Hii ni hali ambayo hutokea kushindwa kutoa takamwili kwa wakati mwafaka na baadhi ya watu huifurahia hiyo hali , kumbe ni madhara makubwa kwa binadamu , kama ulikuwa hujui jaribu kufatilia haya madhara ya kutokupata CHOO
MADHARA KWA UJUMLA
* kuwa na kitumbo au kitambi na kuharibu maumbile yako mazuri ya mwili
* kukosa hamu ya kula
* mwili kuwa legevu na kushindwa kufanya kazi kwa ustadi zaidi
* kupata maumivu ya kichwa , kiuno N.a. mgongo
* presha
* kisukari
* madonda ya tumbo
MADHARA KWA AKINI MAMA
# kupata vimbe vya uzazi kiepesi zaidi
# kuharibirika kwa mzunguko wa hedhi
# muda mwingine hata mimba hushidwa kutunga
* kukosa hamu ya tendo la ndoa
MADHARA KWA AKINA BABA
@ Kuwa mzembe kitandani yaani kuishiwa nguvu ZA KIUME
@ hasira za ovyo ovyo
@ kaharibika kwa TEZI DUME
@ kukosa hamu ya tendo la ndoa
INAFAA IWE IVI....!
Kiafya inatakiwa mtu apate choo kulingana na idadi ya jinsi unavyokula mfano kama unakula mara mbili na choo upate mara mbili
- choo kiwe laini saizi ya ndizi , kisitoe harufu , kisiwe cha kukatikakatika kama cha mbuzi, usisukume kinatakiwa kitoke chenyewe
LAKINI washauri wako wa "HEALTH AND WELLNESS IS YOUR PRIORITY" wamefanya uchunguzi na kuona Hii wengi ni waasirika kabisa lakini wanaona aibu kusema kwa watu
Hivyo unaweza ukawasiliana nao kisiri siri kupata namna gani uweze kuachana na hiyo hali.
Kwa Ushauri au Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote Ulipo(Tanzania Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).
Kwa maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa zinazo ondoa tatizo hilo wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.
Free delivery ndani ya Dar, kama upo mkoani utatumiwa pia ndani ya tanzania.
Ni virutubisho asili ambavyo vimeshawasaidia watu wengi saana hapa nchini na Duniani kwa Ujumla. Karibu Upate huduma zetu kwa ushauri pia wasiliana nasi PIGA /TUMA NENO :"Health and wellness is Your Priority".kisha #SULUHISHO KWA MGONJWA MWENYE TATIZO LA KUTOKUPATA CHOO/ CHOO KIGUMU.
. kwa mawasiliano: +255768603979“maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”
. ///https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…
SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.
#KUTOKUPATA CHOO/ CHOO KIGUMU. |
No comments:
Post a Comment
warmly welcome
contact us via +255 768 603 979.