AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO.
SWALA LA KUITHAMINI NA
KUIJALI AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO BINAFSI, USISUBIRI JIRANI AJE KUKUHAMASISHA
KUHUSU KUIJALI AFYA YAKO.
NADHANI UNAWEZA KUKUBALIANA
NA MIMI KUWA; TUNAAMINI CHAKULA BORA NI MCHANGANYIKO WA MBOGAMBOGA, MATUNDA, WANGA,
PROTINI, MAFUTA; AMBAVYO VIKO KATIKA WASTINI SAHIHI KWENYE KILA MLO WA SIKU.HUENDA
NI ASUBUHI, MCHANA AU JIONI.
LAKINI TUKIANGALIA UPANDE WA
PILI TUNAKUTA NI WACHACHE SANA WANAO ZINGATIA KANUNI ZA LISHE BORA KATIKA
FAMILIA ZAO NA KUJIKUTA WAMEANGUKIA KWENYE AINA MOJA YA KUNDI LA CHAKULA;
MFANO WANGA PEKEE NA
KUSHINDWA KUPATA MCHANGANYIKO KAMILI WA AINA ZOTE ZA VYAKULA: KAMA MBOGAMBOGA,
MATUNDA, PROTINI, MAFUTA.
WAKATI WENGINE SABABU YA
WEZA KUWA NI UCHUMI, MAZINGIRA YA UANDAAJI WA LISHE BORA, UPATIKANAJI WA
VYAKULA VYENYE MADAWA KWA WINGI AMBAYO YANAPELEKEA KUONDOSHA VIRUTUBISHO KWENYE
VYAKULA HIVYO.
HIVYO BASI NA KUJIKUTA KUNA
UPUNGUFU WA VIINI LISHE MBALIMBALI KWENYE MIILI YAO: MFANO;
1.UPUNGUFU WA VITAMINI ZOTE
MWILINI, SWALA AMBALO LINAPELEKEA KUWA NA UPUNGUFU WA KINGA MWILINI (MAGONJWA
YANAANZA KUMSHAMBULIA).
MFANO; MACHO, NGOZI, ULEGEVU
WA MWILI, MAAMBUKIZI MBALIMBALI, N.K.
2.UPUNGUFU WA MADINI
MWILINI: KAMA ZINC, SELENIUM, CHUMA, MANGANISE; AMBAYO VINAFANYA KAZI YA KUBORESHA
MIFUMO YA UZAZI, UBONGO, NEVA, DAMU NA MIRIJA YA DAMU KURUHUSU MOYO KUSAMBAZA
DAMU SEHEMU ZOTE ZA MWILI KWA URAHISI.
KUSHINDWA KUFANYA HIVYO
KUNAPELEKEA MAGONJWA KAMA;
A) KIHARUSI/STROKE,
B) SHINIKIZO LA MGANDAMIZO
WA DAMU (PRESSURE YA JUU AU CHINI),
C) KUWA NA MFUMO WA UZAZI
USIO MADHUBUTI.
D) KUONGEZEKA KWA UZITO BILA
MPANGILIO/ UNENE ULIOPINDUKIA,
E) WANAWAKE KUVURUGIKA KWA
HOMONI ZAO,
MFANO: HEDHI KUVURUGIKA, KUTOKWA
NA VITAMBI NA KUHARIBU SHAPE ZAO WALIZOKUWA NAZO MWANZO,
F) KUZEEKA MAPEMA WAKATI
UMRI WAKO SIO SAWA NA WA MZEE.
E) KUWA NA MFUMO MBOVU WA
CHAKULA, KUTOA HARUFU MBAYA MDOMONI, VIDONDA VYA TUMBO VISIVYOPONA, KUSHINDWA
KUPATA CHOO KWA WAKATI N.K.
SULUHISHO/MSAADA WA HARAKA.
SULUHISHO AMBALO LINAONDOA MATATIZO
YOTE HAYO NA KUUFANYA MWILI WAKO KUWA NA AFYA IMARA NI KUTUMIA VIRUTUBISHO MAHUSUSI
KAMA ARGI PLUS, ALOE GEL, MACA, OMEGA 3,6 COMPOUNDS.PINDI UTUMIAPO VIRUTUBISHO
HIVI UTAKUWA VIZURI NA UTAFANYA SHUGHULI ZAKO KWA WELEDI, UFANISI ZAIDI, UWEZO
MADHUBUTI NA KUIFURAHIA NDOA/MAHUSIANO YAKO NA FAMILIA YAKO WA UJUMLA.
KARIBU TUKUSAIDIE KUPATA
VIRUTUBISHO HIVI, HAIJARISHI UKO WAPI VITAKUFIKIA KWA HARAKA KABISA. WASILIANA
NASI KWA NAMBA HII +255 768 603 979
ILI KUPATE HUDUMA YA HARAKA KABISA.
# AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO#
#JALI AFYA YAKO#
No comments:
Post a Comment
warmly welcome
contact us via +255 768 603 979.