi
wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo.
Kazi
yake kubwa ni kutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa),
ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka
kwenye Korodani; na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda
unaostahili.
Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo.
Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi. Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.
Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi. Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.
Ukuwaji
wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume
kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo
zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume.
Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50.
Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50.
Takwimu
kutoka kwenye shirika la CHRP (Centre for Human Right Promotion),
zinaonesha kwamba kiujumla kila mwanaume katika maisha yake ana 16% za
kugundulika na saratani ya Tezi Dume, mtu 1 kati ya watu 6 analo hili
tatizo; 3% (1 kati 33) wanakufa kwasababu ya Saratani ya Tezi Dume.
Saratani hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13.
Saratani hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13.
- VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA
Tatizo
la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na
mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi. Pia na elimu ndogo iliyoko
kwenye jamii kuhusu afya zao.
Vifuatavyo ni vyanzo vya kutanuka kwa tezi dume:
- Ukosefu wa lishe kamili na Virutubisho muhimu mwilini
- Uwepo wa sumu nyingi mwilini
- Kutokufanya mazoezi
- Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara
- Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi
- Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance)
- Msongo wa mawazo (Stress)
- Magonjwa ya zinaa
- Umri mkubwa
- Upasuwaji wa korodani, kuzaliwa na korodani moja,
- Historia ya Familia (Kurithi)
- Mazingira (Ethnicity)
- DALILI ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME
Mpaka
mtu apate saratani ya Tezi Dume (Prostate Cancer), ujue amekaa na
tatizo hilo kwa muda mrefu, si chini ya miaka isiyopungua 10.
Hii
hutokana na mrundikano wa mkojo unaobaki kwenye kibofu na kwenye mrija
wa mkojo (Urethra) wakati unakojoa; ukiendelea kujirundika kwenye kibofu
na mrija; baada ya muda unazalisha “Uric Acid” na ndio inatengeneza saratani (cancer).
Saratani
ziko stage nne. Ya 1 na ya 2 ukiwahi unaweza kupona; lakini ikishafika
stage ya 3 na 4, hazitibiki. Unasaidiwa kupunguza makali kwa mionzi
ukijitayarisha kupoteza maisha muda wowote.
Hivyo ukiona dalili mojawapo kati ya hizi chukua tahadhari na hatua mapema kabla hujaharibu mfumo wako mzima wa uzazi wa mwanaume.
a) Dalili za awali
- Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu
- Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
- Maumivu kwenye mfumo wa mkojo
- Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
- Kuhisi kibofu kimeja mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki, lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena.
- Homa
- Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku
b) Dalili za mtu aliyeathirika
- Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu
- Miguu kuwa dhaifu
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa, au Kuhisi maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa
- Kushindwa kuzuia mkojo, pindi unapohisi kukojoa
- Kushindwa kuzuia haja kubwa (kinyesi cha maji maji)
- Tumbo kuja gesi mara kwa mara
- MADHARA YA TEZI ILIYOTANUKA
Katika hatua za awali, tezi inapotanuka hugunduliwa kwa kupimwa kwa njia ya kidole.
Hii ni njia ambayo daktari huingiza kidole kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini kama tezi imetanuka. Kipimo hiki ndicho rahisi kinacho kubalika duniani kote na kisicho na gharama.
Lakini kimekuwa kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa tatizo hili kuona ni udhalilishaji.
Hii ni njia ambayo daktari huingiza kidole kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini kama tezi imetanuka. Kipimo hiki ndicho rahisi kinacho kubalika duniani kote na kisicho na gharama.
Lakini kimekuwa kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa tatizo hili kuona ni udhalilishaji.
Kipimo
kingine ni kipimo cha damu. Damu huchunguzwa aina ya protein
inayozailishwa na seli za tezi dume, kiitwacho Prostate Antigen (PSA).
PSA huonesha kuwapo kwa tatizo kwenye Tezi Dume, lakini kipimo hiki hakina uwezo wa kutofautisha endapo tatizo hilo linamaanisha saratani.
PSA huonesha kuwapo kwa tatizo kwenye Tezi Dume, lakini kipimo hiki hakina uwezo wa kutofautisha endapo tatizo hilo linamaanisha saratani.
Pata kufahamu madhara ya tezi iliyotanuka:
- Kibofu cha mkojo kuuma: hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini … … n.k.
- Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa
- Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika)
- Ugumba (Infertility, Frigidity for men)
- Kutokea kwa majipu sehemu ya Tezi Dume
- Kifo
- SULUHISHO KWA TEZI ILIYOTANUKA
a) Suluhisho Linalopendwa
Watu
wengi hukimbilia hospitali pindi wanapopatwa na madhara ya Tezi dume na
kujikuta wakipewa tiba ambazo huficha tatizo hilo kwa muda mfupi kisha
tatizo hujirudia kwa kasi kubwa.
