Leo katika zama hizi za sayansi na teknolojia tatizo la kupungua nguvu
za kiume limekuwa kubwa sana, siyo Tanzania tu, bali duniani kote. Jambo
muhimu analopaswa mwanaume yeyote kufahamu ni kwamba, kupungua nguvu za
kiume siyo ugonjwa, ni dalili ya ugonjwa. Hii ina maana kuna dosari au
udhaifu wa kiutendaji ndani ya mwili wake.
Kuna sababu zaidi ya
200 zinazosababisha mwanaume apungue nguvu za kiume. Mtu aweza kujiuliza
kwa nini kuwe na sababu nyingi namna hiyo?
Nguvu za kiume ni nini?
Nguvu za kiume ni jina la jumla lenye vipengele vingi ndani yake ikiwa
ni pamoja na hamu ya mapenzi; kusimama kwa uume barabara; kuchelewa
kufika kileleni kiasi cha kufurahia tendo la ndoa; uwezo wa kurudia
tendo la ndoa; pumzi, wepesi na uchangamfu wa mwili katika kutenda tendo
la lenyewe.
Ni viungo gani vinavyohusika na nguvu za kiume?
Nguvu za kiume ni tukio pana sana lenye kuhusisha viungo na vitu vingi
ndani ya mwili. Kuna zaidi ya viungo na vitu 50ndani ya mwili wa
mwanaume vinavyohusika na nguvu za kiume ambapo viungo hivi pia hufanya
kazi zingine za mwili. Baadhi ya viungo hivyo ni ubongo, moyo, mishipa
ya neva mishipa ya ateri, mirija iliyo ndani ya uume iitwayo corpora
cavernosa.
Viungo vingine ni neva maalumu za parasympathetic,
tezidume (prostate gland), ini, figo, homoni ya testestorone, kemikali
za acetylcholine, serotonin, na dopamine, uti wa mgongo, eneo la chini
ya mgongo (kiuno), eneo la nyonga.
Viungo vingine ni misuli
maalumu iitwayo pelvic floor, tezi pituitari (pituitary gland), utando
maalumu wa uumeni uitwao tunica albuginea, misuli iitwayopubococcygeus
[PC muscles], kemikali ya nitric oxide, kemikali ya prolactin n.k.
Nini maana ya kupungua nguvu za kiume?
Unapopungua nguvu za kiume ina maana ndani ya mwili wako kuna baadhi ya
vitu katika vitu nilivyovitaja hapo juu havifanyi kazi vizuri jinsi
ipasavyo na inavyotakiwa. Yawezekana ni figo ndilo halifanyi kazi
vizuri, au ini, au tezi dume, au neva ya parasympathetic, au moyo una
tatizo au mishipa ya ateri, au misuli ya pelvic au homoni fulani iko juu
sana au iko chini sana (hormonal imbalance), orodha ni ndefu sana.
Kitendo cha baadhi ya viungo hivyo kutofanya kazi vizuri basi hapo
hutokea upungufu katika nguvu za kiume. Upungufu huo unaweza kuwa ni:
1. Kukosa hamu ya mapenzi; au
2. Uume kusimama kwa uregevu; au
3. Kuwahi kufika kileleni; au
4. Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa); au
5. Kushindwa kurudia tendo la ndoa; au
6. Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo; au
7. Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji; au
8. Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu;
Ndugu msomaji, ili uelewe vizuri zaidi labda niseme kwamba, nguvu za
kiume ni kiwanda; na ni zaidi ya kiwanda. Ndani ya kiwanda kuna umeme,
maji, madawa, watu (wafanyakazi wa kila taaluma na fani), mashine,
mitambo n.k.
Ikitokea kitu kimojawapo kukosekana, mathalani
umeme, au wafanyakazi wakagoma, au kukakosekana madawa muhimu au maji na
kadhaa wakadha, basi bidhaa inayotarajiwa kupatikana sokoni, kwa hakika
haitapatikana.
Vivyo hivyo nguvu za kiume, mathalani, ikitokea
tezidume kutofanya kazi vyema, basi hapo mwanaume hatoona nguvu za
kiume, zitapungua au zitaisha kabisa!
