Health And Wellness Is Your Priority & Personal Development Mentorship Programs.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

FIBROIDS,WAKINA MAMA NA WADADA WA LEO,WALIO WENGI HULICHUKULIA POA TATIZO LA UVIMBE KWENYE UZAZI(FIBROIDS), NIWACHACHE TU,HULITAZAMA KAMA HATARI KATIKA MAISHA YAO.

FIBROIDS,WAKINA MAMA NA WADADA WA LEO,WALIO WENGI HULICHUKULIA POA TATIZO LA UVIMBE KWENYE UZAZI(FIBROIDS), NIWACHACHE TU,HULITAZAMA KAMA HATARI KATIKA MAISHA YAO.

Wasiliana nasi kwa namba hii +255768603979.

Uvimbe Kwenye Uzazi Mahiri Kama Fibroids,Inasemekana Kati ya 20% hadi 50% ya wanawake walio katika umri wa kuzaa,miaka 30 hadi 50,wana Fibroids.
Fibroids nivimbe ambazo hujishikiza katika kuta za mfuko wa Uzazi,ndani na nje ya mfuko wa uzazi au kwenye Ovari,Vimbe hizo hukuwa na kuwa na ukubwa tofauti tofauti,unaweza kuwa mdogo kama haragwe au kufikia ukubwa wa tikiti maji.

Chanzo Cha Fibroids
Sababu hasa za kuota kwa fibroids katika viungo vya uzazi vya mwanamke bado hazieleweki vizuri na inaaminika kwamba kila uvimbe wa fibroid unatokana na seli ya msuli wa uterus ambayo huwa na tabia ya tofauti na seli nyingine na hivo hukuwa kwa haraka haraka ikichangiwa na uwepo wa homoni ya estrogen.

Wanawake wanaokaribia kufikia ukomo wa kupata siku zao za mwezi wanaonekana kuwa kwenye hatari kubwa zaidi ya kupata fibroids kwa sababu ya kuwa wameishi na homoni ya estrogen kwa muda mrefu zaidi.
Wanawake wenye asili ya mchanganyiko wa wamarekani na waafrika (wamarekani weusi) nao wanaonekana kupatwa na fibroids zaidi ya wanawake wengine ingawa sababu bado haijajulikana.

Tafiti zinaonesha kuwa idadi ya wanawake wanaopatwa na fibroids katika kundi la wanawake ambao wamezaa watoto angalau wawili wakiwa hai huwa ni nusu ukilinganisha na wale ambao hawajazaa hata mara moja.
Hapa haieleweki kama kuzaa kulizuia wanawake hawa wasipate fibroids au fibroids ndizo zilizo wazuia wanawake wa kundi la pili wasizae,utafiti kuhusu hilli bado unaendelea.

Dalili Za Fibroids
Akina mama wengine wenye uvimbe wa fibroids huwa hawaoni dalili zozote zile (wengi hawajui kama wana fibroids) au kuona dalili kidogo na kwa wengine dalili hizi hujitokeza sana na kuwasumbua hadi kufikia kutafuta tiba.

Hizi ni Baadhi ya dalili za fibroids;
– Kutokwa na damu kwa wingi wakati wa siku za hedhi au kutokwa na damu kwa muda mrefu zisizo koma
– Kutokwa na damu kusiko kwa kawaida katikati ya siku za mwezi
– Mauvimu ya nyonga (uvimbe kugandamiza kwenye viungo vya nyonga)
– Kupata haja ndogo mara kwa mara
– Maumivu ya mgongo
– Maumivu wakati wa tendo la ndoa ama kukosa hamu ya kufanya tendo hilo.
– Upungufu wa damu kwa sababu ya kutokwa na damu kwa wingi wakati wa siku za hedhi.
– Maumivu ya kichwa
– Maumivu kwenye miguu
– Kuvimba sehemu ya chini ya tumbo (Fibroids kubwa)
– Uzazi wa shida
– Mimba za shida
– Kutopata mimba
– Kutoka kwa mimba mara kwa mara.

Aina Za Fibroids-Kuna aina nne za Fibroids:

1-Intramural: Fibroids aina hii hukua kwenye kuta za uterus,hii ndiyo aina ya fibroids inayowapata wanawake wengi.

2-Subserosal fibroids:
Fibroids aina hii hukua nje ya kuta za uterus na huweza kuwa na shina.Subserosal fibroids huweza kukua na kuwa kubwa sana.

3-Submucosal fibroids:
Fibrioids aina hii huota na kukua kwenye
misuli chini ya ngozi laini ya kuta za uterus.

