WAPO WANAUME WANAPITIA CHANGAMOTO HII.
Mfano hai......
wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.
Kama mwanaume unajisikiaje kupitia jambo hili?
Kwangu ilikua ngumu sana,
nakumbuka mwanzoni mambo yalikua yanaenda vizuri huko ndani. Mwanamke alinifurahia sana na kwa kweli nilijiona mwanaume. Baadae mambo yalibadilika nilianza kukosa hamu ya tendo la ndoa, na hata nilipoipata haikua active sana kama mwanzo nilivyokuwa, uume wangu ulisimama kwa muda kidogo tena ukiwa mregevu sometimes/mara nyingine nilikosa tu nguvu za mwili. Nilishangaa sana na wala sikujua tatizo limetokana na nini? Hata mbegu za kiume zilikua zinatoka chache au hazitoki kabisa most of the time/muda mwingi niliwahi kufika kileleni.....
Hali hii ilinikosesha furaha hata mwanamke niliona hayuko comfortable tena kushiriki tendo na Mimi, kila nilipojaribu kumpapasa hakuonesha ushirikiano kwasababu mara kadhaa nimefanya hivyo lakini uume hausimami au nawahi kufika kileleni....niliumia sana siku mwanamke alivyo nitamkia "WEWE SIO MWANAUME" imagine umemzalisha watoto watatu halafu Leo anasema hivyo.. nilijisikia aibu sana na nilianza kuogopa hata kulala nae ilifikia hatua hata chakula alichopika niliona aibu kula kwasababu aliwahi kuniambia "unakula hufanyi kazi yoyote huko ndani" Duuuuu hakuna wakati mgumu kama huu.
Kazini niliomba overtime ili tu niwe nachelewa kurudi home nikute amesha lala kuepusha zogo na dharau. Ilifikia hatua hata mshahara wangu sikuona thamani yake kama naambiwa "mwanaume suruali wewe" means hata mahitaji ninayo gharamia kwa familia ni useless.... Ilibidi tu nianze kwenda kuangalia mechi za mpira na rafiki zangu atlest nirudi home muda umeenda. Au nipate zangu moja baridi then ndio nikalale.
Nilijaribu kua muwazi kwa rafiki zangu kama watatu hivi lakini mambo hayakua mazuri kwasababu hata wao huko nyumbani mambo hayaendi tukajikuta hatuna solution. Kumbe unaweza kufikiri uko peke yako la! Tuko wengi, nilijaribu vitu vingi lakini bado sana tu niliishia kuboost nguvu siku tatu tatizo limerudi yani ndio mwanamke aliniona" kweli dume suruali" ile furaha ya Nyumba ilizidi kuporomoka hata nilipokua nae kwenye gari muda wote amenuna,akawa mkali kitu kidogo anaweza kuniparuza hata na kucha zake....niliamini hamna tena namna ya kumaliza tatizo langu nikabaki kua mnyonge tu sijui alipata kidume huko mtaani maana alinisahau kabisa nikawa mwanaume jina tu. Siwezi kumlaumu mwanamke kwasababu alinivumilia sana tatizo lilipoanza alinipa ushirikiano sana baadae akanikatia tamaa....mwanaume mwenye akili nafikiri unaelewa hali ikiwa hivi nyumbani na hata kama hayaja kukuta bora ujue solution mapema unaweza kufa kwa pressure au kujidharau though hujamwambia mtu inakua tu internal conflict....
Nimejaribu kuweka wazi ili kupanua uelewa wetu wanaume juu ya tatizo hili.Ni Mwaka unakaribia kutimia sasa naanza kuona hali imebadilika mambo yanaenda vizuri. Naona hata mwenzangu amekua na ushirikiano na furaha imerejea natamani uone Nyumba ilivyo na amani, zile fujo zote hazipo tena....nadhani hata wewe ungetamani iwe hivyo kwako.
Upungufu wa nguvu za kiume ni jambo nyeti sana ndugu yangu, nimegundua ni muhimu mwanaume kufahamu mapema namna ya ku-mantain nguvu zako kwasababu it's a lifetime huitaji tu kupooza tatizo kwa kufanya shortcut za hapa na pale kama nilivyokua nafanya ku- boost then napiga mzigo kesho tatizo palepale..unaweza kuitwa majina mabaya nakumbuka nimewahi kulia machozi nikajuta kua mwanaume...iiiisee?..