Kwa hiyo upungufu wa nguvu
za kiume ni upungufu au kasoro za kiutendaji wa viungo ndani ya mwili wa
mwanaume. Mwanaume yoyote anapaswa kutambua jambo hili.
Lakini nini kinachopelekea viungo hivyo vishindwe kufanya kazi vizuri?
Kuna maradhi kadhaa, vyakula tunavyokula, tabia na mtindo wa maisha
vinavyoweza kupelekea viungo hivyo kutofanya kazi vizuri. Baaadhi ya
maradhi hayo na tabia hizo ni kujichua/punyeto (masturbation); kisukari;
presha ya kupanda; presha ya kushuka; uvutaji wa sigara; unywaji wa
pombe; madawa ya kuleva; kufanya kazi kupita kiwango na kukosa muda wa
kupumuzika; matatizo ya kukosa usingizi na kuchelewa kulala usiku.
Sababu zingine za kupungua nguvu za kiume ni kutokunywa maji ya
kutosha, tatizo la kufunga choo hasa pale unapotumia nguvu nyingi
kusukuma choo; kutofanya mazoezi; ukosefu wa kumbukumbu; uzito
mkubwa/unene mkubwa; kitambi; kuvimba kwa tezidume (Benign Prostate
Hyperplasia).
Sababu zingine ni saratani ya tezi dume (Prostate
cancer), matibabu ya mionzi ya tezidume na upasuaji, ugonjwa unaoathiri
vitendo na shughuli za mwili kama vile mwondoko na balansi (multiple
sclerosis), ugonjwa ambao hudhuru mawasiliano ya ubongo na miondoko
ikiwa ni pamoja na kutembea, kuongea na kuandika (parkinson’s disease),
vyakula vya mafuta, vyakula vilivyowekewa homoni bandia za kike n.k.
Sababu zingine ni maumivu ya mgongo/kiuno; baadhi ya madawa ya kemikali
(madawa ya hospitali); kiharusi (stroke); upungufu katika utendaji wa
kazi za gonadi (hypogonadism); uzalishaji mwingi wa homoni ya thyroid.
Sababu zingine ni kutozalishwa kwa homoni ya thyroid ya kutosha;
ugonjwa unaoathiri uzalishaji wa homoni ya cortisol (cushing’s
syndrome); ugonjwa wa kupinda uume (peyronie’s disease); kukakamaa kwa
mishipa ya damu (atherosclerosis); orodha ni ndefu sana, ni zaidi ya
200.
Hivyo mwanaume anapopungua nguvu za kiume, ina maana kuna
ugonjwa ndani ya mwili wake, au unaweza kuwa huo ugonjwa umeshadhihirika
(umeshatokeza) kwa nje, au huo uko ndani ya mwili unamla na kummaliza
kimyakimya kama yalivyo baadhi ya magonjwa ambapo baadaye hulipuka. Hii
ndiyo maana kitaalamu tunasema kupungua nguvu za kiume siyo ugonjwa ni
dalili ya ugonjwa. Unapopungua nguvu za kiume hiyo ni KENGELE YA
TAHADHARI kwamba ndani ya mwili wako kuna kitu hakifanyi kazi vyema.
Hivyo, unaambiwa kuchukua TAHADHARI kabla ya HATARI!
KOSA KUBWA WANALOFANYA WANAUME WENGI!
Wanaume wengi wanapopungukiwa nguvu za kiume hukimbilia kutafuta dawa
za kuongeza nguvu za kiume, na siyo kutibu. Hili ni KOSA KUBWA sana!
Ni kosa kubwa kukurupuka kubugia dawa za nguvu za kiume bila kujua
chanzo cha tatizo na bila kujua hiyo dawa inakwenda kutibu tatizo gani.
Kwa njia hiyo, utamaliza miaka hata zaidi ya 100 na hata miaka elfu moja
na hautapona!
Upungufu wa nguvu za kiume lazima utibiwe kuanzia
chanzo cha tatizo; kwa maana ya kwamba mzizi wa tatizo sharti ung'olewe
kwanza! Mathalani, kama tatizo
Whatsap/Call / sms;+255 712 236 129/+255 768 603 979.