Health And Wellness Is Your Priority & Personal Development Mentorship Programs.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

FAHAMU MADHARA YA KUWA NA UZITO MKUBWA NA NAMNA YA KUDHIBITI KWA NJIA ASILI.+255768603979.


FAHAMU MADHARA YA KUWA NA UZITO MKUBWA NA NAMNA YA KUDHIBITI KWA NJIA ASILI.


Je, una changamoto na uzito mkubwa?
Unafahamu  madhara ya kuwa na uzito mkubwa ?
Soma  nakala hii ,kufahamu zaidi namna ya kudhibiti uzito kwa njia asili.

Shirika la Afya Duniani (WHO), limeonya kuhusu ongezeko la watu wenye unene wa kupitiliza, huku wakitaja hiyo kuwa ni sababu kuu ya kuwapo kwa watu wengi wenye maradhi ya moyo, kisukari na ini.
Pamoja na watu  hawa kuhitaji kufanya mazoezi  kupunguza uzito wa miili yao, wataalamu  wa chakula  na lishe wanashauri  kufanya mazoezi kulingana na aina ya vyakula unavyokula  
                            NAMNA KUPIMA UZITO WAKO
Je unafahamu BMI yako?
Body Mass Index (BMI) ni kipimo kinachotumia urefu na uzito wako kujua Kama una uzito wa kiafya. 
Kujua kipimo  ya  BMI unachostahili  kuwa nacho ,unachukua herufu  wako kwa mita * herufu kwa mita *24.9 
Ikiwa BMI yako ni: * Chini ya 18.5- una underweight.
* Kati ya 18.5 na 24.9 - una uzito sahihi kwa afya .
* Kati ya 25 na 29.9 - una overweight.
* Kutoka 30 Na zaidi -una uzito uliopitiliza. 

                       MADHARA YA KUWA UZITO MKUBWA 

Ukiwa una uzito wa kupitiliza itasababisha madhara yafuatayo;
1.Matitizo kwenye figo 
2.Uwepo wa michirizi 
3.Kupunguza hamu ya tendo la ndoa 
4.Kuharibu mfumo mzima wa upumuaji 
5.Kuharibu ini 
6.Hupelekea uwezekano wa kupata kisukari,tatizo la presha  na kwenye guot. 
7.Hupelekea changamoto kwenye mfumo wa moyo 
8.Hupelekea  kuleta shida kwenye mfumo wa ubongo 
9.Hupunguza kasi ya kuishi 
10.Huleta shida kwenye mmeng'enyo wa chakula 
11.Maumivu kwenye viungo kama vile magoti,kiuno nk 
12.Kuongeza kiwango cha mafuta mwilini.


SULUHISHO LA KUDUMU 
Programu ya kwanza  inaitwa "Detox Pack" .Programu hii itachukua siku tisa ambazo kazi yake kubwa ni safisha mwili na kuandaa mwili. Faida ya  kutumia Detox pack
1.       Inaboresha kinga ya mwili
2.       Husaidia kuweka homoni sawa sawa.
3.       Virutubisho zinakuwa zinanyonywa vizuri mwilini
4.       Inakufanya upate usingizi mzuri
5.       Inasadia kuweka sawa mmeng’enyo wa Chakula.
6.       Inapunguza kasi ya uzee
7.       Inakupa nguvu ya kutosha
8.       Inasadia ubongo kufanya kazi vizuri
9.       Inaondoa uvimbe wa ndani na nje.  

FAIDA ZINGINE  ZA  KUTUMIA DETOX PACK
1.       Inachukua siku tisa.
2.       Huondoa taka mwilini .
3.       Inakufanya ujisikie active.
4.       Inasafisha ngozi yako.
5.        Inakupunguza kidogo kwa sababu ya sumu.
6.        Haina madhara yeyote.
7.       Inatumiwa na watu wa rika zote 

Program hii ni muhimu sana kwa watu wa rika zote hasa katika kuimarisha kinga ya mwili na kuongeza vitamini mwilini. Matokeo yanaweza kutofautiana. Kwa wadada hili limekua Tatizo kubwa kwa Dada wengi sana #KAKITAMBI". Kinamfanya Msichana akose Confidence na mwili wake, pia anakua Uncomfortable kuvaa Top Fupi au Skinny Top. 


