TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELENI KWA MWANAUME. SOMA HAPA CHANZO, DALILI NA UTATUZI WA TATIZO HILI LA UPUNGUFU WA WA NGUVU ZA KIUME KIUME.
kwa mawasiliano: +255768603979. “maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”.
Miongoni mwa matatizo makubwa kabisa yanayowakabili wanaume katika suala la kujamiiana ni kufika kileleni mapema. Takwimu zisizo rasmi zinaonesha kuwa, wanaume saba kati ya kumi wanakasoro hii.
Malalamiko yanayotolewa na baadhi yao yanakariri kwamba, muda wa kumaliza tendo huwa kati ya nusu dakika na dakika tatu kwa tendo la kwanza, huku wengine wakimaliza hamu katika hatua za awali tu za hamasa ya
kimahaba. Hata hivyo suala la kutangulia kufika kileleni kabla ya mwanamke limekuwa
likiwahuzunisha wanaume walio wengi.
Ndoa na wapenzi wengi wameachana kwa kasoro hii waliyonayo wanaume. Karibu kila kona kunasikika vilio toka kwa wanaume wakilalamika kukabiliwa na tatizo la ufikaji kileleni mapema, ambalo limewafanya waonekane sio keki kwa wapenzi wao, na tatizo hili ni kubwa miongoni mwa matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume.
Vyanzo vya upungufu wa nguvu za kiume ni vingi sana navyo ni:
1) UPIGAJI PUNYETO MARA KWA MARA
2) MSONGO WA MAWAZO
3) MAZINGIRA YASIYORIDHISHA KUFANYA TENDO LA NDOA
4) ULEVI ULIOKITHIRI
5) KUPOOZA/KUUGUA STROKE
6) KUUGUA KISUKARI KWA MUDA MREFU
7) ULAJI MBOVU WA VYAKULA HASA VYAKULA
VYENYE MAFUTA MENGI
8) KUTUMIA DAWA ZA KEMIKALI kama, viagra, estrogen, diuretic, tranquillizers, digoxin, NK
9) KUUMIA KWA GROIN
10)KIWANGO KIDOGO CHA TESTERONE
11) KUUGUA CHANGO LA KIUME AU NGIRI
DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Mwanaume anayekabiliwa na tatizo Hilo la nguvu za kiume huwa na Dalili zifuatazo:
A) KUKOSA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA
Huwa Hanauwezo wa kutamani kufanya tendo la ndoa, tatizo hili husababishwa na msongo wa mawazo
B) KUTOKUA NA UWEZO WA KUSIMAMISHA UUME
Hali hii hutokea kutokana na kutokuwepo kwa
mzunguko wa damu wa kutosha Kwenye uume, pia kulegea kwa misuli ya uume.
C) UUME HUSINYAA NA KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA
Uume wa mwanaume husinyaa na kuwa mdogo na kurudi ndani hivyo huwa Hana uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa, Hali hii husababishwa na upigaji punyeto kwa muda mrefu
D) KUFIKA KILELENI MAPEMA
Mwanaume hushindwa kufanyamapenzi kwa dakika hata 15 hivyo huwahi kufika kileleni ndani ya dakika 3.
E) KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA
Mwanaume hushindwa kurudia mzunguko wa pili hivyo akifika mzunguko wa kwanza anakuwa Hana uwezo wa kuendelea, Hali hii husababishwa na kutokua na msukumo wa damu wa kutosha.
Madhara ya kuwahi kufika kileleni yanawaathiri wanaume wengi sio kisaikolojia tu bali kiuchumi na hata kijamii.
Kuvunjika kwa ndoa, maambukizi kutukana Na wanawake kutoka nje kutimiziwa haja za miili yao,
Kupungua kwa heshima baina ya wanandoa
Je wewe pia ni miongoni mwa wanaume wanaowahi kufika kileleni mapema na kuwaacha wake zao wangali njiani (bado kufika kileleni)???
Wasiliana nasi leoIwapo una dalili zilizotajwa hapo juu, usikae kimya na kuumia kimoyo moyo, kumbuka kuna msemo usemao mficha uchi hazai.
Kwa Ushauri au Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote Ulipo(Tanzania Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).
Kwa maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa zinazo ondoa tatizo hilo wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.
Free delivery ndani ya Dar, kama upo mkoani utatumiwa pia ndani ya tanzania.
Ni virutubisho asili ambavyo vimeshawasaidia watu wengi saana hapa nchini na Duniani kwa Ujumla. Karibu Upate huduma zetu kwa ushauri pia wasiliana nasi PIGA /TUMA NENO :"Health and wellness is Your Priority".kisha #SULUHISHO KWA MGONJWA MWENYE TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELENI KWA MWANAUME.
. kwa mawasiliano: +255768603979“maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”
. ///https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…
No comments:
Post a Comment
warmly welcome
contact us via +255 768 603 979.