Leo ningependa kukumbusha jambo ambalo inawezekana kuwa umelisahau.
Ningependa ujue kuwa wewe ni mtu muhimu sana,Ningependa ujue kuwa haujaja duniani kwa bahati mbaya,hata kama wazazi wako hawakukutarajia,Mungu alikutarajia.
Ningependa ujue kuwa wewe si mtu mdogo kama unavyojidhania.Ningependa ujue kuwa kuna nguvu ndani yako ambayo kama ukianza kuitumia utajishangaa kwa matokeo utakayopata.
Napenda kukukumbusha kuwa bila kujali Jana yako ikoje na leo yako ikoje Bado una nafasi ya kutengeneza kesho iliyo njema na kubwa zaidi.
Usiruhusu mtu mmoja aliyekudharau akufanye ujione haufai,usiruhusu mtu mmoja aliyesema hauwezi akufanye usijithamini tena,usiruhusu tukio moja la kufeli kwenye maisha likufanye ujione hautafika mbali.
Wewe ni mtu muhimu,dunia inasubiri udhihirishe uwezo wako wa kipekee.Ulizaliwa uwe mtu mkubwa,usikate tamaa.Bila kujali Kama leo umeamka ukiwa umevunjika Moyo,jivike tumaini kuna habari njema iko njiani inakuja.
Muda wako unautumiaje??
Kila mtu tangia kuzaliwa kwake unapata masaa yako 24 kwa siku na hayajawahi kupungua au kuzidi.....sasa suala hapa ni kwamba unayatumiaje??
Ndio maana katika masaa hayo hayo tunayopewa sawa kila siku kuna matajiri na maskini.....matajiri sio kwamba Mungu aliwapendelea wao wawe hivyo au walijikuta tu wapo matajiri tayari.....kuna "process" mchakato imefanyika ya kuutumia muda vizuri ili uwazalishie.
Sasa jiulize wewe muda wako unautumiaje??
Unatakiwa ufanye kazi masaa 8 hasa kwa aliyeajiriwa au aliyejiajiri,ulale masaa 8 na masaa 8 yaliyobakia upumzike sasa wewe mwenzangu na mimi unaufuata huu mpangilio??
Haya masaa 8 ya kupumzika wewe unayatumiaje??
Wengi wetu tunakuwa kwenye mambo ya umbea,kuwasema na kuwafitini wengine.......
Wengi wetu tunakuwa kwenye TV kuangalia sijui "movie" gani mpya imetoka au "series".....
Wengine vijiweni kwetu kubishania mambo ambayo hayatusaidii chochote kwenye maisha yetu ya kila siku hasa ya baadae.....
Tunafanya vitu chungu nzima ambavyo kiuhalisia havituzalishii chochote......
Ila kuna watu wengine wanayatumia vizuri huo muda na unawazalishia mengi mno.
Huwezi kumkuta tajiri kakaa eti anamjadili sijui Nani kafanyaje...
Huwezi kumkuta tajiri anabishania Manchester kufungwa Jana na Arsenal....
Huwezi kumkuta tajiri anajadili sijui simba pointi 3 zimefanyaje nk.
Huo ni muda ambao anautumia katika kufanya biashara zake zinazomuingizia kipato ambacho ni ni endelevu....sasa juilize wewe mwenzangu na mimi huwa unafanyaje??
Muda ni kitu cha muhimu sana na penda usipende ukishapita umepita haurudi nyuma bora Pesa zinaweza kuja zikapotea na ukazipata tena lakini sio muda na kama ulikuwa hujui kadiri muda unavyozidi kwenda ndivyo muda wako Wa kuishi duniani unavyopungua sasa jiulize itakapofika siku yako ya mwisho hapa duniani utakuwa umefanya kitu gani cha kukumbukwa??
Au utakumbukwa kwa Shida na matatizo uliyowaachia watu??
Kumbuka muda ni kama maji ya mto yanayotiririka yakishapita yamepita hayarudi nyuma hivyo tunapaswa kuwekeza vizuri katika muda wetu ili tuweze kufanya mambo mazuri ya maana ambayo yatafanya maisha yetu ya baadae yawe mazuri tusije kuwasumbua wengine.....
Wekeza muda kwa wengine waweze kufanikiwa nawe ukiwa unafanikiwa pia..
Angalia miaka 10 mbele maisha yako unataka yaweje???
Kama ukitaka yawe yamebadilika kutoka hapo ulipo basi huna budi kubadilika kwa kuwekeza na kuutumia muda vizuri....
Uwe na siku njema....
*jitambue#
*jitathimini#
*badilika#
*shtuka#
KUMBUKA
*Ukishindwa kupambana ili kutimiza ndoto zako. Kuna mtu atakuajiri ili umtimizie ndoto zake.*
Waza upya na uanze upya.
Nikutakie mafanikio mema na Asubuhi njema kwako.
nitafute inbox/piga kwa namba hii +255768603979 nikupe mchakato utafikaje na kuja kuufurahia uzee wako.
Wako katika kuijenga imani yako juu ya kufanikiwa katika maisha na kuwa na afya njema.
-Paul Biswalo.
Mhamasishaji,Muelimishaji,Mkufunzi,Mwalimu,Mshauri wa lishe bora na Afya,Mfanyabiashara wa Kimataifa.
(Mwenye Vipaji Vingi/Asiyekuwa na Kikomo).

No comments:
Post a Comment
warmly welcome
contact us via +255 768 603 979.