FAHAMU AFYA YA UZAZI WA MWANAMKE.
WASILIANA NASI KWA NAMBA HII +255768603979.
1.Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke pale anapo pata hedhi, hivyo
kufanya mwili
kubadilika.
Mvurugiko huo
huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%.
Asilimia
kubwa ya wanawake mabadiliko
huanza kati ya miaka 40 na 50,
lakini pia kukosekana kwa usawa wa homoni huweza kuonekana mapema zaidi, kuanzia
miaka 14. Mabadiliko haya asilia hutokea wakati wa balehe,
hedhi, ujauzito, kabla na baada ya ukomo wa hedhi. Mvurugiko wa homini kwa mwanamke huweza
kuchangiwa kutokuwepo na usawa katika homoni zifuatazo Estrogen,
Progesterone na Testosterone. Kupungua au kuzidi kwa homoni hizi
kupelekea mvurugiko
wa homoni
kwa mwanamke.
Mvurugiko wa homoni ni tatizo
linalowakumba wanawake wengi kwa sasa, hii ni
kutokana na maisha wanayoishi,
elimu finyu waliyonayo
juu ya afya zao na kutokula
kulingana na makundi ya damu.
Vyanzo vya kuvurugika kwa homoni
ni:
Uwepo wa sumu mwilini
Unbalanced Lifestyle (mfumo mbovu wa maisha)
Umri ukienda sana
Kukoma kwa hedhi
Kutofanya mazoezi, na kutokulala masaa anayostahili kwa siku
Uzito mkubwa
Mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa
Msongo wa mawazo
Kula vyakula visivyo endana na Blood Group
Upungufu wa lishe mwilini
Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango
Utoaji wa mimba
Family History (Upungufu au ongezeko ya homoni ya progesterone na Estrogen)
Ongezeko ya homoni ya Androgen (Kuota ndevu,
sauti kama mwanaume)
Bara (Ethnicity): Wanawake wa Afrika wengi wana hili tatizo la ongezeko
ya Homoni ya Estrogen,
ndiyo
maana wana maumbile makubwa
3. DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI
Mfumo wa homoni ni muhimu sana kwa afya ya ubongo
na
mili yetu. Husaidia kuzuia magonjwa yasiyo
ambukizi kadri umri unavyo songa mbele.
Baadhi ya dalili
zinazoweza kuonekana kwa mtu mwenye changamoto ya mvurugiko wa homoni ni kama vile:
- Maumivu wakati wa tendo
la
ndoa
- Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
- Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa
- Mabadiliko
ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku
7. (heavy bleeding,
au
kujaza pedi moja kwa saa moja)
- Kukosa hedhi kwa muda
mrefu, na kutoa damu
yenye
mabonge
mabonge wakati wa hedhi
- Uchovu wa mara kwa mara
- Hasira za mara kwa mara
- Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara
- Mzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula
- Ongezeko
ya
tumbo na nyama uzembe
- Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele…
n.k)
- Upungufu wa nywele kichwani.
- Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)
- Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi)
- Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea
- Mwili kutokukua,
kuonekana kama binti mdogo, na
kutokukua kwa via vya uzazi
- Msongo wa mawazo
na kukosa kujiamini
- Kusinyaa na kupauka
kwa
ngozi wakati wa siku za
hedhi na wakati wa
utumiaji wa
njia
za uzazi wa
mpango
- Maumivu ya kichwa mara kwa mara
- Kuwa na tabia ya hamaki (kukosa utulivu)
- Kutokupata choo kwa wakati
4. MADHARA YA MVURUGIKO WA HOMONI
Pamoja na dalili nyingi tulizoziona tungependa wanawake waelewe vitu vifuatavyo
hutokea iwapo
atatumia njia za kisasa za uzazi wa mpango.
Njia hizo
husababisha
saratani ya kizazi, CD4 kushuka, sehemu ya uke kuwa baridi, huchangia kwa 50%
kufanyiwa upasuwaji (operation) wakati wa kujifungua,
huathiri mtoto
atakayezaliwa, huathri ubongo (inapunguza uwezo
wa kufikiria), kutokwa na
majimaji yenye harufu mbaya ukeni na magonjwa ya mara kwa mara.