 
                                       
Utofauti wa programu yetu  na program zingine.
Baada ya kutumia Detox pack utaendelea na programu ya pili  ya kupunguza uzito kama utapendelea kupunguza uzito zaidi.Baadhi ya watu waliopungua uzito
Kwa watu wenye changamoto hii,Kampuni tumewaandalia Program maalamu na virutubisho muhimu. 






Bidhaa hizi ni vyakula, siyo dawa wala mitishamba. Zimetengenezwa kutoka kwenye vyakula ambavyo tungefaa kula kila siku, na vina lishe kamili na virutubisho muhimu katika miili yetu inavyo hitaji ili iweze kutengeneza yenyewe afya bora na nadhifu.  Hizo bidhaa zina mchanganyiko wa vitu vifuatavyo: Proteins, Vitamins, Minerals, Essential Fat Acid and Trace minerals.Pia Program zetu za lishe zimethibitishwa na  mashirika ya kuthibiti ubora wa viwango vya bidhaa duniani. Na kwa hapa Tanzania, zimethibitshwa na mamlaka ya chakula na madawa (TFDA). Tunapatikana Tanzania.
Kwa yeyote anayehitaji hii program ya kudetox na  ushauri wa kuimarisha afya  wasiliana na mtaalamu wetu. Kwa kupata mafunzo zaidi kuhusiana na afya ya kuimairisha afya  kwa namba hii +255768603979.

Share:
WHAT NOBODY TELLS YOU ABOUT DIABETES IN GENERAL TO THE HEALTH MATTERS.

Diabetes is a diseases in which your blood glucose or blood sugar levels are too high. On the other hand diabetes is diagnosed when the pancreas cannot produce enough insulin, or the produced insulin is not sufficient for the cells and the body cannot use the insulin effectively. Insulin refers to a hormone that regulates blood sugar within the body.
                 
                                                                                                               
Let me say…
Diabetes mellitus is characterized into three main types:
Type 1 Diabetes, Type 2 Diabetes and Gestational Diabetes (GDM).
Whereby type 1 diabetes produce little or no insulin at all
Type 2 diabetes involve body inability of using insulin effectively and gestational affects more woman during pregnancy.

Listen …
The idea that only overweight people develop diabetes was largely believed by many people.
But I can say Diabetes can attack anyone, regardless of any economic status they may have.
According to American diabetes Association reported thatbeing overweight and obese is definitely a risk factor for the development of diabetes so weight is one of risk factor among many factors like Age, Genetic and Ethics.
Shocked?

Listen…
You may develop type 2 diabetes if your genes became exposed to environmental toxins or chemical. Sometimes your body polluted with methane, carbon monoxide, vehicle emissions chemicals and trace amounts of tobacco smoke all these excessive toxic deposit weaken you’re immune system without you knowing.
Do you get what I am saying!


Most people believed that you can get diabetes from too much sugar intake, of course that is wrong!  Guess why?
Because sugar can only play a role if you’re already diabetic.
You see, as food enters in the body it turns sugar into glucose therefore you need to consider the intake of carbohydrates foods.

Mind you, if excess carbohydrates foods fail to be transformed into glucose and your body   does not utilize them, remain carbohydrates will accumulate in form of fat making the body obese.
Remember being obese make your body to insulin resistance as one of risk factor for you to be diabetic.


I can say, the factor that affects blood glucose is the quantity of the carbohydrate or sugar consumed, and not the type of carbohydrate itself.
Yet, it has been reported that Sugars are carbohydrates, and acts as an empty food because it provides you only with energy and other nutrients.

