Health And Wellness Is Your Priority & Personal Development Mentorship Programs.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

NINI_CHANZO_CHA_UPUNGUFU_WA_NGUVU ZA KIUME???

SULUHISHO LA KUDUMU LA NGUVU ZA KIUME NA AFYA YA UZAZI KWA UJUMLA.
OKOA NDOA YAKO KWA KUIMARISHA TENDO LA NDOA KWANI TENDO LA NDOA NDICHO KIUNGANISHI CHA FAMILIA YAKO.

wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Upungufu wa nguvu za kiume ni ugonjwa ambao mwanaume hushindwa kusimamisha uume na pia kushindwa kuendelea kubaki imara wakati wa tendo la ndoa. Uume kusimama hutokea pale damu inapoingia katika tishu zilizo kama sponji na kuendelea kubaki ndani yake wakati wa tendo la ndoa.Hii hutokea kama matokeo ya mhemko kabla ya tendo la ndoa, ambapo taarifa hupelekwa kwenye ubongo na hatimaye taarifa hutumwa katika mishipa fahamu iliyo katika uume.

MATATIZO 11 SUGU KATIKA AFYA YA UZAZI YA MWANAMME.Je,lako ni lipi kati ya haya?
1. Kukosa hamu ya mapenzi; au
2. Uume kusimama kwa uregevu; au
3. Kuwahi kufika kileleni; au
4. Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa); au
5. Kushindwa kurudia tendo la ndoa; au
6. Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo; au
7. Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji; au
8. Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu;
9.Kulegea kwa mishipa ya uume kutokana na michezo ya barehe kama punyeto/kujichua;au
10.Kukoswa uwezo wa kumpa mwanamke ujauzito ambao husabaishwa na udhaifu wa mbegu;au
11:Kupungua kwa nguvu za mbegu za kiume/manii ambazo yanasababisha kushindwa Kuogelea kwa speed inayotakiwa wakati wa tendo la ndoa na kupunguza morali wakati huo.

NINI_CHANZO_CHA_UPUNGUFU_WA_NGUVU ZA KIUME???
Zipo sababu nyingi mno zinazosababisha udhaifu kwenye mfumo wa uzazi kwa mwanaume.
A)Kupiga punyeto kwa sana.
B)Kutumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume kama vile -Tadalafil(Sialis)
-Sildenafil (Viagra)
-Verdenafil ( Levitra)
-Avanafil (Stendra) nk.

C) Hitilafu katika ogani za mwili (Organic causes)
Hitilafu hizi ambazo zinatambulika zaidi ni kama magonjwa ya moyo na kisukari,upungufu wa homoni mwilini (kitaalam kama hypogonadism) ,maudhi yasiyotakiwa ya dawa mbalimbali(side effects), pia magonjwa ya mishipa ya fahamu yanayoweza kusababishwa na kuumia au kufanyiwa operesheni ya tezi dume.
Pia zifuatazo ni sababu nyingine katika kundi hili
-Kuziba kwa mishipa ya damu.
-Kiwango kikubwa cha lehemu katika damu.
-Unene (Obesity).
-Kukosa usingizi.
-Unywaji pombe kupindukia na madawa ya kulevya.
-Utumiaji wa tumbaku.
-Kuumia kwa uti wa mgongo.
-Magonjwa ya mmeng’enyo.

D)Matatizo ya kisailolojia
Ubongo huwa na kazi maalum ya kuongoza jinsi viungo vya mwili vinavyofanya kazi, hii ni pamoja na kusimama kwa uume baada ya mhemko kabla ya tendo la ndoa. Kuna baadhi ya mambo yaweza kusababisha mwanaume asihemke na kuendelea kusababisha tatizo kuwa kubwa zaidi. Sababu hizo ni kama ifuatavyo:-
-Sononi, wasiwasi na hata magonjwa mengine yanayoathiri afya ya akili.
-Msongo wa mawazo.
-Matatizo ya uhusiano ambayo hupelekea msongo wa mawazo, hata mawasiliano yaliyo duni.

E) Mchanganyiko wa hitilafu katika Ogani na Saikolojia kwa pamoja.
Tunavyoozeeka tatizo hili laweza kuongezeka, ingawa siyo hali ya kawaida mtu anapozeeka. Wazee ni kundi ambalo hutumia dawa za matatizo mbalimbali kwa wingi. Kwa hiyo tatizo hili la upungufu wa nguvu za kiume linapotokea mara nyingi huashiria hali ya kiafya isiyo ya kawaida au kusabishwa na aina fulani za dawa atumiazo mgonjwa. Mara nyingi hutokea kwa wale walio na miaka 60 na kuendelea. Hata hivyo vijana huweza pia kupata tatizo hili.
Pia wanaoweza kupata tatizo hili ni kama:-
-Wenye matatizo ya kiafya, kama ugonjwa wa kisukari na ugonjwa wa moyo.
-Wenye kuendesha baiskeli kwa muda mrefu, uendeshaji wa baiskeli bila kutumia vifaa maalum waweza kusababisha kukandamizwa kwa mishipa ya fahamu na kuathiri mzunguko wa damu katika uume.
-Watumiaji wa dawa za kulevya pamoja na pombe, hususani watumiaji wa muda mrefu na unywaji pombe kupindukia.
-Wenye msongo wa mawazo,sononi na wasiwasi
-Wenye kutumia aina mbalimbali za dawa.
-Waliojeruhiwa, hususan mishipa ya fahamu husika.
-Wenye uzito mkubwa, hasa walio wanene.
-Wenye kutumia tumbaku, ambayo huathiri mtiririko wa damu katika mishipa ya uume ya ateri na veini.