Ukiendelea kubaki na dalili tajwa hapo
awali kwa muda mrefu, kinga ya mwili
itashuka kwa kiasi kikubwa na kusababisha madhara mengi kama yafuatayo:
Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu
Mimba kuharibika mara kwa mara;
Kukosa mtoto au Ugumba
Maumivu wakati wa tendo
la
ndoa
Kuwa na tabia na maumbile ya kiume
UTI (Urinary Tract Infection) ya mara kwa mara
Kuzeeka mapema
Kuziba kwa mirija ya uzazi
Saratani
Uvimbe kwenye uzazi wa mwanamke (Fibroids and Cysts)
5. SULUHISHO
1. Suluhisho Linalopendwa
Wanawake wengi baada ya kujifahamu kuwa homoni zao haziko sawa huenda mahospitalini ambako
hupewa madawa (bioidentical or
synthetic hormones) na wengine hufanyiwa hormone replacement therapy.
Tiba hii huandaliwa kwa ajili ya kuzifanya homoni zifanye kazi zake kama kawaida. Lakini hupelekea madhara yaliyotajwa hapo awali (juu).
2. Suluhisho La
kudumu
Mvurugiko wa homoni unasababishwa mara nyingi na upungufu wa lishe,
msongo wa mawazo,
na uwepo wa sumu mwilini na hivi vyote ni vitu unavyoweza
kurekebisha.
Kwa wanawake wenye changamoto ya mvuzugiko wa hormone mwilini,
tume
waandalia program ya lishe kamili na virutubisho muhimu. Program
hii
ni ya vyakula; sio
dawa wala miti shamba. Inasaidia kuweka sawa homone
za mwanamke, kuboresha mfumo
mzima wa uzazi,
kuleta heshima ya ndoa maana uke utarudi katika hali yake ya asili (mnato na ute ute ukeni wenye kuleta msisimko wakati wa
tendo la ndoa, na kupunguza kasi ya uzee). Sumu zikizidi mwilini mwanamke
huzeeka kabla ya wakati na kupatwa na changamoto mbalimbali za kiafya ikiwemo: vimbe zinazo
jipachika kwenye uzazi wa mwanamke, vidonda vya tumbo,
… n.k.
Kwa yeyote anayehitaji hii program ya kuboresha na
kuimarisha Afya yake awasiliane na kampuni kwa namba zifuatazo. +255768603979.
BAADA_YA_CHANGAMOTO_KUIKUMBA_JAMII_JOPO
LA WATAALAMU/MADAKTARI_WALIOBOBEA_KATIKA
AFYA_YA_MWANADAMU_WALIFANYA_TAFITI_YA_NAMNA_YA_KUONDOA_CHANGAMOTO_HIZO_BILA_KUTUMIA_DAWA_AU_VIAMBATA_VYENYE_SUMU_BALI_KUTUMIA_VIRUTUBISHO.
Virutubisho
hivyo vimekuwa vikitumiwa na watu wengi kwa zaidi ya mataifa 170 duniani na
tunashuhuda nyingi za watu waliopata kuboreshwa kwa afya zao baada ya kutumia
virutubisho hivyo.
Kwa
Ushauri au Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na
Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote Ulipo(Tanzania
Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).
Free
delivery ndani ya Dar, kama upo mkoani utatumiwa pia ndani na nje ya tanzania .
Kwa
maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa zinazo ondoa tatizo hilo wasiliana
nasi kupitia namba hii +255768603979.
Ni virutubisho asili ambavyo vimeshawasaidia watu
wengi saana hapa nchini na Duniani kwa Ujumla. Karibu Upate huduma zetu kwa
ushauri pia wasiliana nasi PIGA /TUMA NENO :"Health and wellness is Your
Priority".kisha #SULUISHO LA AFYA YA UZAZI WA MWANAMKE.
kwa mawasiliano: +255768603979“ maamuzi yako ya sasa
ni matokeo ya baadaye”
https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…
https://web.facebook.com/MaishaNiAfyaLindaAfyaYako/
https://paulbiswalo.blogspot.com/
https://www.pinterest.com/biswalopaul/
SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.
KWA KUENDELEA KUPATA UP-DATE JUU YA AFYA LIKE PAGE HII
NA KUSHARE ELIMU HII YA BURE KWA WENGINE.
No comments:
Post a Comment
warmly welcome
contact us via +255 768 603 979.