Hello..! Good morning friends.
wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.
💥💥 Leo ningependa kushare nanyi jambo muhimu kuhusu afya za baba zetu, Waume zetu, kaka zetu, na wadogo zetu pia.
💥💥 JE, WAJUA PROSTATE GLAND (TEZI DUME) NI TATIZO SUGU KWA WANAUME WENGI SANA LEO HII..!??
👉Tatizo la TEZI dume (PROSTATE CANCER) ugonjwa huu umekuwa katika nafasi ya 3 duniani katika kusababisha vifo vya wanaume.
👉Kwa takwimu za 2012 ugonjwa wa tezi dume umesababisha vifo vya watu zaidi ya 300,700.
👉Upimaji wa ugonjwa huu ni mgumu na mwanaume yeyote asingependa kupimwa kwa style hiyo.
💥💥TEZI DUME NI NINI???
☑Ni ile hali ya chembe chembe za uhai katika tezi la kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalozunguka mirija ya kupitisha haja ndogo( mkojo)
☑Ugonjwa huu kwa sasa unaweza kuwapata vijana wa kiume kuanzia miaka 25 na kuendelea tofauti na awali ilikuwa miaka zaidi ya 50.
💥💥KUKUA KWA TEZI YA KIUME
☑Kukua kwa tezi ya kiume kitalamu tunaita BENIGN PROSTATIC HYPERPLASIA (BPH). ☑Miaka ya nyuma Hili tatizo mara nyingi huanza baada ya miaka 40 hivi, lakini miaka ya Sasa Vijana wadogo wanakabiliwa na hili Tatizo.
☑Hivyo Tezi inaweza ikawa kubwa sana lakini haina dalili hii ni kutokana na sehemu gani ya tezi iliyovimba au kuongezeka. Tezi inapoonesha dalili jua tatizo hilo ni sugu na liko ktk hali mbaya.
💥💥DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI NA MADHARA YAKE:
1. Kukojoa mara kwa mara
2. Kubakiza mkojo kwenye kibofu
3. Kushindwa kurusha mkojo mbali.
4. Maumivu makali wakati wa kukojoa
5.Kupungukiwa nguvu za kiume
6. UTI ya mara kwa mara
7. Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikano wa mkojo.
8. Figo kujaa maji. Hii sababu mkojo huo unarudi nyuma kuelekea figo(hydronephrosis)
9. Kupoteza fahamu(uremia)
👉HIZI DALILI NIMEZITAJA KULINGANA NA TATIZO LINAVYOKUWA SUGU KWA MGONJWA HIVYO UGONJWA HUU NI HATARI USIPO WAHI.
💥💥Zuia Madhara ya TEZI DUME kabla hayajawa makubwa.
☑Tumia virutubisho vinavyoweza kukusaidia kuepuka tatizo hili na kama limeanza pia virutubisho hivi vitakusaidia kupunguza kasi ya ukuaji wa Tezi. ☑Kwakuwa madhara ya Tezi yanasababishwa na ulaji mbaya hasa nyama nyekundu na zenye mafuta pamoja na watu wenye uzito mkubwa wako hatarini kupata tatizo hili.
☑Ndugu ugonjwa huu unaua hata wenye uwezo wa kifedha maana ni hatari sana chukua tahadhari sasa pia msaidie na mtu mwingine kupata taarifa hizi.
☑Madaktari wengi wanashauri kudhibiti kwa kutumia lishe kuliko kufanyiwa upasuaji maana baada ya upasuaji huvimba tena hivyo kusababisha kurudia tena upasuaji.
💥💥Ukipenda kujua zaidi kuhusu VIRUTUBISHO BORA vya kutumia tuwasiliane kwa namba hii +255768603979.
#BAADA_YA_CHANGAMOTO_KUIKUMBA_JAMII_JOPO LA WATAALAMU/MADAKTARI_WALIOBOBEA_KATIKA AFYA_YA_MWANADAMU_WALIFANYA_TAFITI_YA_NAMNA_YA_KUONDOA_CHANGAMOTO_HIZO_BILA_KUTUMIA_DAWA_AU_VIAMBATA_VYENYE_SUMU_BALI_KUTUMIA_VIRUTUBISHO.
Virutubisho hivyo vimekuwa vikitumiwa na watu wengi kwa zaidi ya mataifa 170 duniani na tunashuhuda nyingi za watu waliopata kuboreshwa kwa afya zao baada ya kutumia virutubisho hivyo.
Kwa Ushauri au Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote Ulipo(Tanzania Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).
Kwa maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa zinazo ondoa tatizo hilo wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.
Free delivery ndani ya Dar, kama upo mkoani utatumiwa pia ndani ya tanzania.
Ni virutubisho asili ambavyo vimeshawasaidia watu wengi saana hapa nchini na Duniani kwa Ujumla. Karibu Upate huduma zetu kwa ushauri pia wasiliana nasi PIGA /TUMA NENO :"Health and wellness is Your Priority".kisha #SULUHISHO KWA UDHAIFU WA TEZI DUME.
kwa mawasiliano: +255768603979“maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”
. ///https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…
https://paulbiswalo.blogspot.com/
https://www.pinterest.com/biswalopaul/
SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.
Ahsante na karibu sana.
No comments:
Post a Comment
warmly welcome
contact us via +255 768 603 979.