Now, I can hear your brain asking “Do I need to eat special diet”.
Believe me or not…
There is a solution to whatever you’ve questioned in mind.
Let me say there no special diet to follow for diabetic person, though the quantity of the constituents within the food is what actually matters.

So, in order to prevent yourself from health problems caused by poor diet intake consider healthy diet intake all the time .Remember a healthy diet consist of fruits, vegetables, adequate amino acids from protein, essential healthy good fatty acids, vitamins, minerals, fiber and adequate calories.

You might be think “Who are at risk of gestational diabetes”
According to Mayo clinic reported that gestational diabetes develops during pregnancy and affects how your cells use sugar (glucose). During pregnancy, the placenta which connects your baby to your blood supply, produces high levels of various other hormones as your baby grows, the placenta produce more and more insulin counteracting hormones.


Keep in mind that high blood sugar affect your pregnancy and your baby’s health. And of course you can control gestational diabetes by eating healthy foods and exercising.
Consider regularly blood sugar level checkup during the last 3 months of pregnancy to monitor your blood sugar level and your baby’s health. “How do I know am at risk of gestational diabetes” here are the risks factors:being a woman 25 of age, if your family member has type 2 diabetes you’re likely to develop gestational diabetes. And if you’re overweight with a bod mass index of 30 higher.

Lastly if you’re diabetic, you may ask yourself “Am I eligible to donate blood.” Here’s are the shocking facts about it;

Listen…
I know you’ve experience a myths that any diabetic person is not qualified in blood donation because can affect other person and also after donation he or she will experience health problems.

But, let me say diabetes cannot be transferred easily to another person through blood.
Though it has been reported by American Red Cross that if you want to donate, consider about health consequences and this should be observed closely with your doctor.


Look…
And after donating you need to closely monitor your blood sugar levels and re –nourish your body with more iron –rich foods intake and fluids.

Mind you to be  a qualified donor the only factor that will be observed is the source of your insulin.

CONTACT US ;for a help via +255(0) 768 603 979.






Share:

JINSI YA KUBORESHA STAMINA NA NGUVU ZA KIUME. 


Maana wanaume wengi wamekuwa wanaume suluali,heshima nyumbani imepungua kabisa kwa wake zao majumbani.
 
Takwimu za afya zinaonesha kati ya mwanaume 10 miongoni mwao 7 wana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Tatizo hili linazidi kuongeza kasi  na huwakumba sana watu wazima kuanzia umri wa miaka 35 -75+ .
Upotevu huu wa nguvu za kiume husababishwa na vitu vifuatavyo:

1. Unywaji wa pombe uliokithiri

2. Uvutaji wa sigara

3. Masturbation (kujichua au kupiga punyeto)

4. Tatizo la kupata choo.

5. Tatizo la tezi dume

6. Kula chakula chenye kuharibu mfumo  wa mmeng'enyenyo wa chakula.

Huu mfumo  ukiharibika unasababisha damu kutosafir vizuri.
Na dalili  hutokea pale

unapokosa hamu ya tendo la ndoa

unapokosa pumzi wakati wa tendo hilo la ndoa

unapokosa uwezo wa kurudia tendo la ndoa

unapochelewa kufika kileleni na kuchoka sana baada ya tendo la ndoa.















Sasa kwa mwanaume mwenye  changamoto hii ya upungufu wa nguvu za kiume , kampuni imewaandalia program ya lishe kamili na virutubisho muhimu .
Program hii ;

1)Husaidia katika ku-maintain testosterone level, fertility, kuongeza sperm counts

2)Huamsha hamu ya tendo la  ndoa na uvumilivu (stamina)

3)Huhimiza afya ya kibofu na  kusaidia udhibiti wa Kansa ya tezi ( Prostate).