Tezi iliyotanuka haiwezi kutibika kwa njia za madawa yenye makemikali au mitishamba, lakini madawa au upasuaji hupunguza maumivu ya dalili na kuzifanya zisizidi sana.
Kuna njia 3 za kudhibiti Tezi iliyotanuka
- Kusubiri na kufuatilia kwa ukaribu na Daktari:
Inashauriwa
kwamba kwa tatizo hili ni bora kuendelea kulichunguza bila kukimbilia
tiba kali kama madawa, upasuaji na Tiba kemikali, mpaka pale mtu
atakapoona hakuna njia mbadala.
- Madawa
“Baadhi
ya madawa wanayopewa wagonjwa wa saratani ya tezi Dume yaligunduliwa
miaka 30 iliyopita, yanasababisha athari kwenye Ini, Moyo na kuvimbisha
magoti. Yamepigwa marufuku katika Nchi haswa za Ulaya.”
– Johnathon Waxman, Cancer Specialist, Hammer Smith Hospital, London
- Upasuaji
Njia
hii ambayo madaktari hutumia inapelekea “70% ya wagonjwa kuwa mahanithi
baada ya upasuaji, na 40% wanashindwa kuzuia mkojo kutoka wanapo banwa
na haja ndogo.”
– Johnathon Waxman
Inasikitisha kuona wanaume wanapasuliwa bila uhakika wowote kwamba huo upasuaji utakuwa na manufaa.
b) Suluhisho la kudumu (Bora)
Tezi Dume inatanuka kwasababu ya upungufu wa madini na virutubisho mwili unavyohitaji.
Kwa watu wenye changamoto hii ya kutanuka kwa Tezi Dume, na mfumo wa uzazi mwanaume, kampuni tumewaandalia program ya lishe kamili na virutubisho muhimu.
Bidhaa hizi ni vyakula, siyo dawa wala mitishamba. Zimetengenezwa kutoka kwenye vyakula ambavyo tungefaa kula kila siku, na vina lishe kamili na virutubisho muhimu katika miili yetu inavyo hitaji ili iweze kutengeneza yenyewe afya bora na nadhifu.
Bidhaa hizi ni vyakula, siyo dawa wala mitishamba. Zimetengenezwa kutoka kwenye vyakula ambavyo tungefaa kula kila siku, na vina lishe kamili na virutubisho muhimu katika miili yetu inavyo hitaji ili iweze kutengeneza yenyewe afya bora na nadhifu.
Hizo bidhaa zina mchanganyiko wa vitu vifuatavyo: Proteins, Vitamins, Minerals, Essential Fat Acid and Trace minerals.
Kwa yeyote anayehitaji hii program ya kuboresha na kuimarisha afya yake ya Tezi Dume (Prostate Gland) na mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume, awasiliane nasi kwa namba zifuatazo:
BAADA_YA_CHANGAMOTO_KUIKUMBA_JAMII_JOPO
LA WATAALAMU/MADAKTARI_WALIOBOBEA_KATIKA
AFYA_YA_MWANADAMU_WALIFANYA_TAFITI_YA_NAMNA_YA_KUONDOA_CHANGAMOTO_HIZO_BILA_KUTUMIA_DAWA_AU_VIAMBATA_VYENYE_SUMU_BALI_KUTUMIA_VIRUTUBISHO.
Virutubisho
hivyo vimekuwa vikitumiwa na watu wengi kwa zaidi ya mataifa 170 duniani
na tunashuhuda nyingi za watu waliopata kuboreshwa kwa afya zao baada
ya kutumia virutubisho hivyo.
Kwa Ushauri au
Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na
Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote
Ulipo(Tanzania Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).
Free delivery ndani ya Dar, kama upo mkoani utatumiwa pia ndani na nje ya tanzania .
Kwa maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa zinazo ondoa tatizo hilo wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.
Ni virutubisho
asili ambavyo vimeshawasaidia watu wengi saana hapa nchini na Duniani
kwa Ujumla. Karibu Upate huduma zetu kwa ushauri pia wasiliana nasi PIGA
/TUMA NENO :"Health and wellness is Your Priority".kisha #SULUISHO LA AFYA YA TEZI DUME YAKO.
kwa mawasiliano: +255768603979“ maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”
https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…
https://web.facebook.com/MaishaNiAfyaLindaAfyaYako/
https://paulbiswalo.blogspot.com/
https://www.pinterest.com/biswalopaul/
SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.
KWA KUENDELEA KUPATA UP-DATE JUU YA AFYA LIKE PAGE HII NA KUSHARE ELIMU HII YA BURE KWA WENGINE.
No comments:
Post a Comment
warmly welcome
contact us via +255 768 603 979.