Health And Wellness Is Your Priority & Personal Development Mentorship Programs.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*
ni mwanzo wa mwaka..
kwa neema ya mwenyezi Mungu tumeweza kuuona mwaka mpya 2017..tumshukuru Muumba kwa yote..
mwaka mpya utakuwa na maana zaidi kwako endapo utaamua sasa yaani leo kufanya mabaliko kadhaa ili kuonesha utofauti wa maisha uliyoishi 2016...yaani fanya mabadiliko katika
1.mindset yako
2.tabia yako
3.kutafuta maarifa mapya/kujielimisha
4.kutafuta fursa tofauti za kimaendeleo
5.Nidhamu ya fedha
6.matumizi mazuri ya muda
7.malengo mbadala ‘Plan B’ hata c na D.
8.kuwa na taarifa sahihi juu ya jambo husika.
9. kujali afya yako.
10.kuchagua marafiki wapya
11. utayari au ushapu wa kuwa tayari kwa lolote either liwe positive or negative
12.kuacha visingizio hasa pale unapewa idea mpya
13.kumuomba mungu na kumshukuru..

tofauti na hapo utajikuta unapata matokeo yaleyale na hutoweza kuona chochote..
utaishia kulalama daily..
na mwisho wa siku kwako 2017 itakuwa inaonekana, utofauti wake katika kalenda tu na sio katika maendeleo yako..
kila la heri katika safari nyingine ya kuelekea mafanikio yako uliyojipangia kwa mwaka 2017..

forward l go....
forward we go.....
no re-treate no surrender.

more advices ["Keep doing until you get what you real need :👏👏", "It's Better To Be Prepared For An Opportunities All The Time,Rather Than Waiting Until Life Is Being Too Hard" , "Decide To Live Beyond Anxiety And Doubt. Make What You Want Greater Than What You Fear". ~Paul Biswalo]

You have something special,
You have POWER, GREATNESS & POTENTIAL within ,uncover your Fears towards achieving your success because you have something within you but I don't know what is in you .you're the only one who knows what is in you.

Don't stay in comfort zone my dear .....2017 is the year of unleashing your POTENTIAL, GREATNESS because you are able and you have POWER within you.
Say these words on yourself "I have tired of being broke , i have tired of being poor , now it is my time to make it happen" in God's glory, joy and Glorious Love,No anyone's else who can stop the Power of God from making me to be Successful in my life.
If God says YES no one who can say NO.

I am the one who should fight against fear of doing something no anyone else apart from me.

it`s me your lovely friend,
~Paul Biswalo.
Motivational speaker.

**let's meet all at the Top because is no longer crowded **.
Having a blessed gifted 2017 via JESUS CHRIST NAME AMEN.
kwa ushauri na maoni zaidi karibu..sana.



Share:

No comments:

Post a Comment

warmly welcome

contact us via +255 768 603 979.

Popular Posts

Blog Archive

for any assistance.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

Featured post

UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI??????

AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO. UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI?????? jiulize swali hili na utafakali vizuri ilik...

Followers

Contact Form

Name

Email *

Message *

Labels

Total Pageviews

Theme Support