Health And Wellness Is Your Priority & Personal Development Mentorship Programs.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

UFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI (HEMORHOIDS) UNAVYOTESA WATU WENGI HAPA DUNIANI.WASILIANA NASI KWA NAMBA HII +255768603979.







UFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI
(HEMORHOIDS).

WASILIANA NASI KWA NAMBA HII +255768603979.







I.     UTANGULIZI

Bawasiri ni ugonjwa ambao unatokana na kuathirika kwa mishipa ya sehemu ya ndani na nje ya tundu la haja kubwa na wakati mwingine kutoa damu wakati wa kutoa haja kubwa. Ugonjwa huu unasababisha muwasho na maumivu makali katika tundu la haja kubwa.
Mara nyingi tatizo hili huwapata watu kuanzia umri wa miaka 30 70. Kuna aina mbili za bawasili:
1. Bawasiri ya Ndani: Hiki nikinyama kinachootea ndani kabra

hakijatokea njee.

2. Bawasiri ya Nje: Hiki nikinyama au kivimbe kinatokea njee baada

yakutokea ndani. Kinatokea njee kwawalio athirika, na ukikaa muda mrefu nahuu ugonjwa unajikogotea matatizo ya kiafya ambayo siyo
rahisi kukabiriana nayo, na maranyingi ugonjwa huu unasababisha vifo vya gafla.
II.      CHANZO CHA UGONJWA WA BAWASIRI Bawasiri ni tatizo linaloanzia kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa
chakula. Huu mfumo ukishakua mbovu unakuperekea kutokupata cho vizuli.


Mfumo mbovu wa mmeng'enyo wa chakula unasababisha chakula kisimeng'enywe vizuri kwenye utumbo mdogo na hivyo kupelekea chakula kupiliza kwenda moja kwa moja kama kilivyo kwenda kwenye utumbo mkubwa ambapo maji maji kutoka kwenye chakula hufyonzwa na kuacha chakula kikiwa kikavu.Inapofikia wakati wa kupata choo; choo kinakua kikavu hivyo unatumia nguvu nyingi kukisukuma choo kitoke. Sasa kitendo hicho kinapelekea misuli ya haja kubwa kutanuka na kupelekea

 kukwanguliwa na choo kigumu na hivyo kinyama kuanza
kujitengeneza, na hapo ndipo utaanza kusikia maumivu na miwasho kwa ndani, na mara nyingine kupata choo chenye damu.Kadri unavyoendelea kupata choo kigumu misuli inaendelea kukwanguliwa na kinyama kuongezeka mpaka kinatokezea nje na hicho kinyama kinaitwa Bawasiri (Hemorrhoids).Mtu anastahili kupata choo kulingana na milo anayetumie kila siku. Mtu mwenye afya nzuri anapata choo kulingana na milo aliopata kwa siku. Kama unauwezo wakupata milo mitatu kwa siku, unasitahili kupata choo mara tatu kwa siku, tena choo chako kitoke na urefu sawa wa ndizi mbivu, bila kujikatakata kama kile cha mbuzi.


Hivi ni baadhi ya vitu vingine vinaperekea mtu kupatwa na ugonjwa wa bawasili.


Kufanya mapenzi kinyume na maumbile

Kuharisha kwa mda mrefu

Tatizo la kutopata choo laini au kujisaidia kinyesi kigumu,

Kinyesi cha kujikatakata kama kile cha mbuzi




Tatizo la umri mkubwa

Uzito kupita kiasi (Uzito uliopindukia)

Matumizi ya vyoo vya kukaa au vya kuchangia



III.      DALILI ZA UGONJWA WA BAWASIRI CHUKUA
TAHADHARI MAPEMA




-      Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa. Huu muasho unakuja kwa kujirudia mara kwa mara baada ya muda furani.


-       Kukatishwa kwa haja kubwa na kurudi ndani wakati wa kujisaidia. Hiki kitendo nikibaya sana.




-      Kujitokeza kwa uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa. Uvimbe huu unaanza kuota kama uperepere.