4)Husaidia kuboresha na kusafisha mfumo mzima wa Uzazi kwa mwanaume, na Hii hupelekea kuboreshwa kwa usafirishwaji wa mbegu(sperm) kwa kasi Zaidi.



 

NOTE: Bidhaa hizi sio Dawa, ila ni lishe zimeidhinishwa kimataifa na *baraza la aloe-vera duniani*, na kutumika Zaidi ya nchi 160+ dunia. Zimetengenezwa  kutoka kwenye vyakula  ambavyo tungefaa kula

Ukihitaji wasiliana nasi kupata +255 (0)768 603 979.Bidhaa bora kwaajili ya afya yako madhubuti.

Share:

JUA MFUMO WA KINGA YA MWILI (CD4).


A) Mfano wa Kinga ya Mwili
Kama nchi ilivyo na majeshi ya ulinzi na usalama, kwaajili ya kulinda na
kusimamia usalama wa Raia na mali zake vivyo hivyo mwili una mfumo wake wa
kujilinda. Kinga ya mwili (CD4) ni sawa na askari jeshi wanaolinda nchi yao.
Wanajeshi wanahakikisha ulinzi, amani na usalama vinapatikana nchi yote ili kila
mwananchi apate nguvu ya kufanya kazi na nchi ipate maendeleo.

Ni jukumu la serekali kuhakikisha wanajeshi hao wanapata nguvu kila siku na
vifaa vya vita, ili waweze kupambana na adui kwa njia yeyote.B) Ufafanuzi wa Kinga ya Mwili
Ulinzi wa kwanza upo kwenye ngozi na wa pili katika seli nyeupe. Ngozi ni organi
ya kwanza kwa ukubwa katika mwili wa binadamu huzuia vimelea vya magonjwa
visiingie ndani ya mwili lakini vikiingia mwilini, kinga ya mwili hupambana na
vimelea hivyo.

Kazi ya kinga ya mwili ni kuhakikisha kila kiungo kiko salama na kinafanya kazi
ipasavyo ili binadamu aweze kuishi maisha marefu yenye afya njema.
Mwili hutegemeana hivyo ni rahisi kuwa na ugonjwa zaidi ya mmoja na hii
hutokana na kinga ya mwili kudhoofika. Ni jukumu letu sote kuhakikisha kinga
yetu ya mwili inauwezo wa kulinda viungo vyetu.

Kinga ya mwili inaweza kuongezeka au kupungua (kudhoofika). Huongezeka
kupitia vyakula pia hupungua kupitia mashambulizi dhidi ya maradhi.
Maradhi hayo yanatokana na kula vyakula ambavyo siyo sahihi kutokana na jinsi
tulivyoumbwa.

Tuliumbwa na makundi tofauti ya damu, vivyo hivyo tunatakiwa kula vyakula
vinavyoendana na makundi yetu ya damu. Chanzo cha magonjwa yote unayoyajua
ambayo siyo ambukizi ni kutokana na vyakula vyetu vya kila siku na mfumo wa
maisha tunaoishi.
Vyakula tunavyokula viko aina 3. Kuna vyakula tukivipata vinaongeza kinga ya
mwili, vingine vinabaki kuwa kama vyakula tu hatunufaiki chochote, vingine
vinakuwa sumu mwilini. Vyakula hivyo husababisha kinga ya mwili kudhoofika,
kuharibu mfumo mzima wa mmeng’enyo wa chakula na mzunguko wa damu.

 
1.VITU VINAVYOSABABISHA KINGA 1. YA MWILI KUDHOOFU.

1.Ulaji mbaya: Hii ni kwasababu hatupati virutubisho vinavyopatikana kutoka
kwenye vyakula. Tunavikosa kwasababu ya ukosefu wa pesa au maarifa…n.k.

2.Matumizi ya pombe yaliyokithiri: Pombe aina yeyote siyo kitu cha kuleta
afya, kama unauwezo wa kuiacha achana nayo; kama huwezi kuacha punguza
utumiaji wa pombe, ujiwekee nidhamu mwenyewe na utii.

