Health And Wellness Is Your Priority & Personal Development Mentorship Programs.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

KWANINI HATUJALI AFYA ZETU?KWANINI MAGONJWA YA MOYO NDIO HATARI SANA KWA SASA?NINI SULUHISHO LAKE KWA UJUMLA?

                      SAVE YOUR HEARTAFYA YA MOYO 
 

Habari ndugu,
Leo napenda kukujuza machache kuhusu afya ya moyo.
Vifo vyovyote vinavyotokea ghafla kwa watu , asilimia kubwa hutokana na matatizo ya moyo na mzunguko wa damu kwa ujumla.

 

***Global Statistics on heart disease*****
* CVDs (cardiovascular diseases) are no 1 cause of deaths globally
* Around 17.5 million people died from CVDs representing 31% of global deaths
*7.4 million were coronary heart diseases and 6.7 million due to stroke.
*over 75% of CVDs takes place in middle and low income countries.

 

Hebu tuangalie moyo upoje kiufupi;
+ kila sekunde 20 moyo una pump damu umbali wa kilometa 96000 kwenye mishipa ambao ni sawa na kuizunguka dunia mara 2 na hufanyika hivi mara 1000 kila siku.
+ moyo unadunda mara 45000 kwa saa,mara 100,000 kwa siku na mara 35 milioni kwa mwaka.
+Hata ukiwa umekaa au umelala moyo unafanya kazi na haupumziki.
+moyo unadunda mara 60-100 kwa dakika
+moyo unasukuma damu lita 4-6 za damu kila dakika.

 

MAGONJWA YA MOYO NI YAPI?
Yafuatayo ni magonjwa ya moyo;
1.Coronary heart diseases
2.cardiovascular diseases-damu kushindwa kwenda kwenye ubongo.
3.Peripheral arterial diseases- damu kushindwa kufika kwenye viungo
4.Rheumatic heart diseases-shida kwenye misuli ya moyo
5.Congenital heart diseases-matatizo ya moyo ya kuzaliwa
6.Deep vein thrombosis.

 

Je,ni nini hasa chanzo cha magonjwa ya moyo?
1.umri
2.kurithi/genitics
3.mtindo wa maisha/life styles
4.jinsia/gender(men are 3-5 times likely affected than women)
5.uvutaji wa sigara
6.kisukari
7.lishe

 

ZIPI NI DALILI ZA MAGONJWA YA MOYO?
ukiona una mojawapo ya haya jua kwamba tayari una magonjwa ya moyo hivyo chukua hatua mapema ndugu.
Dalili hizo ni;
1.Maumivu ya kichwa kwa muda mrefu
2.Maumivu ya kifua
3.kupumua kwa kasi
4.mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida
5.maumivu kwenye shingo,mabega na sehemu za juu za mgongo.
6.Mwili kua dhaifu
7.kupoteza fahamu
8.mwili kuvimba

 

Njia za kujilinda na magonjwa ya moyo
1.Lishe bora
2.Epuka uzito mkubwa
3.fanya mazoezi mara kwa mara
4.pata usingizi wa kutosha kila siku
5.epuka uvutaji wa sigara na ulevi
6.epuka vyakula vya kusindikwa
7.Tumia sana virutubisho kwa ajili ya moyo.
(hivi virutubisho ni L- argenine,Multi-vitamins,Coenzyme q-10,vitamin C,Magnesium na Omega 3).

 

Ndugu,
katika kizazi cha sasa cha sayansi na technolojia magonjwa yameongezeka maradufu tofauti na hapo zamani.Wewe ni shahidi juu ya hili na ukitaka kuthibitisha angalia huko mitaani jinsi kulivyo na utitiri wa maduka ya madawa,angalia misururu ya wagonjwa mahospitalini jinsi inavyo ongezeka,angalia pia jinsi idadi ya vifo inavyo ongezeka kila siku.

