KATIKA MAISHA BWANA ,UNATAKIWA KUISHI KATIKA NYMBA UNAYOIPENDA AMBAYO
IKO KWENYE NDOTO YAKO,SIO TU ILI MRADI NI NYUMBA;KARIBU UJIPATIE RAMANI
ZA NYUMBA ZENYE MPANGILIO MZURI WA VYUMBA NA MATUMIZI YA KILA CHUMBA
KWA BEI NAFUU NA UJENZI WA GHARAMA NAFUU SANA.
WASILIANA NASI KWA NAMBA HII +255 768 603 979.
TUNAFANYA KAZI NCHINI KOTE TANZANIA NA NJE YA NCHI PIA.
KARIBU UPATE HUDUMA BORA SANA.
KUWA NA MAONO NI JAMBO ZURI SANA MAISHANI.
Habakuki 2:1-4 BHN
Mimi nitasimama mahali pa kuchungulia, na kukaa juu mnarani; nitakaa
macho nione ataniambia nini, atajibu nini kuhusu lalamiko langu.” Kisha,
Mwenyezi-Mungu akanijibu hivi: “Yaandike maono haya; yaandike wazi juu
ya vibao, anayepitia hapo apate kuyasoma. Maono haya yanangoja wakati wa
kufaa; ni maono ya ukweli juu ya mwisho. Kama yaonekana kuchelewa,
uyasubiri; hakika yatafika, wala hayatachelewa. Andika: ‘Waangalie wenye
kiburi, hao wataangamia; lakini waadilifu wataishi kwa kumwamini
Mungu.’”