3.Kukosa usingizi: Kila binadamu anapaswa kulala masaa kadhaa kulingana na
umri wake ili kinga ya mwili izidi kufanya kazi vizuri. Kuanzia miaka 26 – 64,
wanastahili kulala masaa yasiopungua 7 – 9. Watu wazima kuanzia umri wa miaka
65 kuendelea wanapaswa kulala masaa yasiopungua 7 – 8.

4. Kukaa kwa muda mrefu (sitting too long is the new smoking, kills than HIV)
5.Ukosefu wa mazoezi: Mazoezi ni kitu muhimu sana ambacho binadamu yeyote
anapaswa kukifanya. Kwakufanya mazoezi kunasaidia kuimarisha kinga ya mwili.

6. Uvutaji sigara, Upungufu wa chembechembe za damu nyeupe
7. Msongo wa mawazo, Hasira, Kinyongo, Saratani, HIV
8.Mfadhaiko wa akili: stress za mara kwa mara na baadae husababisha
madhara kama Kisukari, matatizo ya moyo, kupooza, shinikizo la damu,
pumu…n.k
9.Dawa za hospitali: Hii ni kutokana na kemikali zilizoko ndani ya hizo dawa,
baada ya muda zinaathiri kinga ya mwili na utendaji kazi wa kinga.

10. Matumizi ya njia za Kisasa za uzazi wa mpango
11.Umri mkubwa: Kadri umri unavyoongezeka na kinga ya mwili inapungua.
Kama una umri mkubwa ni vema ukaweka utaratibu au program ya virutubisho
kwajili ya kuongeza, kuboresha na kuimarisha kinga ya mwili, ili uishi maisha
yenye furaha na afya njema. Inakupasa ujali afya yako mapema.

 
II.MADHARA YATOKANAYO NA KUDHOOFU
KWA KINGA YA MWILI

Kinga ya mwili inaposhuka mwili huwa katika hatari kubwa sana ya kukabiliana
na madhara mbalimbali ikiwemo:
· Magonjwa nyemelezi: mafua, homa, kifua, malaria…n.k.
· Urahisi wa Mwili kupata magonjwa yasiyo ambukizi: Mvurugiko wa
Homoni, vimbe tumboni, vidonda vya tumbo, mvurugiko wa hedhi, Utasa -
Ugumba, Uzito uliyokithiri, Kitambi na Heshima ya ndoa kupungua kwa wakina
baba, Tezi dume, Kisukari, Figo na Ini kushindwa kufanyakazi, matatizo ya
mapafu, Maumivu ya viungo, Ugonjwa wa macho, matatizo ya moyo, kupooza,
Pressure, Matatizo ya ngozi na Menaupose, Kuzeeka kabla ya wakati, maumivu ya
kichwa, kufunga kwa choo, Bawasiri – Hemorrhoids, Vidonda ndugu (Vidonda
visivyopona haraka), malaria sugu, kifua kikuu, mkanda wa jeshi…n.k
· Urahisi wa Mwili kupata maambukizi ya virusi na bacteria sugu:
HIV, Homa ya Ini , Saratani, Alegi, Pumu,…n.k
· Kujaa kwa sumu mwilini: Sumu zikizidi hupelekea mlipuko wa
magonjwa mwilini, na chanzo cha sumu kuzidi mwilini ni kinga ya mwili
kudhoofu.
· Kufa kwa seli nyeupe katika mwili
· Mwili kuwa mdhaifu: Kuumwa mara kwa mara.

III.SULUHISHO KWA WANAOTAFUTA KUBORESHA NA KUIMARISHA
KINGA YA MWILI.