 

Watu wengi hususani sisi waafrika afya tunaiweka pembeni tukikazama kutafuta kipato,bahati mbaya baadae fedha zote ulizopata unakuja kuzirejesha mahospitalini kwenda kutibu magonjwa sugu kama kisukari,saratani,pressure,tezi dume,vimbe kwenye kizazi kwa kina mama/fibroids,ugumba,uzito uliopitiliza,matatizo ya mkojo na magonjwa ya moyo ambapo mara nyingi mgonjwa anakua ameshachelewa mwishowe anakufa halafu hizo mali na fedha zake wanakuja kutapanya wengine ambao hawajui uchungu wake na jinsi alivyo jitesa kutafuta mali hizo.

 

Kwa usemi huu utakubaliana na mimi;
"Afya bora sio kusubiri hadi  umwe,hapana.Afya bora ni kufuata taratibu bora za kiafya na milo bora kila siku ili kujikinga usiumwe".

 

Tupo kwenye kipindi ambacho mazingira sio salama kiafya,vyakula vingi vinasindikwa na pia uandaaji wa mimea mashambani huambatana na madawa na madawa mengi ambayo ni hatari kwetu,mazingira ni machafu hususani mijini,maji si safi na pia uchafuzi wa hewa.Vyote hivi vimechangia magonjwa kushamiri kwenye jamii zetu.

 

Kama mada hii imekugusa na unapenda kupata ushauri zaidi juu ya magonjwa ya moyo na magonjwa mengine na jinsi gani unaweza kujikinga (kwa kutumia supplements/virutubisho na ushauri wa kina) usisite kuwasiliana nasi.



TUMAINI NA SULUHISHO LA KUDUMU LIPO AMBALO NI:
BAADA YA CHANGAMOTO KUIKUMBA JAMII JOPO LA WATAALAMU/MADAKTARI WALIOBOBEA KATIKA AFYA YA MWANADAMU WALIFANYA TAFITI YA NAMNA YA KUONDOA CHANGAMOTO HII BILA KUTUMIA DAWA AU VIAMBATA VYENYE SUMU BALI KUTUMIA VIRUTUBISHO.

Virutubisho hivyo vimekuwa vikitumiwa na watu wengi kwa zaidi ya mataifa 170 duniani na tunashuhuda nyingi za watu waliopata kuboreshwa kwa afya zao baada ya kutumia virutubisho hivyo.

Kwa Ushauri au Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote Ulipo(Tanzania Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).

Free delivery ndani ya Dar, kama upo mkoani utatumiwa pia ndani na nje ya tanzania .
Kwa maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa zinazo ondoa tatizo hilI wasiliana nasi kupitia namba hii +255 768 603 979.

Ni virutubisho asili ambavyo vimeshawasaidia watu wengi saana hapa nchini na Duniani kwa Ujumla. Karibu Upate huduma zetu kwa ushauri pia wasiliana nasi PIGA /TUMA NENO :"Health and wellness is Your Priority".kisha #SULUHISHO LA AFYA YA MOYO AMBALO NI GONJWA LA KIMYA KIMYA NA LINAUA SANA KWA SASA.

kwa mawasiliano: +255 768 603 979..“ maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”

Kwa kuelewa Zaidi,pitia hapa:
https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…
https://web.facebook.com/MaishaNiAfyaLindaAfyaYako/
https://paulbiswalo.blogspot.com/
https://www.pinterest.com/biswalopaul/
SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.

KWA KUENDELEA KUPATA UP-DATE JUU YA AFYA LIKE PAGE HII NA KUSHARE ELIMU HII YA BURE KWA WENGINE ILI NAO WAPATE ELIMU HII KWA FAIDA YA AFYA YAO.

Share:

No comments:

Post a Comment

warmly welcome

contact us via +255 768 603 979.

Popular Posts

Blog Archive

for any assistance.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

Featured post

UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI??????

AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO. UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI?????? jiulize swali hili na utafakali vizuri ilik...

Followers

Contact Form

Name

Email *

Message *

Labels

Total Pageviews

Theme Support