For now,nafuraha sana kushare jambo hili na nimeanza kuona mabadiliko japo imenichukua muda kidogo lakini kumbe heshima ndani sio pesa tu au huduma za chakula NO" hata uanaume wangu nao ni asset kubwa huko ndani.
Sasa pengine unajiuliza sana nini hasa nilitumia au changamoto yako itatokaje,?
Zipo njia ama bidhaa zinaweza kukusaidia sana na ukafurahia tendo LA Ndoa.
wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.
YAWEZEKANA NA WEWE UNA CHANGAMOTO KAMA HIZI.
A) MULTI-MACA INAWEZA KUWA MKOMBOZI WAKO. INASAIDIA KWENYE;
1. KUONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA, STAMINA NA NGUVU.
2. KUBORESHA MSUKUMO WA DAMU AMBAYO NI MUHIMU KWENYE NGUVU ZA KIUME.
3. KUZUIA UKUAJI WA TEZI DUME.
4. KUONGEZA IDADI NA UBORA WA MBEGU.
5. KUPUNGUZA ATHARI ZA MSONGO WA MAWAZO KWENYE MWILI.
6. INARUTUBISHA MAYAI.
B) ARGI+.
Muhimu kwa afya yako fahamu sababu 10 ARGI+.
Ina 5grams za L-Arginine kwa kila kijiko kimoja,na vitamin mbalimbali zinazosaidia kuongeza stamina na nguvu.L-Arginine ina amino acid muhimu sana kwa afya kiujumla.Miili yetu inabadilisha kuwa Nitric oxide,ambayo inasaidia mishipa ya damu kutanuka na kuruhusu damu kupita.ARG+ pia ina viondosha sumu kama pomegranate.
Faida 10 za ARGI+
(1). Ni kirutubisho muhimu sana kutumia kila siku kwa ajili ya kusaidia mifumo yote ya mwili ili kuupa mwili uwezo wa kufanya kazi vizuri zaidi
(2): ina mfumo wa kinga ya mwili kutokana na Nitric oxide ambayo inatumiwa na chembechembe nyeupe za damu kuuwa bacteria.hivyo kuupa mwili uwezo zaidi na kupigana na magonjwa.
(3) inasaidia kurekebisha kiwango cha Blood pressure kiwe sahii na afya ya mzunguko wa damu ya moyo kiujumla
(4):inasaidia kutengenezwa kwa mifupa na mwili kiujumla hivyo ni vizuri sana kwa tatizo la waliovunjika mifupa au wenye mifupa dhaifu.
(5):Nitric oxide
inayotengenezwa inaongeza mzunguko wa damu ndani ya mwili na hivyo inasaidia kuongeza nguvu za kiume.
(6):inasaidia misuli kuwa imara na yenye nguvu pamoja na kupunguza mafuta ndani ya mwili ndio maana ni nzuri sana kwa wanawake na wanaume wanaofanya mazoezi.
(7): ina "promegrant" na vimelea vya matunda ambavyo ni viosha sumu inasaidia kuondoa madhara ya
free radicals mwilini.
(8):Ina vimelea
vitokanavyo na "RED WINE" ambayo inasaidia kushusha kiasi cha "CHOLESTROL" mwilini.
(9):inaongeza uwezo wa mwili kutumia Insuline(insuline sensitivity) hivyo inafaa sana kuweka uwiano wa sukari mwilini
(10): inasaidia kutoa hormones zinazopunguza kazi ya kuzeeka (Anti-Ageing) kukufanya uonekane chini ya umri wako.
Matumizi : kijiko kimoja cha ARGI+ na 240ml za kinywaji cha Aloe vera au juisi ,maji maziwa mtindi.
C) Ijue ALOEVERA GEL, kinywaji bora cha afya chenye aloe vera nyingi,( 97%).
wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.
Kinywaji hiki chenye utajiri wa Virutubisho muhimu kama ifuatavyo:-
200 compounds (active enzymes), 75 nutrients, 12 Vitamins, 20 minerals, 18 aminal acids (protein)
Faida zake kwa afya yako:
1. Kuondoa sumusumu mwilini zitokanazo na hewa chafu, vumbi, vyakula vilivyolimwa na mbolea na dawa zenye kemikali, sumu, madawa, vyakula, pombe na vileo, nk.