4-Cervical fibroids:
Fibroids aina hii hujenga kwenye shingo ya tumbo la uzazi (Cervix).

Tiba Ya Fibroids
Kama mwanamke hapati usumbufu wa namna yo yote katika shughuli zake za kawaida, anaweza asipewe tiba ya aina yo yote hata kama imegundulika kuwa ana uvimbe wa fibroid kwa sababu mwanamke anapokaribia kukoma hedhi fibroids hunyauka zenyewe na mara nyingine kutoweka kabisa.

Endapo tiba ni lazima kwake,anaweza kupewa dawa au kufanyiwa upasuaji kutokana na hali iliyopo.

Tiba Ya Fibroids Kwa Kutumia Dawa,tiba kubwa ya fibroids ni kwa kutumia dawa aina ya GnRHA (gonadotropin released hormone agonist) ambayo hutolewa kama sindano.
Dawa hii huufanya mwili wa mwanamke upunguze utengenezaji wa estrogen hivyo kusababisha fibroids kunyauka.

Tiba nyingine ni Tranexamic acid, vidonge vya kuzuia maumivu, vidonge vya kuzuia mimba (kuzuia mwanamke asipate siku) na LNG-IUS (Levonorgestrel intrauterine system) ambacho ni kifaaa cha plastiki kinachowekwa kwenye uterus.

Tiba Ya Fibroids Kwa Upasuaji
Kama dawa zimeshindwa kufanya kazi, mgonjwa hufanyiwa upasuaji kwa moja ya njia zifuatazo:
Hysterectomy– Kuondoa uterus,hii hufanywa pale fibroids zinapokuwa kubwa sana au pale ambapo mgonjwa anatokwa na damu nyingi sana.
Upasuaji huu una madhara ya aina mbili:
1-Kupunguza hamu ya kufanya mapenzi
2-Kukoma hedhi mapema

Myomectomy– Fibroids kuondolewa kutoka wenye ukuta wa uterus,hii hufanyika pale ambapo mgonjwa anapenda kuendelea kuzaa.
Tiba hii haifanywi kwa fibroids kubwa au zile ambazo kwenye maeneo nyeti ya uterus.

Endometrial ablation:
Kuondolewa ngozi laini ya ndani ya uterus.
UAE (Uterine Artery Embolization):hii ni kuzuia fibroids zisipate damu na hivyo kunyauka,UAE hufanywa kwa fibroids kubwa.

Magnetic-resonance-guided percutaneous laser ablation: Sindano nyembamba hupenyezwa kupitia ngozi hadi kulifikia fibroid. Fibroid humulikwa na mionzi ya laser kupitia waya fiber-optic uliopitishwa kwenye sindano na kulinyausha Fibroid.
Magnetic-resonance-guided focused ultrasound surgery:
Kifaa maalumu hutumika kugundua eneo la fibroid, kisha mawimbi ya sauti huelekezwa kwenye fibroid. Mawimbi hayo hulinyausha fibroid.

Katika mada ya leo tumeona fibroids ni nini,chanzo cha fibroids,dalili zake,aina za fibroids na tiba zinazotumika kuondoa fibroids.

Makusudio yetu ni kwamba uelewe vyema mada hii,lakini endapo utapenda kujua namna ya kuondoa fibroids bila kutumia dawa za Medications wala kufanyiwa operation
Tunazo Food Supplements(Virutubisho) Ambavyo ni Suluhisho la Kudumu la Tatizo la Fibroids

Kwa Ushauri au Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote Ulipo(Tanzania Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).

Kwa maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa zinazo ondoa tatizo hilo wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.
Free delivery ndani ya Dar, kama upo mkoani utatumiwa pia ndani ya tanzania.

Ni virutubisho asili ambavyo vimeshawasaidia watu wengi saana hapa nchini na Duniani kwa Ujumla. Karibu Upate huduma zetu kwa ushauri pia wasiliana nasi PIGA /TUMA NENO :"Health and wellness is Your Priority".kisha #SULUHISHO KWA TATIZO LA VIMBE KWENYE KIZAZI KWA WANAWAKE.
. kwa mawasiliano: +255768603979“maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”
. ///https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…

SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.

#UVIMBE KWENYE KIZAZI CHA MWANAMKE.

Share:

No comments:

Post a Comment

warmly welcome

contact us via +255 768 603 979.

Popular Posts

Blog Archive

for any assistance.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

Featured post

UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI??????

AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO. UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI?????? jiulize swali hili na utafakali vizuri ilik...

Followers

Contact Form

Name

Email *

Message *

Labels

Total Pageviews

Theme Support