AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO.
UNAFAHAMU
UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI??????
jiulize swali
hili na utafakali vizuri ilikupata majibu. lakini naomba nikusaidie kufafanua
kupitia mfano huu ili iwerahisi kwako kuelewa umuhimu na faida ya kuboresha kinga
ya mwili wako:
KWA MFANO TU; kila nchi inakuwa na majeshi mbalimbali
ya ulinzi na usalama yakitegemeana kwa pamoja; na majeshi hayo yanaweza kuwa
jeshi la wananchi wanao linda mipaka ya nchi na watu wake; jeshi la kujenga
taifa na jeshi la magereza yanayotoa mafunzo kupitia vyuo vyake kwa watu
wanaosomea maisha na nidhamu itakayowawezesha kuishi vyema katika jamii,
tofauti na walivyokuwa wakiishi mwanzoni na jamii inayowazunguka.
NADHANI UMENIELEWA! kutokana na kuanzishwa kwa haya
majeshi kulikuwepo na makusudi maalum ili kuimarisha ulinzi katika nchi husika
na hii ndio sababu kuu ya kusababisha amani, maendeleo, upendo na usawa katika
jamii:
WAKATI HALI KADHALIKA KATIKA AFYA KUNA MFUMO NA JESHI
LA ULINZI WA MWILI (NATURAL IMMUNE SYSTEM) ambayo mwenyezi mungu alituwekea
katika miili yetu ilituwe na kinga ya mwili, inayopigana na maadui kama vile;
A) BAKITERIA
WABAYA KAMA VILE:
1). ESCHERIA COLI (E. COLI) NA SALMONELLA: wanaosababisha
sumu kwenye vyakula/wanafaya chakula kuwa sumu.
2). HELICOBACTOR PYLORI: wanaosababisha vidonda vya
tumbo sugu kwenye tumbo lenyewe na utumbo mdogo unaomeng`enya chakula.
3). NEISSERIA GONORRHOEAE: wanaosababisha magonjwa ya maambukizi
ya zinaa kama GONORRHEA, CHLAMYDIA, SYPHILIS n.k.
4). STREPTOCOCCUS PNEUMONIAE: wanaosababisha magonjwa
ya mlipuko wa mfumo wa hewa kama PNEUMONIA/NIMONIA/KIFUA.
5). NEISSERIA MENINGITIDIS: wanaosababisha MENINGITIS/
ambao wanashambulia MFUMO MZIMA WA FAHAMU KAMA UBONGO, UTI WA MGONGO NA NEVA
ZOTE ZA MWILI.
B) VIRUSI KAMA VILE;
1). HUMAN PAPILOMA VIRUS (HPV 6&12)
Wanaosababisha magonjwa
ya NGOZI (MASUNDO SUNDO) na KANSA aina zote.
2). HIV
Wanaosababisha UPUNGUFU WA KINGA YA MWILINI (UKIMWI/MAGONJWA
YA ZINAA.
3). INFLUENZA H1N1(SMALL POX)
Wanaosababisha MAFUA
YA KAWAIDA NA KUTETEMEKA sababu ya BARIDI YABISI mwilini.
4). COVID NA JAMAA ZAKE KAMA COVID-19 (ALI MAARUFU
KAMA CORONA)
AMBAO NI VIRUSI TISHIO SANA HAPA DUNIANI.
Wanaosababisha MAGONJWA YA MAAMBUKIZI YA MFUMO WA
HEWA; MAFUA MAKALI YASIYO YA KAWAIDA.
5). HEPATITIS (HERPES SIMPLEX VIRUS)
Wanaosababisha HEPATITIS B NA HEPATITIS C (HOMA YA
INI).
6). HERPES AND COLD SORES
Wanaosababisha kutokwa na UTE MCHAFU wa rangi ya
maziwa, kahawia n.k, sehemu za siri wenye harufu mbaya kama shombo ya SAMAKI NA
VITU VILIVYOOZA.
7). MEASLES, MUMPS, RUBELLA, CHICKEN POX NA SHINGLES.
Wanaosababisha kukohoa, kuziba kwa pua, macho kuona
maruerue, kuongezeka kwa joto mwili na kusababisha homa kali mwilini, magonjwa
ya tezi za mate kuvimba kwenye mashavu.