-       Kujitokezea kwa kijinyama katika tundu la haja kubwa. Kinyama
hiki kinaanzia ndani ya tundu la haja kubwa. kikitokea nje, ujue kwamba una hili tatizo la bawasili kwa muda mrefu, na linaweza kusababisha vifo vya gafla kwa sababu mishipa inayosafirisha damu ndio inakwanguliwa na mwishoe kuathirika. Chukua tahadhari mapema kabra hujaathirika sana au upoteze maisha; kwasababu hiki ni chanzo  cha kupatwa na magonjwa mengine mengi ya kiafya.




-       Kujisaidia kinyesi chenye damu na kunuka kwa harufu mbaya sana




-       Kupumua (kujamba) kiasi kwamba mwezako hawezi kuvumilia hali iliotokea ya uchafuzi wa mazingila






IV.      MADHARA YA UGONJWA WA BAWASILI
CHUKUA TAHADHARI NA HATUA MAPEMA




Upungufu wa damu mwilini

Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na
kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa.

Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer)
kwasababu kile kinyama kinakaa kama kidonda

Kutopata hamu ya tendo la ndoa kwa jinsia zote.

Upungufu wa nguvu za kiume kwa mwanamume, ikiwemo uume
kushindwa kusimama kwa muda unaotakiwa na kushindwa kurudisha heshima ya ndoa.

Uume kusinya (unapoteza urefu na ukakamavu)

Sperms (Mbegu za mwamume) kutokua bora kiasi kwamba haziwezi
kumpa mimba mwanamuke, au kusababisha mimba kutoka kila wakati.

Kuathirika kisaikolojia

Kutojiamini katika hadhara ya watu





V.     JINSI YA KUDHIBITI TATIZO HILI LA BAWASILI
(HEMORHOIDS ) KABRA HALIJAKUPATA









Jitahidi kupata mlo kamili kila siku. Tutumia matunda na mboga za
majani kwa wingi (kila mlo).

Kunywa maji ya kutosha. Angalau lita 3 kwa siku.

Epuka kukaa chooni kwa mda mrefu

Jiepushe na vilevi

Usiwe mpenzi wavitu vya viwandani

Jenga utaratibu wa kusafisha mwili wako kwakutumia Cleansing
Program, ili utoe taka mwili zote, na uondoe sumu mwilini; kama vile unavyooga zaidi ya mara mbili kwa siku. (Wasiliana na si kwauhitaji wa program ya kusafisha mwili, kuondoa sumu na kupunguza mafuta mwilini)



VI.      NJIA ZAKUONDOA TATIZO HILI


a.   Tiba yake hospitalini Ugonjwa huu tiba yake ni opereation (kukukata uvimbe uliojitokeza katika tundu la haja kubwa ili usiendelee kukua na




kusababisha magonjwa mengine. Lakini tiba hii si nzuri kwani hupelekea
kujirudia tena kwa uvimbe pale mgonjwa akosapo kinga tosha mwilini. Pia hupelekea maumivu makali kwa mgonjwa, na baadae tatizo hili kujirudia kwa kasi kubwa. Operation ya Bawasili ni bei gali mnoo, sio wote wanaopata furusa hii hata kama sio nzuri kiafya. b.  Tiba nzuri ni kutumia lishe na virutubisho (mwili utajitengenezea kinga bora tena yakudumu)




Tiba nzuri ni kuanda utaratibu wa kusafisha mfumo wako mzima wa mumengenyo wa chakula (Digestive System) kwa njia asilia bila kutumia makemikali yeyote.
Chanzo cha magonjwa yote tunayoyapata anatokana na mfumo mbovu wa mumengenyo wa chakula na mzunguko wa damu (Poor Blood Circulation).Kila siku tunaoga zaidi ya mara mbili kwa siku, pia nakuosha magari yetu , n.k. vivyo hivyo tunapaswa kuanda utaratibu wakusafisha mili yetu na kuhakikisha sehemu kuu tatu za mili yetu zinafanya kazi vizuri sana.




