Health And Wellness Is Your Priority & Personal Development Mentorship Programs.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

NAMNA NILIVO PONA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA KUNUSURIKA KUVUNJA NDOA YANGU


NAMNA NILIVO PONA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA KUNUSURIKA KUVUNJA NDOA YANGU.


Habari ya leo wakuu?
Ilikuwa mwaka February 2015 nilioa mke nikaanza kuishi naye.
Katika kuishi naye nilijikuta siwezi kumudu tendo la ndoa hata dakika 5 tu na nikishiriki mara moja kwa siku kupata hisia tena ni mpaka siku 3 au wiki hata nishikwe vipi.

Mke wangu aliamua kunitamkia ukweli kuwa hawezi kuchepuka kisa hilo isipokuwa kama siwezi kumu hudumia na kumpatia mtoto bora tuachane ili asini umize akaolewe sehemu nyingine.
Hilo swala lilinichanganya sana nili amua kwenda Natural Clinic kupata suluhu ya hilo tatizo nilipinwa kwa computer na kupewa dawa kadhaa ambapo ili nigharimu 250000 pamoja na vipimo nikarudi nyumbani nikaanza kutumia dawa lakini siku ona mabadiriko yoyote baada ya wiki make wangu akaniuliza nimeshindwa kupata suluhisho aondoke? Na alikuwa na hasira kila wakati maongezi yetu ndani yalikuwa si yafuraha ndani hakukaliki akija tu yeye nawaza tu namna anazo lalamika kuwa ana hamu but mimi ndo hivo mzee ame lala na ana kuwa mdogo kama mtoto ilikuwa fedheha sana mpaka nikajuta kuoa.

Baada ya siku kadhaa nilipata mtu ambaye alikuwa na tatizo kama langu ila yeye alikuwa vizuri baada ya kupata tiba ya uhakika ya dawa ya asili "Fresh from the Farm"akanipeleka aliko ipata nami nika nunua nili tumia siku ya kwanza tu niliona mabadiriko baada ya siku tatu nikajiona sasa nabadirika na dozi nili tumia siku 7 nikaona faraja yangu ime rejea nikaweza kwa mara ya kwanza siku amini na mke wangu alishangaa na aka sema ni kwakuwa ana nipenda ndo maana akanikazinia nitafute dawa kwa baada ya kuona hivo nika nunua nyingine tena ili niwe na uhakika zaidi japo nili ambiwa dozi ni siku 7 tu.

Mke wangu akawa ame kaa kipindi cha miezi miwili bila kupata uja uzito sikujua tatizo ikabidi nimuulize mtaalamu wangu maana mke wangu siku zake za hedhi hazikuwa na mpangilio maalamu maana alikuwa anasumbuliwa na maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi nika ambiwa na doctor kuwa naye ina paswa apatiwe dawa ya kusafisha kizazi na kutatua changamoto ya kubadilika kwa tarehe za hedhi na hayo maumivu makali ya tumbo chini ya kitovu wakati wa hedhi.Alipewe dawa na tuliambiwa dose ni siku 3 tu alitumia na akamaliza baada ya kipindi cha hedhi kumalizika tukasubiria mwezi ujao tuone kama ataingia lakini hakuingia baada ya siku 42 tuka nunua kile kipimo cha urinary pregnant test tuka angalia tukaona mistali miwili imejitokeza kwakweli ilikuwa furaha kubwa sana kwetu na tuka mshukuru sana yule doctor kwa dawa zake za uhakika na msaada wake wa kunusuru ndoa za watu.

Hill tatizo lina wasumbua wengi sana na kutokana na kuto jua dawa wana sumbuka sana.
Mpaka leo nnavo ongea nna watoto wawili toka kwa mke wangu.
Ikiwa unahitaji kujua kuhusu hiyo dawa mtafute master doctor mwenyewe atakupa maelekezo namna ya kuipata dawa: 0676091570,0748062691 au WhatsApp 0625711709. imeandaliwa na  

(GEOFRE WILLE geofrewille@gmail.com)

Share:

No comments:

Post a Comment

warmly welcome

contact us via +255 768 603 979.

Popular Posts

Blog Archive

for any assistance.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

Featured post

UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI??????

AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO. UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI?????? jiulize swali hili na utafakali vizuri ilik...

Followers

Contact Form

Name

Email *

Message *

Labels

Total Pageviews

Theme Support