Health And Wellness Is Your Priority & Personal Development Mentorship Programs.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI??????


AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO.

UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI??????
jiulize swali hili na utafakali vizuri ilikupata majibu. lakini naomba nikusaidie kufafanua kupitia mfano huu ili iwerahisi kwako kuelewa umuhimu na faida ya kuboresha kinga ya mwili wako:

KWA MFANO TU; kila nchi inakuwa na majeshi mbalimbali ya ulinzi na usalama yakitegemeana kwa pamoja; na majeshi hayo yanaweza kuwa jeshi la wananchi wanao linda mipaka ya nchi na watu wake; jeshi la kujenga taifa na jeshi la magereza yanayotoa mafunzo kupitia vyuo vyake kwa watu wanaosomea maisha na nidhamu itakayowawezesha kuishi vyema katika jamii, tofauti na walivyokuwa wakiishi mwanzoni na jamii inayowazunguka. 

NADHANI UMENIELEWA! kutokana na kuanzishwa kwa haya majeshi kulikuwepo na makusudi maalum ili kuimarisha ulinzi katika nchi husika na hii ndio sababu kuu ya kusababisha amani, maendeleo, upendo na usawa katika jamii: 

WAKATI HALI KADHALIKA KATIKA AFYA KUNA MFUMO NA JESHI LA ULINZI WA MWILI (NATURAL IMMUNE SYSTEM) ambayo mwenyezi mungu alituwekea katika miili yetu ilituwe na kinga ya mwili, inayopigana na maadui kama vile; 



            A) BAKITERIA WABAYA KAMA VILE:
1). ESCHERIA COLI (E. COLI) NA SALMONELLA: wanaosababisha sumu kwenye vyakula/wanafaya chakula kuwa sumu.

2). HELICOBACTOR PYLORI: wanaosababisha vidonda vya tumbo sugu kwenye tumbo lenyewe na utumbo mdogo unaomeng`enya chakula.

3). NEISSERIA GONORRHOEAE: wanaosababisha magonjwa ya maambukizi ya zinaa kama GONORRHEA, CHLAMYDIA, SYPHILIS n.k.

4). STREPTOCOCCUS PNEUMONIAE: wanaosababisha magonjwa ya mlipuko wa mfumo wa hewa kama PNEUMONIA/NIMONIA/KIFUA.

5). NEISSERIA MENINGITIDIS: wanaosababisha MENINGITIS/ ambao wanashambulia MFUMO MZIMA WA FAHAMU KAMA UBONGO, UTI WA MGONGO NA NEVA ZOTE ZA MWILI.

 B) VIRUSI KAMA VILE;
1). HUMAN PAPILOMA VIRUS (HPV 6&12)
 Wanaosababisha magonjwa ya NGOZI (MASUNDO SUNDO) na KANSA aina zote.

2). HIV
Wanaosababisha UPUNGUFU WA KINGA YA MWILINI (UKIMWI/MAGONJWA YA ZINAA.

3). INFLUENZA H1N1(SMALL POX)
 Wanaosababisha MAFUA YA KAWAIDA NA KUTETEMEKA sababu ya BARIDI YABISI mwilini. 

4). COVID NA JAMAA ZAKE KAMA COVID-19 (ALI MAARUFU KAMA CORONA)
AMBAO NI VIRUSI TISHIO SANA HAPA DUNIANI.

Wanaosababisha MAGONJWA YA MAAMBUKIZI YA MFUMO WA HEWA; MAFUA MAKALI YASIYO YA KAWAIDA.

5). HEPATITIS (HERPES SIMPLEX VIRUS)
Wanaosababisha HEPATITIS B NA HEPATITIS C (HOMA YA INI).

6). HERPES AND COLD SORES
Wanaosababisha kutokwa na UTE MCHAFU wa rangi ya maziwa, kahawia n.k, sehemu za siri wenye harufu mbaya kama shombo ya SAMAKI NA VITU VILIVYOOZA.

7). MEASLES, MUMPS, RUBELLA, CHICKEN POX NA SHINGLES.
Wanaosababisha kukohoa, kuziba kwa pua, macho kuona maruerue, kuongezeka kwa joto mwili na kusababisha homa kali mwilini, magonjwa ya tezi za mate kuvimba kwenye mashavu.