2. Kuondoa na kuepusha vimbe sehemu yoyote mwilini, mfano mji wa mimba, shingoni, nk.(unakunywa nyingi kwa muda)
3. Kuepusha magonjwa na kuua vijidudu kama virusi. bacteria na fangasi.
4. Kusafisha utumbo mkubwa wa chakula na:
~kuondoa mafuta yanayoganda,
~kuzuia na kusaidia gesi tumboni,
~kupata choo vizuri na kuzuia constipation (choo kigumu), hata kwa mtoto mchanga anayesumbuliwa na chango au kukosa choo (unampa kijiko kimoja cha chai)
~kusaidia mmeng'enyo wa chakula ( virutubisho vifyonzwe vizuri)
~ Kusaidia vidonda vya ndani (ulcers) na nje ya tumbo.
5. Kuongeza kinga mwilini. Na kukuepusha kushambuliwa na magonjwa mara kwa mara.
6. Inasaidia maumivu ya viungo kama miguu na mgongo.
7. Kusaidia wenye magonjwa ya umri kama kisukari, presha, nk.
8. Kusaidia kuboresha matatizo mbalimbali ya ngozi km;
~kuifanya iwe nzuri na ya kuvutia,
~kuifanya iwe nyevunyevu,
~kuiondoa ukavu na mikunjokunjo,
~kutengeneza seli mpya na kuondoa seli zilizokufa.
~Kusaidia magonjwa mbalimbali ya ngozi km;aleji, muwasho, chunusi, vinundu vidogodogo vyeusi, makovu, mkanda wa jeshi na upele,
9. Kusaidia ugonjwa wa kupooza (STROKE).
10. Inasafisha mzunguko wa damu, inaimarisha mishipa ya damu na kuyeyusha damu na mafuta yaliyoganda.
11. Inasaidia kuondoa harufu mbaya mdomoni kwa kuua bacteria wabaya wanaokaa kwenye utumbo wa chakula na kuleta harufu mbaya mdomoni. (Kuna watu wanaswaki lakini bado wananuka mdomo)
12. Inasaidia ukuaji wa mwili.
13. Husaidia uchovu sugu, kutopata usingizi vizuri (insomnia), hangover, msongo wa mawazo, (Stress), na mfumo wa fahamu na neva (nervous system).
14. Inaondoa baridi na ganzi kwenye viungo vya mwili, mfano miguu, mikono na vidole.
~Hufaa kwa watu wote, ( mama mja mzito anywe kiwango kidogo sana au atumie Aloe Berry Nectar ambayo ina kiwango kidogo cha aloe vera).
15. Unaweza kunywa wakati unatumia dawa za hospitali ili kusaidia kupunguza madhara yanayoambatana na dawa (side effects). Unakunywa nusu saa kabla ya kumeza dawa za hospital
KUNYWA KWA AFYA, (USISUBIRI UUGUE), JAPO KOPO 2 au moja KWA MWEZI.
#BAADA_YA_CHANGAMOTO_KUIKUMBA_JAMII_JOPO LA WATAALAMU/MADAKTARI_WALIOBOBEA_KATIKA AFYA_YA_MWANADAMU_WALIFANYA_TAFITI_YA_NAMNA_YA_KUONDOA_CHANGAMOTO_HIZO_BILA_KUTUMIA_DAWA_AU_VIAMBATA_VYENYE_SUMU_BALI_KUTUMIA_VIRUTUBISHO.
Virutubisho hivyo vimekuwa vikitumiwa na watu wengi kwa zaidi ya mataifa 170 duniani na tunashuhuda nyingi za watu waliopata kuboreshwa kwa afya zao baada ya kutumia virutubisho hivyo.
Kwa Ushauri au Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote Ulipo(Tanzania Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).
Kwa maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa zinazo ondoa tatizo hilo wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.
Free delivery ndani ya Dar, kama upo mkoani utatumiwa pia ndani ya tanzania.
Ni virutubisho asili ambavyo vimeshawasaidia watu wengi saana hapa nchini na Duniani kwa Ujumla. Karibu Upate huduma zetu kwa ushauri pia wasiliana nasi PIGA /TUMA NENO :"Health and wellness is Your Priority".kisha #SULUHISHO KWA UDHAIFU WA TENDO LA NDOA.
. kwa mawasiliano: +255768603979“maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”
. ///https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…
https://paulbiswalo.blogspot.com/
https://www.pinterest.com/biswalopaul/
SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.
Ahsante na karibu sana.
No comments:
Post a Comment
warmly welcome
contact us via +255 768 603 979.