#MADHARA:Matatizo yenye kujitokeza ugonjwa usipotibiwa
-Kutoridhika katika uhusiano.
-Msongo wa mawazo na wasiwasi.
-Sononi.
-Kujisikia vibaya mbele ya jamii na kutokujiamini.
-Matatizo ya uhusiano au kuvunjika kwa uhusiano.
-Kutokuwa na uwezo wa kumpa ujauzito mwanamke.
Endapo tatizo hili litajitokeza, usikimbilie kuanza kutumia dawa, au kununua dawa katika famasi bila ushauri wa daktari. Dawa hazitakuwa na msaada endapo chanzo cha tatizo hakijagundulika. Pia matumizi ya dawa yanaweza kukuletea athari nyingine kiafya, kama uchunguzi haukufanyika kwanza.

Jiandae kumwona daktari wako, kwa kukusanya taarifa mbalimbali kama dalili za ugonjwa ulizo nazo, listi ya dawa unazotumia, uwe na taarifa muhimu za kukuhusu, ni vyema ukienda na mwenzi wako kwa kuwa atakuwa msaada kwa yale uliyosahau na andaa maswali utakayomuuliza daktari wako.

Vipimo mbalimbali vyaweza kutumika ili kugundua sababu ya ugonjwa. Vipimo hivi hujumuisha vile vya kuchunguza mzunguko wa damu katika uume, pia kipimo maalum cha kuvaa nyakati za usiku kuchunguza mara ambazo uume unasimama ukiwa umelala, na vile vya kuchunguza viwango vya homoni mwilini.

Pia historia ya mgonjwa itamwezesha daktari kuweza kugundua tatizo la mgonjwa akishirikisha na vipimo mbalimbali tulivyovitaja hapo awali
Daktari ana wajibu mkubwa wa kuhakikisha kuwa unapata tiba sahihi kulingana na kisababishi cha ugonjwa na kinachofanya hali kuwa mbaya kama tulivyoona awali.
Kulingana na sababu inayosabisha ugonjwa wa upungufu wa nguvu za kiume, unaweza kutibiwa kwa njia mbalimbali. Daktari wako na mfamasia watakuelezea faida na hasara ya kutumia tiba husika na watajali zaidi uamuzi wako. Pia mawazo ya mwenzi wako yatasaidia ili uweze kupata tiba iliyo sahihi.

#Tahadhari
Chukua tahadhari kabla ya kutumia dawa yeyote kutibu nguvu za kiume, hata kama ni dawa za kienyeji au zile zinazonunuliwa bila ya kuandikwa na daktari. Wasiliana na mfamasia kwa ushauri zaidi.
-Dawa zitumiwapo ovyo zinaweza zisikusaidie kutatua tatizo na zaweza kuwa hatarini kama:-
-Unatumia dawa zenye nitrate-ambazo huandikiwa wagonjwa wenye maumivu ya kifua (angina), kwa mfano Nitroglycerin,Isosorbide mononitrate na isosorbide dinitrate.
-Unameza dawa za kusaidia mtiririko wa damu (anticoagulant) au dawa za shinikizo la juu la damu.
-Una tatizo la moyo au moyo kushindwa kufanya kazi.
-Una ugonjwa wa kiharusi au uliwahi kupata kiharusi.
-Dawa za homoni.
Dawa kama testosterone yaweza kutumika kwa wanaume wenye upungufu wa homoni hiyo. Kwa wale wenye upungufu wa homoni dawa hii inaweza kuwa tiba ya kwanza
-Upasuaji waweza kufanyika endapo mishipa ya damu ya uume itakuwa imeziba na kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.
-Ushauri nasaha ni muhimu kwa wagonjwa wenye matatizo ya kisaikolojia, ambayo hupelekea msongo wa mawazo, wasiwasi na hata sononi. Daktari wako anaweza kukushauri wewe na mwenzi wako kuonana na mwanasaikolojia au mshauri nasaha kama tatizo hilo linaleta mvurugano katika uhusiano wenu.

BAADA_YA_CHANGAMOTO_KUIKUMBA_JAMII_JOPO LA WATAALAMU/MADAKTARI_WALIOBOBEA_KATIKA AFYA_YA_MWANADAMU_WALIFANYA_TAFITI_YA_NAMNA_YA_KUONDOA_CHANGAMOTO_HIZO_BILA_KUTUMIA_DAWA_AU_VIAMBATA_VYENYE_SUMU_BALI_KUTUMIA_VIRUTUBISHO.

Virutubisho hivyo vimekuwa vikitumiwa na watu wengi kwa zaidi ya mataifa 170 duniani na tunashuhuda nyingi za watu waliopata kuboreshwa kwa afya zao baada ya kutumia virutubisho hivyo.

Kwa Ushauri au Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote Ulipo(Tanzania Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).

Kwa maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa/VIRUTUBISHO zinazo ondoa tatizo hilo wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.

Free delivery ndani ya Dar, kama upo mkoani utatumiwa pia ndani ya tanzania.
Ni virutubisho asili ambavyo vimeshawasaidia watu wengi saana hapa nchini na Duniani kwa Ujumla. Karibu Upate huduma zetu kwa ushauri pia wasiliana nasi PIGA /TUMA NENO :"Health and wellness is Your Priority".kisha #SULUHISHO KWA MGONJWA MWENYE TATIZO LA KUTOFIKA KILELENI KAMA INAVYOTAKIWA/UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
. kwa mawasiliano: +255768603979“maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”
. ///https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/
SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.
  
 

 
Share:

No comments:

Post a Comment

warmly welcome

contact us via +255 768 603 979.

Popular Posts

Blog Archive

for any assistance.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

Featured post

UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI??????

AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO. UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI?????? jiulize swali hili na utafakali vizuri ilik...

Followers

Contact Form

Name

Email *

Message *

Labels

Total Pageviews

Theme Support