Kinga ya mwili huwa chini sana kwa watoto wadogo na mama
wajawazito
Kinga ya mwili sio kitu cha kuimarisha kwa siku moja, ni swala endelevu, mwili
unapambana kila siku ili uhakikishe una afya na usalama.
Kinga yako ya mwili ikiwa bora na imara siyo rahisi mwili wako kushambuliwa na
virusi, bacteria, fangasi…n.k. Jali kinga ya mwili ndiyo afya na usalama wako.
Kinga ya mwili wako ikiwa chini unajiweka kwenye hatari ya kushambuliwa na
magonjwa kwa urahisi.

Kuumwa mara kwa mara ni dalili ya udhaifu wa kinga ya mwili, hii inamaanisha
majeshi ya kulinda mwili yamezidiwa na vimelea vya magonjwa, hapo ndipo dalili
za ugonjwa husika huanza kujitokeza.

Kuna program ya virutubisho vilivyotengenezwa kutoka kwenye vyakula
mbalimbali kwajili ya kuongeza, kuboresha na kuimarisha kinga ya mwili.
Lengo letu ni kuhakikisha jamii ina afya njema ili kila binadamu aishi maisha
marefu yenye furaha tele.
Program hiyo itakusaidia:
- Kuzalisha na kuongeza CD4 kwa wingi mwilini
- Kuboresha na kuimarisha kinga ya mwili
- Kuongeza misuli, kuupatia mwili nguvu tosha na kukusaidia afya yako isizidi
kudhoofika (kupungua ghafla uzito)
- Kuweka sawa mfumo mzima wa mmeng’enyo wa chakula na mzunguko wa
damu
- Kuongeza damu mwilini
- kusaidia ubongo kufanya kazi kwa haraka sana, akili kutochoka mapema
- Kuboresha na kuimarisha mfumo wa macho
- Moyo kufanya kazi vizuri na mzunguko wa damu kuwa sawa
- Kuzalisha uteute kati ya viungo: kukuepusha kupata maumivu au matatizo ya
viungo
- Kuweka sawa homoni (akina mama): kuwa na mzunguko sawa wa hedhi,
mayai kupevuka, kuondoa ukavu ukeni na kutengeneza joto ….n.k.
- Kurudisha, kuboresha na kuimarisha heshima ya ndoa
- Kusaidia ngozi izidi kung’aa na kuondoa machunusi, vipele na mikunjo
itokanayo na kinga ya mwili kudhoofu
- Kuweka mwili sawa ili ujiepushe na matatizo ya kiafya kama: saratani,
kisukari, pressure, ini, ngozi kuharibika, UTI, kupooza, tezi dume, matatizo ya
figo….n.k.

Kwa yeyote anayehitaji hivi virutubisho vya kuboresha na kuimarisha afya
yake ya Ini awasiliane na kampuni kwa namba zifuatazo:+255 768 603 979.


Share:

UFAHAMU UGONJWA WA HOMA YA INI
(MCHOCHOTA WA INI).


A. Ini ni nini ?
Ini ni miongoni mwa kiungo muhimu katika mwili wa binadamu, ya pili kwa
ukubwa katika viuongo vyote, ya kwanza ikiwa ni ngozi. Ini linapatikana kwenye
kivambi cha mbavu upande wa kulia, uzito wake ni kuanzia 1 kg – 1.5 Kg. Faida
kubwa ya ini inasaidia kutoa vimeng’enyo vya chakula na kuondoa baadhi ya sumu
mwilini. Ni mojawapo kati ya viungo vinavyohusika katika kutoa uchafu, uhifadhi
wa chakula katika mwili wa binadamu. Chakula kinapotaka kuingia mwilini katika
utumbo mwembamba huelekea kwanza katika ini.

B. Homa ya ini
Virusi vya homa ya Ini ni hatari zaidi ya virusi vya Ukimwi
Virusi vya homa ya ini (hepatitis) – kwa kiswahili mchochota wa ini; kazi yake
nikuharibu cell za ini. Baada ya kuharibu cell za ini ndo vinaenea kwenye damu.
Homa ya Ini ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vinavyoshambulia
ini.

