NJIA RAHISI ZA KUONDOA STRETCH MARKS ( MISTARI) KWENYE NGOZI YAKO.
kwa mawasiliano: +255768603979. “maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”.
Stretch marks ni mistari inayoonekana baada ya ngozi kuvutika, huenda
ilivutika wakati wa kubeba ujauzito ama wakati umeongezeka uzito ghafla,
wengine wanaita mistari ya utamu ikitokea miguuni na mapajani, stretch
marks ni matokeo ya unene ama kuvutika kwa ngozi na kitaalam inaitwa
striae gravidarum.
Stretch marks hutokea kwa wadada na wakina
mama wote na pia wanaume, mistari hii hutokea chini ya tumbo, maeneo ya
kiuno, kifuani kwa wadada, kwenye makalio, nyuma ya miguu, kwenye
mapaja, mikononi na hata mgongoni.
Zipo njia za kitaalam na
kitabibu zilizothibitishwa ambazo zinaweza kukuondolea stretch marks
kabisa lakini kwenye makala hii sitazungumzia hizo njia, hapa
nitazungumzia kuondoa stretch marks kwa njia ya kawaida bila gharama
kubwa.
Katika ngozi ya baadhi ya watu, kuna aina Fulani ya
mistari ambayo huonekana kama alama iliyobaki baada ya mtu kuumia,
huonekana kama kovu, lakini siyo kovu na wala mtu hakupata ajari au
kuumizwa na kitu chochote.
Mara nyingi alama hizi za michirizi
humtokea mtu maeneo ambayo kwa asilimia kubwa huwa na mafuta (fat),
mfano katika mwili hutokea mara nyingi kwenye mapaja, upande wa juu wa
mikono (biceps), tumboni, kwenye makalio, pia kwa baadhi ya watu hutokea
maeneo ya kifuani au kwenye matiti kwa wanawake.
Mpenzi msomaji,
kwa kawaida michirizi hii huwa haimletei mtu maumivu ya aina yoyote,
bali jambo kubwa huwa ni kuubadili muonekano wa ngozi ya mtu. Kwa baadhi
ya watu michirizi hii huwa ni mikubwa sana, na kwa namna moja au
nyingine humnyima mtu uhuru au humfanya mtu asiwe na amani pindi
anapokuwa mbele za watu kwa kutegemeana na michirizi hiyo imetokea
sehemu gani ya mwili.
Kabla hatujaangalia namna alama hizi
zinavyotokea, tukumbushane sehemu muhimu za ngozi. Ngozi imegawanyika
katika sehemu kuu tatu, sehemu ya nje (Epidermis), sehemu ya kati
(Dermis) na sehemu ya ndani (Hypodermis).
Alama hutokea baada ya
sehemu ya kati ya ngozi, dermis, kutanuka ghafla ndani ya muda mfupi
kutokana na vitu kama mazoezi makali (kunyanyua vitu vizito), mtu
kuongezeka uzito ghafla au obesity, pia kuna baadhi ya dawa au homoni
(Glucocorticoids), ambazo kwa namna moja au nyingine huathiri tishu za
kwenye ngozi na hivyo kupelekea mtu akapata alama za michirizi. Ujauzito
kwa baadhi ya wanawake na pia mambo ya kurithi yameonekana kuchangia
mtu kupata alama hizi katika ngozi yake.
Yawezekana alama hizi ni
kero katika ngozi yako, miongoni mwa njia ambazo zinatumika kutatua au
kupunguza ukali wa muonekano wa alama hizi ni:
Kwanza kabisa
mpenzi msomaji, ni kuangalia chanzo ni nini, je ni uzito kuongezeka
ghafla?, na baada ya kugundua chanzo, chukua hatua zinazostahili, na
kama chanzo ni mazoezi au kunyanyua vitu vizito, ongea na mwalimu wako
wa mazoezi ili akupangie utaratibu mzuri wa mazoezi.
Pia
matumizi ya mafuta ya kujipakaa yenye mchanganyiko wa vitamini E
husaidia kuijenga ngozi na kutoa makovu na michirizi. Ulaji wa vyakula
na kunywa vinywaji vyenye vitamini A, D na E huimarisha ngozi.
Tumia vipande vidogo vidogo vya viazi kufuta sehemu ya ngozi yenye
michirizi, ruhusu juisi au maji maji ya kwenye viazi yakae katika ngozi,
na kisha baadae unaweza kuosha ngozi yako kwa maji ya vuguvugu, kwani
viazi vina madini na vitamini ambazo zikinyonywa katika ngozi, husaidia
kuondoa michirizi.
Mafuta ya Aloe vera, pakaa mafuta haya katika
ngozi yenye michirizi, pia unaweza kuyachanganya na vitamini A na
ukapakaa ngozi yako.Na mafuta hayo ya aloe vera siyo yote ni mazuri
kwaajili ya ngozi yako maana wengi wanachora majani ya aloe vera
iliwauze kisa wamesikia maloe vera kuwa ni mzuri kwa afya wakati ndani
kuna kemikali kibao wala hakuna hata aloe vera.kuwa makini na kama hujui
ni aina gani ya aloe vera inayotakiwa kutumika tafadhari wasiliana nasi
kupitia namba hii
+255768603979 ili kupata maelekezo mazuri mpendwa
wetu.
Katika ngozi yenye michirizi, pakaa juisi iliyotokana na
malimao, limao linayo tindikali asilia, organic acid, ambayo husaidia
kuponyesha makovu na michirizi ya ngozi.pamoja na sabuni ya stabilized
aloe vera ambayo ni rafiki na ngozi zetu inayouwezo mkubwa wa kuondoa
michirizi kwenye ngozi.
Mpenzi msomaji, maji pia ni muhimu katika
afya yako, maji husaidia kuondoa sumu mbalimbali mwilini kupitia ngozi
na hivyo hukuwezesha kuwa na ngozi yenye afya zaidi.
pia kuna
vitu vingine vingi sana ambavyo unatakiwa kutumia ,ukiwasiliana nasi
tutakusaidia sana kuondoa matatizo haya kwenye ngozi yako.
Matatizo haya ya michirizi humfanya mwanamke/mwanaume apoteze hamu ya
tendo la ndoa na mwili kukosa hamasa ya kimapenzi na mwenzi wake
kutokana na sababu ya kutoa harufu mbaya na kuvutia ,halii huwafanya
wapenzi hawa kukosa raha kabisa katika mahusiano yao.
Hitimisho
Unashauriwa baada ya kuona badhi ya dalili hizo ni vizuri kuwasiliana nasi ilikunusu matatizo mengine ambayo yanaweza kukumba.
Kwa Ushauri au Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es
Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na
Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote
Ulipo(Tanzania Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).
Kwa maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa zinazo ondoa tatizo hilo wasiliana nasi kupitia namba hii
+255768603979.
Free delivery ndani ya Dar, kama upo mkoani utatumiwa pia ndani ya tanzania.
Ni virutubisho asili ambavyo vimeshawasaidia watu wengi saana hapa
nchini na Duniani kwa Ujumla. Karibu Upate huduma zetu kwa ushauri pia
wasiliana nasi PIGA /TUMA NENO :"Health and wellness is Your
Priority".kisha
#SULUHISHO KWA MGONJWA MWENYE TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELENI KWA MWANAUME. . kwa mawasiliano: +255768603979“maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”
. ///
https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…
www.paulbiswalo.blogspot.com/
SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.