8). POLIO, RABIES, EBOLA HANTA FEVER, DENGUE FEVER, ZIKA NA EPSTEIN-BARR.
Wanasababisha MAGONJWA YA MLIPUKO WA GHAFLA/ PANDEMIC ERARUPTION DISEASES.

9). NEUTOPIC VIRUS
Wanasababisha MAGONJWA YA MFUMO MZIMA WA FAHAMU KAMA UBONGO, UTI WA MGONGO NA NEVA ZOTE ZA MWILI. (POLIO, RABIES, MEASLES, MUMPS).

UNAWEZA JE KUPATA MAGONJWA HAYA/BACTERIA/VIRUSI HIVI?????
NJIA ZINAZOWEZA KUKUFANYA UKAPATA MAGONJWA HAYA BACTERIA/VIRUSI HIVI NI KAMA IFUATAVYO;

-Kushikana/Kugusana.
-Kuhohoa.
-Kupiga Chafya.
-Kunyonyana Ndimi.
-Kushiri Tendo La Ndoa.
-Kula Chakula Chenye Vimelea/Bakiteria/Virusi.
-Kunywa Maji Yenye Vimelea Maambukizi Ya Bakiteria Au Virusi.
-Mdudu Kama Inzi Na Jamii Yake.

TUJIULIZE MASWALI HAYA BAADA YA KUPATA SOMO HAPO JUU!!!!!!!!

SWALI A:je ulaji wa MATUNDA na MBOGAMBOGA zenye madawa mengi kwa sasa inaweza kuwa suluhisho la kuboresha kinga ya mwili wako??????

SWALI B:je kunawa mikono kila wakati kwa SABUNI na SANITIZER kunaweza kuondoa bacteria na virusi mbalimbali (kama nilivyovitaja hapo juu), waliokuingia tayali mwilini mwako bila wewe kujua kama una maambukizi tayari ukajiona ni mzima!!!, inaweza kuwa ni SULUHISHO LA MAGONJWA haya??????

SWALI C:je ulaji wa vyakula vya majini kama SAMAKI!! Waliokaa sana kwenye MAFRIJI huko kwenye mabucha inasaidia kuongeza KINGA ZA MWILI???? Maana tunafahamu umuhimu wa vitu vya majini maana vina madini mengi na virutubisho vingi vinavyochangia KUBORESHA AFYA; kama vile madini ya CHUMA, ZINK, POTASIUM, OMEGA COMPOUNDS ambayo yanamchango mahususi kwenye KINGA YA MWILI, N.k.

SWALI D, E NA F:je ulaji wa VIUNGO kama MDALASINI, TANGAWIZI, NAZI, PILIPILI/ MBILIMBI PECO na jamii zake pekee zenye madawa mengi (kama KILIMO BIASHARA kinavyotaka Mfanya biashara apate faida kubwa katika mazao kidogo) kwa sasa inaweza kuwa suluhisho la kuboresha kinga ya mwili wako na kupambana na magonjwa haya??????

TAFAKARI!!!, JALI AFYA YAKO!!! AFYA SIO SWALA LA MCHEZO-MCHEZO:

KARIBU TUKUSAIDIE KUPATA NJIA MBADALA NA ANTIBIOTICS AMBAZO ZITAUFANYA MWILI UWEZE KUTENGENEZA T-CELLS (ANTIBODIES) AMBAZO ZITASHAMBULIA BACTERIA/VIRUSI MWILINI MWAKO NA KUJENGA / KUBORESHA MAJESHI ZINAYOSAIDIA KUONGEZA KINGA ZA MWILI ZILIZO MADHUBUTI KUPAMBANA NA MAGONJWA MWILINI MWAKO.

UMBALI SIO KIPINGAMIZI KWETU; HAIJARISHI UKO WAPI VITAKUFIKIA KWA HARAKA KABISA. 

WASILIANA NASI KWA NAMBA HII +255 768 603 979 ILI KUPATA HUDUMA YA HARAKA KABISA.
 
# AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO#
#JALI AFYA YAKO#
 




Share:

No comments:

Post a Comment

warmly welcome

contact us via +255 768 603 979.

Popular Posts

Blog Archive

for any assistance.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

Featured post

UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI??????

AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO. UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI?????? jiulize swali hili na utafakali vizuri ilik...

Followers

Contact Form

Name

Email *

Message *

Labels

Total Pageviews

Theme Support