Virusi hivi ni vya aina kuu tano A, B, C, D na E. Maambukizi yake niya kimya
kimya. Ili uweze kuona dalili inachukua muda mrefu. Dalili zikishatokea ini
linakuwa limeshaathirika zaidi.

Tafiti zinaonesha ugonjwa huu ni hatari zaidi ya ugonjwa wa UKIMWI kwasababu
virusi vyake vinauwezo wakuishi nje ya mwili wa binadamu kwa muda mrefu zaidi
ya siku saba, na ni rahisi sana kuambukizwa.

Kwa upande wa Tanzania watu wengi hawana ufahamu na ugonjwa huu. Takwimu
zilizochukuliwa katika baadhi ya makundi mbali mbali, zinaonesha kwamba
wagonjwa wa virusi vya ukimwi wako kwenye hatari ya kuambukizwa kwa urahisi
ugonjwa huu, na kuchochea kuathirika zaidi hata kufa mapema kwasababu kinga
ya miili yao iko chini. Wagonjwa wa ukimwi wakipata vitu vya kuboost kinga ya
mwili itasaidia kuongeza uwezo wa mwili kujilinda zaidi na magonjwa hatarishi
yanayoshambulia kinga ya mwili na hivyo kumsaidia kutoathirika zaidi na virusi
vya ukimwi.

II. VYANZO VYA HOMA YA INI
Kirusi cha homa ya Ini kinauwezo wa kukaa nje ya mwili wa binadamu vikiwa hai
hata zaidi ya miezi mitatu
Chanzo cha Homa ya Ini inayosababishwa na virus 1. wa aina ya A & E:
- Kula kinyesi kilichochanganyika na aina hii ya vimelea kwenye maji au
chakula
Vyanzo vya Homa ya Ini inayosababishwa na Virus wa aina ya B, C &
D:

Mchanganyiko wa damu ambao hutokana na:
· Ngono zembe
· Wakati wa kusafisha figo ya mtu mwenye homa ya Ini
· Kuchangia damu isiyo salama
· Wakati wakuwekewa damu
· Kupitia mama mwenye maambukizi kwenda kwa mtoto: Mama mwenye
maambukizi anauwezo mkubwa wa kumuambukiza mtoto akiwa tumboni, na
wakatibwa kujifungua.

Ushirikiano wa vitu vya kila siku
· Kushirikiana vitu vyenye ncha kali (sindano, nyembe, chanjo, hereni..etc)
· Mate: kunyonyana ndimi
· Kuchangia taulo na mtu mwenye ugonjwa huu
· Kuchangia miswaki
· Kwa njia ya jasho
· Kuchangia nguo na mwenye ugonjwa huo

III. DALILI ZA HOMA YA INI
Kwasababu tumeumbwa kwa aina tofauti ya makundi ya damu, asilimia kubwa ya
watu hawaoni dalili yoyote kutokana na makundi yao ya damu; hivyo ni rahisi
kuishi na virusi vya homa ya Ini na kuambukiza wengine kirahisi hata bila wewe
kujua. Endapo dalili zitajitokeza; ili uzione, itakuchukua takribani kati ya siku 30
– 180 baada ya kupata maambukizi ya virus vya ini. Dalili hizi hazina utofauti na
dalili za malaria, na chaajabu dalili hizi hazikai kwa muda, huwa zinakuja na
kupotea.

Dalili hizi siyo maranyingi zinawapata watu. Huu ni ugonjwa wa kimya kimya, na
unakuua bila kujua. Mtu anaweza kupata maambukizi ya virusi vya homa ya ini
lakini asipate dalili kwa wakati huo, na baadae zinaweza kuonekana hizo dalili
wakati homa ya ini imeshakuwa sugu.