8). POLIO, RABIES, EBOLA HANTA FEVER, DENGUE FEVER,
ZIKA NA EPSTEIN-BARR.
Wanasababisha MAGONJWA YA MLIPUKO WA GHAFLA/ PANDEMIC
ERARUPTION DISEASES.
9). NEUTOPIC VIRUS
Wanasababisha MAGONJWA YA MFUMO MZIMA WA FAHAMU KAMA
UBONGO, UTI WA MGONGO NA NEVA ZOTE ZA MWILI. (POLIO, RABIES, MEASLES, MUMPS).
UNAWEZA JE KUPATA MAGONJWA HAYA/BACTERIA/VIRUSI HIVI?????
NJIA ZINAZOWEZA KUKUFANYA UKAPATA MAGONJWA HAYA BACTERIA/VIRUSI
HIVI NI KAMA IFUATAVYO;
-Kushikana/Kugusana.
-Kuhohoa.
-Kupiga Chafya.
-Kunyonyana Ndimi.
-Kushiri Tendo La Ndoa.
-Kula Chakula Chenye Vimelea/Bakiteria/Virusi.
-Kunywa Maji Yenye Vimelea Maambukizi Ya Bakiteria Au
Virusi.
-Mdudu Kama Inzi Na Jamii Yake.
TUJIULIZE MASWALI HAYA BAADA YA KUPATA SOMO HAPO
JUU!!!!!!!!
SWALI A:je ulaji wa MATUNDA na MBOGAMBOGA zenye madawa
mengi kwa sasa inaweza kuwa suluhisho la kuboresha kinga ya mwili wako??????
SWALI B:je kunawa mikono kila wakati kwa SABUNI na
SANITIZER kunaweza kuondoa bacteria na virusi mbalimbali (kama nilivyovitaja
hapo juu), waliokuingia tayali mwilini mwako bila wewe kujua kama una
maambukizi tayari ukajiona ni mzima!!!, inaweza kuwa ni SULUHISHO LA MAGONJWA
haya??????
SWALI C:je ulaji wa vyakula vya majini kama SAMAKI!!
Waliokaa sana kwenye MAFRIJI huko kwenye mabucha inasaidia kuongeza KINGA ZA
MWILI???? Maana tunafahamu umuhimu wa vitu vya majini maana vina madini mengi
na virutubisho vingi vinavyochangia KUBORESHA AFYA; kama vile madini ya CHUMA,
ZINK, POTASIUM, OMEGA COMPOUNDS ambayo yanamchango mahususi kwenye KINGA YA
MWILI, N.k.
SWALI D, E NA F:je ulaji wa VIUNGO kama MDALASINI, TANGAWIZI,
NAZI, PILIPILI/ MBILIMBI PECO na jamii zake pekee zenye madawa mengi (kama
KILIMO BIASHARA kinavyotaka Mfanya biashara apate faida kubwa katika mazao
kidogo) kwa sasa inaweza kuwa suluhisho la kuboresha kinga ya mwili wako na
kupambana na magonjwa haya??????
TAFAKARI!!!, JALI AFYA YAKO!!! AFYA SIO SWALA LA
MCHEZO-MCHEZO:
KARIBU TUKUSAIDIE KUPATA NJIA
MBADALA NA ANTIBIOTICS AMBAZO ZITAUFANYA MWILI UWEZE KUTENGENEZA T-CELLS (ANTIBODIES)
AMBAZO ZITASHAMBULIA BACTERIA/VIRUSI MWILINI MWAKO NA KUJENGA / KUBORESHA MAJESHI
ZINAYOSAIDIA KUONGEZA KINGA ZA MWILI ZILIZO MADHUBUTI KUPAMBANA NA MAGONJWA
MWILINI MWAKO.
UMBALI SIO KIPINGAMIZI
KWETU; HAIJARISHI UKO WAPI VITAKUFIKIA KWA HARAKA KABISA.
WASILIANA NASI KWA
NAMBA HII +255
768 603 979 ILI KUPATA HUDUMA YA HARAKA KABISA.
# AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO#
#JALI AFYA YAKO#