LIFAHAMU TATIZO LA TEZI DUME ( PROSTATE GLAND)
wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.
Hii ni TEZI ya mwanaume ina umbo kama la yai
TEZI hii huzunguka shingo ya kibofu cha mkojo na kuzunguka sehemu inayopeleka mkojo nje.
TEZI hii huwa na ukubwa wa kawaida na huongezeka kadri umri unavyoongezeka.
Pia huhusika na utengenezaji majimaji yenye rutuba za kiume yaani shahawa.
SEHEMU ZA TEZI DUME.
SEHEMU YA NJE.
Ni sehemu ya nje ambayo madaktari huitumia kupima tezi
Hupimwa kwa kuingiza kidole katika sehemu ya tundu la haja kubwa.
Sehemu hii hainaathari katika ukuaji wake.
SEHEMU YA KATI
Ni sehemu ambayo ikikua huitwa KUVIMBA KWA TEZI DUME na uvimbaji wake unauwezekano mkubwa wa kusababisha kuzuia njia ya kupitisha mkojo, kwani hii ni sehemu ya ndani ambayo ipo karibu sana na njia ya mkojo.
Mara nyingi sehemu hii ikikua ndiyo ambayo husababisha matatizo ya kukojoa.
Shemu hii pia daktari huweza kuutambua ugonjwa kwa kupima kwa kutumia kidole kwa kupitisha katika tundu la haja kubwa.
SEHEMU YA NDANI
Hii ni sehemu ya mbele ya TEZI DUME,
Sehemu hii ni vigumu kupimwa kwa kutumia kidole hivyo kipimo maalumu hutumika wakati wa upimaji wake.
UKUAJI WA TEZI DUME
Tatizo hili maranyini huwapata wanaume baada ya kufikisha miaka 40 lakini athari zake huanza kuonekana mapema hata kabla ya kufikisha umri huo.
Hivyo TEZI DUME yaweza kuwa kubwa sana lakini usilibaini kutokana na sehemu lilipojitokeza
Hivyo TEZI DUME linapoonesha dalili zake wazi wazi basi lipo katika hali mbaya au ni sugu.
DALILI ZAKE
Kukojoa Mara kwa Mara na hali hii huambatana na maumivu makali wakati wa kukojoa.
Kuhisi maumivu kama kibofu kinachomachoma au kibofu kizito pia kubakiza mkojo kwenye kibofu yaani kutoa mkojo kidogooo wakati wa kukojoa.
Mkojo kutoka bila kujizuia na Mara nyingine kushindwa kutoa mkojo katika umbali mrefu wakati wa kukojoa
Kupoteza fahamu
U.T.I ya Mara kwa Mara.
Pia KUPUNGUA KWA NGUVU ZA KIUME.
DALILI HIZI NI KULINGANA NA UKUBWA WA TATIZO.
MATIBABU YAKE;
1:Operation kubwa hufanyika ktk kuondoa sehemu yenye tatizo ambayo huambatana na athari kubwa kwa mfanyiwaji.
SULUHISHO
Tafiti zinaonesha kuna virutubisho ambavyo huweza kuzuia kujitokeza kwa tatizo hili endapo utavitumia vizuri
Bidhaa hizi huongeza virutubisho vyenyekuongeza kinga ya mwili na kuondoa sumu zenye kupelekea ratio hili.
BAADA_YA_CHANGAMOTO_KUIKUMBA_JAMII_JOPO LA WATAALAMU/MADAKTARI_WALIOBOBEA_KATIKA AFYA_YA_MWANADAMU_WALIFANYA_TAFITI_YA_NAMNA_YA_KUONDOA_CHANGAMOTO_HIZO_BILA_KUTUMIA_DAWA_AU_VIAMBATA_VYENYE_SUMU_BALI_KUTUMIA_VIRUTUBISHO.
Virutubisho hivyo vimekuwa vikitumiwa na watu wengi kwa zaidi ya mataifa 170 duniani na tunashuhuda nyingi za watu waliopata kuboreshwa kwa afya zao baada ya kutumia virutubisho hivyo.
Kwa Ushauri au Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote Ulipo(Tanzania Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).
Kwa maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa zinazo ondoa tatizo hilo wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.
Free delivery ndani ya Dar, kama upo mkoani utatumiwa pia ndani ya tanzania.
Ni virutubisho asili ambavyo vimeshawasaidia watu wengi saana hapa nchini na Duniani kwa Ujumla. Karibu Upate huduma zetu kwa ushauri pia wasiliana nasi PIGA /TUMA NENO :"Health and wellness is Your Priority".kisha #SULUHISHO KWA TATIZO LA TEZI DUME ( PROSTATE GLAND) INAVYOATHIRI SUALA LA NGUVU ZA KIUME..
. kwa mawasiliano: +255768603979“maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”
. ///https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…
No comments:
Post a Comment
warmly welcome
contact us via +255 768 603 979.