Health And Wellness Is Your Priority & Personal Development Mentorship Programs.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

UVIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS)

UVIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS)

wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.

FIBROID NI NINI?
Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi (ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama
ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi.

Kuna aina kuu zifuatazo za fibroids:
1.Submucosal fibroids(ndani ya kizazi)
2.intramural fibroid(ndani ya nyama za kizazi)
3. Subserosal(nje ya kizazi)

Watu wafuatao wako hatarini kupatwa na ugonjwa huu fibroids
1.Mwanamke ambae hajawahi kupata mtoto mpaka umri mkubwa
2.miaka kuanzia kubarehe mpaka hedhi kukoma
3.kurithi
4.unene
5.kuingia hedhi mapema

Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubarehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini. Na mara nyingi uvimbe huu huwaga unaongezeka
kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto. Ni watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati fibroids.

Dalili za fibroids
1.Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi.
2.kutokwa na uchafu wenye kiaharufu mbaya au ambao hauna harufu lakini mwingi na mweupe.
3.maumivi ya kiuno hasa wakati wa
hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe..wengi hupata maumivu makali sana.
4.Tumbo kuuma sana chini ya kitovu.
5.hedhi zisizokuwa na mpangilio
6.maumivu wakati wa tendo la ndoa
7.Kukosa hamu ya tendo la ndoa
8.maumivu makali wakati wa hedhi

Uvimbe unapokua mkubwa unaweza
kusababisha dalili zifuatazo.
1.Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe unakandamiza kibofu cha mkojo
2.Mkojo kubaki kwenye kibofu cha
mkojo
3.Haja kuwa ngumu
4.miguu kuvimba
5.kupungukiwa damu

Jinsi fibroids zinavyoweza kuzuia kupata mtoto:
1.Fibriods zikikua sana zinakandamiza
mishipa ya kupitisha mayai kutoka
kwenye mfiko wa mayai yaani ovari
2.Uvimbe pia unazuia yai
lililorutubishwa kujishikiza kwenye
kizazi..hasa submucosal fibroids
3.Pia huzuia mfuko wa kizazi kukaza kusukuma mbegu kwenda kwenye mishipa ya kupitisha mayai.

MATIBABU
1.Wanawake wengi wanafibroids ndogo ndogo lakini kwa sababu hazina dalili hahawezi kwenda hospitali na hawa ndo siku wakibeba ujauzito uvimbe unaongezeka kwa sababu ya vichocheo kuongezeka hivyo hawa watu Wanabainika wanapofanyiwa ultrasoudi ndipo wanakutwa navyo.lakini kitaamu
hospitali hawatibu uvimbe wa namna hii
2.Uvimbe ambao ni mkubwa(kama inavyoonekana kwenye picha hapo) wenyewe
hutibiwa kwa namna zifuatazo (hospital)
A.Dawa ambazo ni gharama sana mfano donazol wengi masikini hawawezi kumdu kununua
B.Vidonge vya maumivu
C.Vidonge vya kuzuia damu kama
tranexamic acid na dawa za uzazi wa mpango(COCs)
2.Njia ya pili ni operation nazo zipo
operation aina nyingi inategemea na uvimbe ukubwa na wingi wake.
1.Myomectomy hii ni operation ya
kuondoa uvimbe mmoja mmoja bila
kuondoa kizazi kwa wale wenye uvimbe mmoja uko sehemu nzuri
2.Total abdominal hysterectomy. Hii
operation unaondoa kizazi chote kama uvimbe umekaa vibaya na viko vingi.

Hebu jiulize kwa nini mpaka upate
dalili ndo uanze kushughulikia au kutafuta Matibabu ? Kwa nini ubebe ujauzito huku una uvimbe kisa bado mdogo? Au kwa nini ukae na uvimbe kisa bado mdogo?
tambua uvimbe huu sio kansa hvyo
ondoa hofu. Mbali na donazole ambayo ni ya gharama na haishauliwi itumiwe kwa mda mrefu ina sababisha mwanamke anakua na sifa za kiume.

UKIFANYIWA OPERATION
USIDHANI UVIMBE UMEISHA UNAOTA PEMBENI HADI UTAKAPOWEKA VICHOCHEO SAWA.

Sasa suluhisho lako lipo tuna dawa
ambao imetengenezwa kitalamu katika mfumo wa vidonge na vimetengenezwa kwa mimea baada ya utafiti na majaribio ya kutosha na viwanda vya madawa vikubwa hapa duniani. Utapata suluhisho lako bila madhara kwani ni 100% naturally mimea ambayo
imefanyiwa research.

Hii dawa inapunguza uvimbe wa fibroid bila madhara kama donazol. Kama una ndugu au rafiki mwambie suluhisho lipo
na mshilikishe kuokoa afya yake.

Kwa wale wanaohitaji huduma
mtapatiwa huduma hizi chakufanya wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979. . KUMBUKA
USHAURI KUHUSU TIBA NI BUREE.


WENGI WAMESAIDIWA WE UNANGOJA NINI?WASAMBAZIE NA WENGINE UNAOWAJALI. "KUMBUKA AFYA NI BORA KULIKO PESA"

https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…
https://paulbiswalo.blogspot.com/
https://www.pinterest.com/biswalopaul/

SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.

Ahsante na karibu sana.

 
Share:

No comments:

Post a Comment

warmly welcome

contact us via +255 768 603 979.

Popular Posts

Blog Archive

for any assistance.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

Featured post

UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI??????

AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO. UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI?????? jiulize swali hili na utafakali vizuri ilik...

Followers

Contact Form

Name

Email *

Message *

Labels

Total Pageviews

Theme Support