VII.     Umuhimu wa kuboresha na kuimarisha sehemu kuu mbili za mwili



1.  Digestive System (Mfumo mzima wa mumengenyo wa chakula)






2.  Blood Circulation (Mfumo mzima wa mzunguko wa damu)






Kwa wale wote ambao wanahitaji kusafisha mfumo mzima wa
mumengenyo wa chakula, kuweka sawa mfumo mzima wa mzunguko wa damu, na kuondoa au kudhibiti tatizo la bawasili, ili waondokane na miwasho, maumivu na vimbe zilizojitokezea katika sehemu hiyo ya haja kubwa: Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo hapo chini.
N.B: Kabra hujawasiliana nasi jua kwamba, bidha zetu sio dawa bali ni




Virutubisho vyenye Carbohydrates & Proteins, Vitamins & Mineral,
Essential Fatty Acids, Trace Elements. Hivi ndo vitu mwili wetu unahitaji kuvipata ili uzidi kutengenza kinga ya mwili kwajili ya kujiepusha na magonjwa mbali mbali, na hivi vyote tungepaswa kuvipata kupitia vyakula tunavyo kula kila siku. Lakini kulingaa na mfumo wa maisha jinsi ulivyo, hatupati vitu muhimu mwili unahitaji.  Ukitumia bidha hizi hutahangaika na kutafuta vitu mbali mbali ili utengeneze mlo kamili, pia mwili utatengeneza kinga na baadae afya yako itaboreka na
kuimarishwa. Vitu vyote mwili unahitaji vimeandaliwa kiasilia bila kemikali yeyote.




BAWASIRI NI UGONJWA HATARI KAMA HUTOUCHUKULIA HATUA YA TIBA MAPEMA.




Kwa maelezo zaidi au uhitaji wa program hii. Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo: +255768603979.



BAADA_YA_CHANGAMOTO_KUIKUMBA_JAMII_JOPO LA WATAALAMU/MADAKTARI_WALIOBOBEA_KATIKA AFYA_YA_MWANADAMU_WALIFANYA_TAFITI_YA_NAMNA_YA_KUONDOA_CHANGAMOTO_HIZO_BILA_KUTUMIA_DAWA_AU_VIAMBATA_VYENYE_SUMU_BALI_KUTUMIA_VIRUTUBISHO.

Virutubisho hivyo vimekuwa vikitumiwa na watu wengi kwa zaidi ya mataifa 170 duniani na tunashuhuda nyingi za watu waliopata kuboreshwa kwa afya zao baada ya kutumia virutubisho hivyo.

Kwa Ushauri au Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote Ulipo(Tanzania Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).
Free delivery ndani ya Dar, kama upo mkoani utatumiwa pia ndani na nje ya tanzania .

Kwa maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa zinazo ondoa tatizo hilo wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.

Ni virutubisho asili ambavyo vimeshawasaidia watu wengi saana hapa nchini na Duniani kwa Ujumla. Karibu Upate huduma zetu kwa ushauri pia wasiliana nasi PIGA /TUMA NENO :"Health and wellness is Your Priority".kisha #SULUISHO LA UGONJWA WA BAWASIRI  (HEMORHOIDS) AMBAO UNAVYOTESA WATU WENGI HAPA DUNIANI.

kwa mawasiliano: +255768603979“ maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”
https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…
https://web.facebook.com/MaishaNiAfyaLindaAfyaYako/
https://paulbiswalo.blogspot.com/
https://www.pinterest.com/biswalopaul/
SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.

KWA KUENDELEA KUPATA UP-DATE JUU YA AFYA LIKE PAGE HII NA KUSHARE ELIMU HII YA BURE KWA WENGINE.



Share:

No comments:

Post a Comment

warmly welcome

contact us via +255 768 603 979.

Popular Posts

Blog Archive

for any assistance.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

Featured post

UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI??????

AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO. UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI?????? jiulize swali hili na utafakali vizuri ilik...

Followers

Contact Form

Name

Email *

Message *

Labels

Total Pageviews

Theme Support