Health And Wellness Is Your Priority & Personal Development Mentorship Programs.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

MAAMBUKIZI KATIKA VIA VYA uzazi(pelvic inflammatory Disease-P. I.D).

HABARI ZA LEO WAPENDWA.

wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.

Leo napenda tujifunze somo liitwalo MAAMBUKIZI KATIKA VIA VYA uzazi(pelvic inflammatory Disease-P. I.D).

P. I. D ni nini?
-niugonjwa ambao hushambulia mfumo wa uzazi wa mwanamke, ni mijawapo ya magonjwa yanayoambukizwa kwa Njiaa ya kujamiiana kwa wanawake.

SEHEMU ZINAZO ATHIRIWA
1.mfuko wa uzazi
2.ovary
3.milija ya falopia,pamoja na sehemu nyinginezo Katika mfumo wa uzazi wa mwanamke.

>kwakawaida mlango wa uzazi huzuia bacteria kuingia katika mfumo wa uzazi wanaokuja kupitia utupu WA mwanamke amabao wadudu hao husambaa mpaka ndani ya mfumo wote sasa kama mwanamke ataambukizwa na magonjwa ya zinaa kama kisonono, kaswende, namengine mlango wa uzazi nao unakuwa umeathiriwa na hautakuwa na uwezo WA kuzuia bacteria hao au itakuwa inakiwango kidogo cha kuzuia wadudu hao.

Kwa ufupi ugonjwa huu husababishwa Na mwanamke kuambukizwa na magonjwa ya zinaa.

SABABU NYINGINE ZA UGONJWA huu
1.utoaji wa mimba usio salama
2.hata wakati wa kujifungua kusiko salama.

DALILI ZAKE

-maumivu makali ya tumbo au maeneo ya chini ya tumbo au maumivu sehemu ya juu ya upande wa kulia mwa tumbo
2.uke kuvuja au kutokwa na uchafu wa njano au kijani na ukiwa na harufu
3.maumivu wakati WA kukojoa
4.homa Kali
5.kutapika pamoja na chafya
6.maumivu makali wakati wa kujamiiana
7.kuwashwa maeneo ya uke ndani na NJE

MADHARA KTK UZAZI YATOKANAYO NA MAAMBUKIZI KATIKA UZAZI

-kuvurukika kwa mpangilio wa homoni (hormones imbalance)
-michubuko na kuziba kwa milija ya falopia
-kuwa na mzunguko mfupi au kukosa kabisa
-husababisha uvimbe kunako milija, mfuko wa uzazi na eneo lote la via vya izazi.

NAMNA YA KUJIKINGA

-kuacha ngono zembe
-kuwa na mpenzi mmoja
-epuka matumizi ya pombe
-kuwa na usafi au kuzingatia usafi na kufanya vipimo Mara kwa mara

MATIBABU
-Mara utakapo jisikia dalili tajwa hapo juu nenda hospitali dakitali atakufanyia vipimo kama vile, vipimo vya maambukizi ya magonjwa ya zinaa, kipimo cha damu ,kipimo cha pelvic na matiti, kipimo.


BAADA_YA_CHANGAMOTO_KUIKUMBA_JAMII_JOPO LA WATAALAMU/MADAKTARI_WALIOBOBEA_KATIKA AFYA_YA_MWANADAMU_WALIFANYA_TAFITI_YA_NAMNA_YA_KUONDOA_CHANGAMOTO_HIZO_BILA_KUTUMIA_DAWA_AU_VIAMBATA_VYENYE_SUMU_BALI_KUTUMIA_VIRUTUBISHO.

Virutubisho hivyo vimekuwa vikitumiwa na watu wengi kwa zaidi ya mataifa 170 duniani na tunashuhuda nyingi za watu waliopata kuboreshwa kwa afya zao baada ya kutumia virutubisho hivyo.

Kwa Ushauri au Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote Ulipo(Tanzania Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).

Kwa maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa/VIRUTUBISHO zinazo ondoa tatizo hilo wasiliana nasi kupitia namba hii +255768603979.
Free delivery ndani ya Dar, kama upo mkoani utatumiwa pia ndani ya tanzania.

Ni virutubisho asili ambavyo vimeshawasaidia watu wengi saana hapa nchini na Duniani kwa Ujumla. Karibu Upate huduma zetu kwa ushauri pia wasiliana nasi PIGA /TUMA NENO :"Health and wellness is Your Priority".kisha #SULUHISHO KWA MGONJWA MWENYE TATIZO LA MAAMBUKIZI KATIKA VIA VYA uzazi(pelvic inflammatory Disease-P. I.D)..
. kwa mawasiliano: +255768603979“maamuzi yako ya sasa ni matokeo ya baadaye”
. ///https://web.facebook.com/Yourhealthyourprioritylifestyles/…

SHARE NA UNAOWAPENDA ILI WAFAIDI ELIMU HII YA BURE.

Share:

No comments:

Post a Comment

warmly welcome

contact us via +255 768 603 979.

Popular Posts

Blog Archive

for any assistance.

“Your health is your responsibility, love your health as you love your stuff”. -@Paul Biswalo.

We are looking forward to connect with you.

Our phone number is +255 768 603 979,for only calls/text &
+255 ,for WhatsApp only.
Email-address : biswalopaul@gmail.com.

It's me your lovely friend,
Yours in faithfulness,

-@Paul Biswalo, C.E.O & FOUNDER.
Mentor || Motivational Speaker || Trainer || Event Host || Entrepreneur || Healthy & Life coach || Presenter & Inspirational Public Speaker.
*let's meet all at the Top because is no longer crowded*

Featured post

UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI??????

AFYA YAKO NI JUKUMU LAKO. UNAFAHAMU UMUHIMU NA FAIDA YA KUBORESHA KINGA YA MWILI?????? jiulize swali hili na utafakali vizuri ilik...

Followers

Contact Form

Name

Email *

Message *

Labels

Total Pageviews

Theme Support