- Homa kali sana, na muda mwingine inajirudia mara kwa mara
- Uchovu wa mara kwa mara
- Kuishiwa nguvu: kujihisi mwili dhaifu
- Kupungua uzito ghafla na mwili kudhoofika
- Mkojo mweusi
- Macho na ngozi kuwa vya njano
- Kichefuchefu
- Kutapika
- Maumivu makali ya tumbo upande wa Ini
- Kuharisha

 

IV. MADHARA YA HOMA YA INI
Katika hatua ya mwisho virusi vya homa ya ini husababisha mgonjwa kupata
saratani ya ini.
- Ini kupata vidonda, kusinyaa na kuwa dogo zaidi: Hii hupelekea ini
kushindwa kufanya kazi vizuri na mwishowe kupata saratani ya ini.
- Kutapika na kutoa kinyesi chenye damu: Ini likisinyaa linazuia mishipa
kupitisha damu. Mishipa inayopeleka damu kwenye ini italazimika kutoa damu
kupitia mishipa ilio kwenye koo la chakula. Mishipa ya koo ni laini sana hivyo
hushindwa kustahimili damu hiyo na kupasuka.
- Ini kuoza
- Ini kushindwa kufanya kazi yake
- Kifo



V. SULUHISHO LA HOMA YA INI
Kutokana na tafiti zilizopo mpaka sasa tiba ya homa ya ini haipo, isipokuwa kuna
dawa za hospital (kemikali) zinasaidia kupambana na virusi ili vipunguzwe makali
na sio kuongeza au kuboresha kinga ya mwili. Kutokana na kemikali zilizo kwenye
dawa ulizotumia, hupelekea kinga yako ya mwili kuzidi kudhoofika, na baadae
kupatwa na matatizo mengine ya kiafya.

Vyakula tunavyokula viko aina 3. Kuna vyakula tukivipata vinaongeza kinga ya
mwili, vingine vinabaki kuwa kama vyakula tu hatunufaiki chochote, vingine
vinakuwa sumu mwilini kwetu. Tunafaa kula vyakula vinaendana na makundi ya
damu yetu ili afya zetu zizidi kuwa imara zaidi.

Kutokana na mfumo wa maisha jinsi ulivyo na namna vyakula vinavyolimwa
hatupati mlo kamili, ndio mana tunalazimika kutumia virutumbisho ili mwili
uweze kupata vitu vyote vinavyohitajika. Mwili wenyewe unauwezo
wakutengeneza kinga endapo utapata virutubisho.

Faida ya Virutubisho hivi
Virutubisho hivi huwa na madini, vitamin, protini, amino acids na virutubisho vya
kambakamba ambavyo ni muhimu zaidi katika kuimarisha kinga ya mwili.
- Husaidia katika kuua bacteria na virusi nyemerezi ambao huathiri ini
(kitendo hiki kinasababisha ini kurudi katika ubora wake - normal)
- Husaidia katika kuboresha na kuimarisha kinga ya mwili (Utaisha maisha
marefu endapo kinga ya mwili itakuwa bora na imara). Afya haitadhoofika
- Husaidia katika kuondoa maumivu na uchovu wa mara kwa mara
- Husaidia katika kurudisha ubora wa seli za mwili, na kuboresha utendaji kazi
wa seli za mwili
- Husaidia katika kuongeza nguvu na kuboresha mmeng’enyo wa chakula
- Husaidia kupunguza kiwango cha mafuta ambayo hupelekea saratani
Kwa yeyote anayehitaji hivi virutubisho vya kuboresha na kuimarisha afya
yake ya Ini awasiliane na kampuni kwa namba zifuatazo:+255 768 603 979.kwa msaada zaidi.


Share:

Popular Posts

Blog Archive

for any assistance.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

Featured post

UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI??????

AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO. UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI?????? jiulize swali hili na utafakali vizuri ilik...

Followers

Contact Form

Name

Email *

Message *

Labels

Total Pageviews

Theme Support